masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,771
- 16,653
- Thread starter
- #121
Imei ipoInategemea aina ya hiyo simu,pia kama ulihifadhi namba ya imei
Imei ipoInategemea aina ya hiyo simu,pia kama ulihifadhi namba ya imei
Me simu yangu niliipata after 3 weeks. Polisi walizingua week 3, nikaunganishwa na askari kanzu mmoja siku ya pili tu kanipigia simu nikachkue simu yangu kituo kilekile walokuwa wananizungusha kuwa bado hawajapata taarifaNimeibiwa sim na nisharipot police
Sasa niitrack au police watakula ela zangu
Nawaza niachane nayo tu lakini moyo unasema labda nijaribu upande mwingine naona nitapoteza mida na fedha
Maana nimejaribu kupitia nyuzi hapa hamna mtu anakiri alishawahi pata simu kwa kupitia police
Kwamba kuna mwizi asiyejua anatakiwa kuuza spare pekee za iphone? Kalga baho!Kama ni iPhone unaipata. Kama ni Android hapo ni kazi sana
sasa hiyo imei ndio itawawezesha polisi kuikamata simu yakoImei ipo
Polisi wa nchi gani mkuu, Samahani lkn!Me simu yangu niliipata after 3 weeks. Polisi walizingua week 3, nikaunganishwa na askari kanzu mmoja siku ya pili tu kanipigia simu nikachkue simu yangu kituo kilekile walokuwa wananizungusha kuwa bado hawajapata taarifa
Nilimlipa laki 1 lkn nashkuru laki yangu ilirudi baada ya kumtikisa jamaa alokutwa nayo ikabidi na yeye anilipe ili tuachane na kesi
Yeye alienda ku report kwenye Kituo Cha Police eneo ilipopotea Simu, so wewe nenda jirani na Kituo Cha Police jirani na ulipoibiwa simu, utapewa Mpelelezi, then huyo Mpelelezi ndiyo unapanga naye Ndonga vizuri.Kaka naomba niunganishe nae nijue aliyemsaidia please
Unaona hata usijgizi hauji
Unajihusisha na shughuli gani mkuu?Kwamba kuna mwizi asiyejua anatakiwa kuuza spare pekee za iphone? Kalga baho!
Pesa Inam control Mpelelezi Mkuu, mm Kuna kipindi nilipata changamoto kidogo, na nilikua nahitaji Askari, nilimpigia jamaa yangu mmoja mjanja mjanja hivi, kuwa nahitaji Askari Nina tatizo Moja mbili, na muhisika anakuja jioni nataka kumkamata, jioni nikakuta Askari 9 Mkuu, wamekuja na Magari Yao 2, nikakaa nao Kikao nikawaambia ntawapa laki 2 wakifanikisha ntawapa laki 3, Askari 9 na wakakubari na tukafanikisha na tulienda na mtuhumiwa mpaka Police.Hii nayo ni mbinu ya polisi ili upate matumaini utoboke kibunda.... Haya mambo ukiyasikiliza huwezi elewa ila yakikupata alafu ukachukulia ulivyoeleza utalia mara 5 kuliko ungepotezea upotevu wa hiyo simu.
Comment yako inaenda sambamba na vigogo au wenye nguvu ya kumcontral mpelelezi
ZanzibarPolisi wa nchi gani mkuu, Samahani lkn!
Umeeleweka... Maana yake ukitaka huduma ya usalama inatakiwa uilipie tena mara ya pili baada ya malipo ya mshahara ambayo ni kodi unazolipa.Pesa Inam control Mpelelezi Mkuu, mm Kuna kipindi nilipata changamoto kidogo, na nilikua nahitaji Askari, nilimpigia jamaa yangu mmoja mjanja mjanja hivi, kuwa nahitaji Askari Nina tatizo Moja mbili, na muhisika anakuja jioni nataka kumkamata, jioni nikakuta Askari 9 Mkuu, wamekuja na Magari Yao 2, nikakaa nao Kikao nikawaambia ntawapa laki 2 wakifanikisha ntawapa laki 3, Askari 9 na wakakubari na tukafanikisha na tulienda na mtuhumiwa mpaka Police.
So Kuna issue unampa Askari apeleleze, hutaki kumuwezesha, unataka atumie mshahara wake kufatilia issue Yako, hapo ndo inakua ngumu, ila kama unaweza kuchagia Mafuta kidogo, mambo yanakua rahisi, na Wakati mwingine hawahitaji pesa nyingi.
vizuri sana mkuu,Zanzibar
It was 2023 August. Na me niliungwanishwa na mtu ambae hata yeye aliipata simu yake baada ya kuibiwa.
Months before mke wa brother simu yake aliisahau airport Zanzibar, jamaa aloipata akaipiga bei fasta. Simu ilikuwa mpya ya kama 2.M, yeye alilipa laki 2 cyber crime moja kwa moja na siku ya pili tu simu yake aliipata.
Nilipata funzo baada ya kuniambia kuwa alikuwa na kila kitu chake hadi box alonununulia, risiti, etc. So na mimi nilivonunua ya kwangu nikahifadhi kila kitu changu na ndio imesaidia.
Of course me na kawaida hio huwa stupid box na risiti. Mana kuna simu 2 nilinunua 2021 na japo 1 ishaharibika lkn still box mpk Leo ninalo
Sasa hio ndio vise-verse. Watu Wengi wanajua iPhone ndio zinatrakiwa hivyo wakizipata moja kwa moja kwa fundi simu ili kuuza spares.Kama ni iPhone unaipata. Kama ni Android hapo ni kazi sana
Dah ko mimi ninaye tumia techno 714 yenye opera mini, ni takataka ehhPole ila simu laki sita kwa sisi matariji wa humo jf ni upumbavu tu
Wacha weee!Pole ila simu laki sita kwa sisi matariji wa humo jf ni upumbavu tu
Naam. Kwenye box kunabandikwa stickers za imei number. Mie polisi walivoona tu box na ile picha ya simu wenyewe walicheka...wakaniambia we kweli hii simu yako. Na risiti pia nilikuwa nayo tena ile ya TRA. Simu yangu ilikuwa mpya ina kama miezi mitano tuvizuri sana mkuu,
na hapa kama mtu hatopata funzo la "USINUNUE SIMU YA MKONONI KWA MTU USIYEMFAHAMU" itakua hatari sana
kwahiyo ukipoteza simu polisi unaenda na box + risiti ?
Yani matajiri humu wapo kibao nimeshangaa mno ka laki sita tu 🤔Wacha weee!
Hongereni😁
Wewe una fahamika ni jobless mwenzanguDah ko mimi ninaye tumia techno 714 yenye opera mini, ni takataka ehh
una tabia za kutunza ma vitu Kama zangu, nina box nilizo nunua game pad 2023 mpaka Leo🤔😁Zanzibar
It was 2023 August. Na me niliungwanishwa na mtu ambae hata yeye aliipata simu yake baada ya kuibiwa.
Months before mke wa brother simu yake aliisahau airport Zanzibar, jamaa aloipata akaipiga bei fasta. Simu ilikuwa mpya ya kama 2.M, yeye alilipa laki 2 cyber crime moja kwa moja na siku ya pili tu simu yake aliipata.
Nilipata funzo baada ya kuniambia kuwa alikuwa na kila kitu chake hadi box alonununulia, risiti, etc. So na mimi nilivonunua ya kwangu nikahifadhi kila kitu changu na ndio imesaidia.
Of course me na kawaida hio huwa stupid box na risiti. Mana kuna simu 2 nilinunua 2021 na japo 1 ishaharibika lkn still box mpk Leo ninalo