Nimeibiwa simu yenye thamani ya Tshs laki 6

Nimeibiwa simu yenye thamani ya Tshs laki 6

Labda alinunua simu ya wizi lakini mwizi husika aliyeiba hawezi kukupa hiyo gharama na faida juu,
Yoyote atalipa Mkuu....!! Yatauzwa Mashamba watauzwa mifugo watalipa Mkuu.....!


Hapo ukishampata mwizi wako na wewe unamtoa hela tu afidie gharama zako
Unaanza kutengeneza mpango wa Hela Toka Maelezo Yako ya kwanza Police ... Gharama zitarudi.
 
Polisi watakula pesa yako wataitrack simu watamkamata huyo mwizi au aliyeuziwa watakula hela yake watamwachia simu wataichukua polisi na hawatakupa wanaiuza wanapata pesa.
Hao ndio Polisi wa Tanzania
 
Nenda Msimbazi na Oysterbay kuna kesi nyingi sana mamia za wizi wa simu, kila siku kesi mpya. Tazama kesi nyingi ni za simu gani, na hapo Apple ni kampuni mojawapo kati ya makampuni kadhaa common hapa bongo kwenye smartphones.

Simu zinazoibwa zaidi ni iPhone na mwizi hawazi habari ya wewe kukamatwa. Anachofanya anakuibia simu anaipeleka kwa IT inakuwa bypassed then anaiuza sokoni kwa wale wakurupukaji wa bei ya chini. Kama mwizi hana hiyo hela ya kubypass anamuuzia huyo mtaalamu, wapo wachache sana Kariakoo wengine waliuwawa, wengine walitoroka mji na wengine walipotezwa haijulikani wako wapi.

Samsung nyingi midrange na low end hazina ugumu, mamia ya Samsung A series za mkopo zimebadilishwa IMEI na hazisomeki kwenye systems za wakopeshaji mpaka mtu aki-reset ndio anakuta kumbe ilifungiwa muda mrefu.

Leo hii hamna mtu anaiba iPhone anaenda kutoa spare parts, hiyo ni zamani au mtu kaiokota ila mwizi anayejipanga anajua cha kufanya.
Ahaa..maybe
 
Polisi watakula pesa yako wataitrack simu watamkamata huyo mwizi au aliyeuziwa watakula hela yake watamwachia simu wataichukua polisi na hawatakupa wanaiuza wanapata pesa.
Hao ndio Polisi wa Tanzania
Hii ni 100%✅️
ILINITOKEA
 
Yoyote atalipa Mkuu....!! Yatauzwa Mashamba watauzwa mifugo watalipa Mkuu.....!



Unaanza kutengeneza mpango wa Hela Toka Maelezo Yako ya kwanza Police ... Gharama zitarudi.
Yani kuna watu wana maisha magumu ukoo mzima
 
Please naomba uongeee nae mwambie mimi ndugu yako🥹🥹🥹
😆😆😆atakuwa kakusoma, kuna mazingira aliyeipata simu alitaka kuendelea kupewa pesa kila akienda bar ni kupigiwa simu nitume hela, hata usiku wa manane atapiga kwa fujo, mara kutongozana tena,, ikawa kero kiukweli nilimblock na kufuta namba zake,
 
Polis unapoteza muda wako. Huwa hawana msaada kabisa zaidi ya kula hela yako. Hata uwape imei No.
 
Wewe kaa chini piga hesabu muda utakaopoteza kufuatilia simu na uhakika wa kuipata na muda huo ulopoteza ukifanya shughuli zako utapata kiasi gani cha fedha
 
Back
Top Bottom