Nimeibiwa simu yenye thamani ya Tshs laki 6

Nimeibiwa simu yenye thamani ya Tshs laki 6

Pole sana rafiki yangu hii kitu ilinikuta na Mimi pale kariakoo nilikaa kwanza chini baadae nikaendelea kulia simu imekaa wiki tu wahuni wakasepa nayo sikufanikiwa kuipata hadi Leo hii
Na ujanja wako wote hujaipata, mi nilikuwa naamka usiku naomba, ndo niligundua kumbe ninae roho mtakatifu niliipata namshukuru mtu mmoja yupo humu ila si mpenda mauzo ningemtag, alinisaidia mno, ilitumika kama laki 3+ ilisitahili hiyo gharama sababu simu nayo ilikuwa na thamani ya mara kumi yake wakati huo imetoka, kwahiyo kwa namna yoyote ile ningeitafuta tu,
 
Nilikata tamaa mwezi mzima sikufanikiwa kuipata
 
Wengi ya wanao kuambia achana nayo huenda ni wezi wenyewe wanaogopa utawakamata, Mimi mwaka Jana niliibiwa simu nikaenda kuriporti ,ikafanyiwa tracking,cha kushamgaza mwizi wangu alikuwa ni jirani yangu mwana mama,

Kama una IMEI ifuatilie utaipata.

Ushauri : jaribu kuwasiliana na polisi wa mbali na eneo ilipoibiwa simu ili kuepuka polisi kumkata mwizi wako na baadae wakamalizana kishua na wewe usipate simu yako,kama uko wilaya X wasiliana na polisi wa wilaya Y,utaipata simu bila shida,kikubwa hatua ya kwanza kariporti upate RB kwa kituo cha polisi karibu na wewe,usiwape details za simu
usiwape details za simu
Kivipi apa mkuu
 
Kivipi apa mkuu
Asiwape polisi wa kituo ambacho anaenda kuriporti/ kuchukua RB kuwa kaibiwa,bali ampe taarifa za simu polisi wa kituo cha mbali na anapoishi ili kumuwezesha kuifanyia tracking

Hii inasaidia kublock chaini ya polisi kumalizana na mtumiwa kimya kimya bila ya yeye mwenye simu kukuwa na taarifa
 
Nimeibiwa sim na nisharipot police

Sasa niitrack au police watakula ela zangu

Nawaza niachane nayo tu lakini moyo unasema labda nijaribu upande mwingine naona nitapoteza mida na fedha
Maana nimejaribu kupitia nyuzi hapa hamna mtu anakiri alishawahi pata simu kwa kupitia police
Watakulia pesa, hio pesa nenda kale kiepe
 
Nimeibiwa sim na nisharipot police

Sasa niitrack au police watakula ela zangu

Nawaza niachane nayo tu lakini moyo unasema labda nijaribu upande mwingine naona nitapoteza mida na fedha
Maana nimejaribu kupitia nyuzi hapa hamna mtu anakiri alishawahi pata simu kwa kupitia police
Inategemea aina ya hiyo simu,pia kama ulihifadhi namba ya imei
 
Nimeibiwa sim na nisharipot police

Sasa niitrack au police watakula ela zangu

Nawaza niachane nayo tu lakini moyo unasema labda nijaribu upande mwingine naona nitapoteza mida na fedha
Maana nimejaribu kupitia nyuzi hapa hamna mtu anakiri alishawahi pata simu kwa kupitia police
Polisi wetu hawa sio waadilifu nao wezi tuu maana ukiwapa hiyo mishe umesha wapa mchongo watapiga hela kwako na huo upande wa pili, na wewe simu huipati kuliamini jeshi la polisi ni sawa na kumuamini shetani
 
Back
Top Bottom