Nimeibiwa simu yenye thamani ya Tshs laki 6

Yeye alienda ku report kwenye Kituo Cha Police eneo ilipopotea Simu, so wewe nenda jirani na Kituo Cha Police jirani na ulipoibiwa simu, utapewa Mpelelezi, then huyo Mpelelezi ndiyo unapanga naye Ndonga vizuri.

Ni wewe ndiyo unatakiwa kumuwezesha, mfano atataka kwenda TCRA kuchukua data flani, aende kwenye Kampuni za simu kucheki Kama Ile simu Toka muda imeibiwa mpaka wakati huo, kama iliweza kuwa hewani n.k, utapewa Police Mpelelezi anayejua mambo ya Mitandao, then mtashirikiana pamoja.

Mfano kwenye issue ya jamaa yangu, baada ya kumwezesha huyo afisa, baada ya week hivi, alimpigia simu kwamba simu yake ipo Bukoba, anasemaje..!? Kuna mawili, waondoke wote Toka Dar mpaka Bukoba, ama wamuandikie Barua, aende yeye pekee Bukoba, then akifika Bukoba aka report Kituo Cha Police then atapewa Askari.... Yeye aliamua kugharamika, akachagua kuondoka na Askari hapa Dar, safari Bukoba, na Uzuri yeye alikua ana I track Simu yake, so Walimkama mwizi wake ndani ya Nyumba kama Kuku.

So ukubari tu kugharamika.
Hapo ukishampata mwizi wako na wewe unamtoa hela tu afidie gharama zako
 
Enzi zako ulisumbua wewe! Unakumbuka ulivyomuacha jamaa ubungo
Yeye alienda ku report kwenye Kituo Cha Police eneo ilipopotea Simu, so wewe nenda jirani na Kituo Cha Police jirani na ulipoibiwa simu, utapewa Mpelelezi, then huyo Mpelelezi ndiyo unapanga naye Ndonga vizuri.

Ni wewe ndiyo unatakiwa kumuwezesha, mfano atataka kwenda TCRA kuchukua data flani, aende kwenye Kampuni za simu kucheki Kama Ile simu Toka muda imeibiwa mpaka wakati huo, kama iliweza kuwa hewani n.k, utapewa Police Mpelelezi anayejua mambo ya Mitandao, then mtashirikiana pamoja.

Mfano kwenye issue ya jamaa yangu, baada ya kumwezesha huyo afisa, baada ya week hivi, alimpigia simu kwamba simu yake ipo Bukoba, anasemaje..!? Kuna mawili, waondoke wote Toka Dar mpaka Bukoba, ama wamuandikie Barua, aende yeye pekee Bukoba, then akifika Bukoba aka report Kituo Cha Police then atapewa Askari.... Yeye aliamua kugharamika, akachagua kuondoka na Askari hapa Dar, safari Bukoba, na Uzuri yeye alikua ana I track Simu yake, so Walimkama mwizi wake ndani ya Nyumba kama Kuku.

So ukubari tu kugharamika.
Kituo nilichoenda kwa kweli ni kidogo
Wakaniunganisha na mtu ambae nimeona kama nitapoteza pesa
Leo ndo nataka nikachek changombe hapo
 
Nimeibiwa simu mbili mwaka huu huu na hadi leo sijazipata na police nilireport wakasema wanafuatilia, nimeulizia hadi nimechoka. Hii nchi ni ngumu sana
Polisi na wezi ni kitu kimoja hapa Tanzania👿
 
Back
Top Bottom