Nimefukuzwa kazi kisa nimekula chakula cha boss, inauma sana

Habari wadau..!
Miezi kadhaa iliyopita nilibahatika nilipata kazi katika kampuni moja kubwa ya uzalishaji .

Nilianza kazi vizuri tu ,ila siku ya kwanza tu naingia ofisini sekretari wa boss akaonyesha kunichangamkia kama tulishawai kuonana before mpaka nikaogopa ,nikajitahidi kumkwepa sana lakini hakuwezekana.

Weekend moja akanipigia simu anakuja ghetto maana hata namba aliniomba nikampa ,nikamwambia sipo nyumbani nimetoka kidogo lakini ghafla nikashangaa mlango unagongwa kumbe wakati anapiga simu teyari alishakuwa amefika na sikuwahi kumuelekeza ninapoishi .Kumbe wakati anapiga simu alikuwa anasikilizia nitamjibu vipi iwapo atataka kuja kwangu.

Mungu anisamehe kwa kweli ,kama kawaida alipoingia tunduni tu sekretari wa boss na mm nikaweka nyavuni pasipo kujua kwamba ni chakula ya boss wangu.

Siku moja tu kwa kweli imeharibu ajira yangu yote,kumbe kuna watu walimuona wakati anatoka ghetto wakaenda kumwambia Mr.Boss man kwamba nimekula tunda yake.

Kibaya zaidi boss ana undugu na mwenye kampuni kwa hiyo boss akaongea na Hr mshahara wangu nisiingiziwe,na nifanyiwe figisu mpaka kazi niione chungu.

Huwezi amini miezi yote miwili sikupata mshahara,kila siku mm nina kesi ofisini kwa Hr.

Naombeni ushauri bandugu hii job niipge chini au nifanyeje,????maana wajuba wamenambia yote unayopitia ni sababu umekula chakula ya boss.Ila mm kiukweli sikujua kama ile manzi sekretari ni kipoozeo ya boss.

Acha ulafi wa ngono
 
Picha kwanza ushauri utategemea na picha mbona huu ndio utaratibu wetu jamani 😃
 
Hii hadithi ina mtiririko Wa uongo kuliko ukweli.

Mwambie Sekretari akuombee msamaha Kwa mpenziwe.
 
Weekend moja akanipigia simu anakuja ghetto maana hata namba aliniomba nikampa ,nikamwambia sipo nyumbani nimetoka kidogo lakini ghafla nikashangaa mlango unagongwa kumbe wakati anapiga simu teyari alishakuwa amefika na sikuwahi kumuelekeza ninapoishi .Kumbe wakati anapiga simu alikuwa anasikilizia nitamjibu vipi iwapo atataka kuja kwangu.

Mungu anisamehe kwa kweli ,kama kawaida alipoingia tunduni tu sekretari wa boss na mm nikaweka nyavuni pasipo kujua kwamba ni chakula ya boss wangu.

Mkuu kwani ninyi mliooa huwa mnaishi ghetto?

Thread 'Wanaume tunapigwa sana kwenye familia' Wanaume tunapigwa sana kwenye familia
Sisi tulio kwenye ndoa tunapigwa sana kwenye familia. Wanawake wamekuwa wabishi kama wenyeviti wa Serikali za Mtaa, yaani hawataki kutusomea mapato na matumizi ya familia.
 
Hahahaaaaa mazafanta

Yani nifanye kazi then nisilipwe bila sababu za msingi..!!!
Aisee nitawapiga tukio hapo ofisini hawato sahau maisha.
Tumia kichwa cha juu hicho cha chini kitakupeleka magereza
 
Kiwanda kikubwa,anapajua kwangu wakati hatujuwahi kuwasiliana,taarifa zimemfikia boss kwamba fulani alikuja kwangu,hicho kiwanda sijui kipo buza ya wapi au ya kwa mtogole
 
Ulafi mbaya, umekuponza, ulidhani uko Mbele kumbe upo Vingunguti kwa wafia mbususu, waswahili husema Umenyea kambi, Utachambia Sime
 
Kuna kampuni zinaendeshwa kihuni sana, yaani mtu tu anaagiza fulani asiwekewe mshahara na INAKUA!? Hao HR ni professional HRs au wanafanya kazi za HR? Bila barua, bila written warning bila reprimand bila....., nk basi mshahara unasitishwa na kazini kila siku unakuja? Strange, very strange
 
Habari wadau.

Miezi kadhaa iliyopita nilibahatika nilipata kazi katika kampuni moja kubwa ya uzalishaji .

Nilianza kazi vizuri tu, ila siku ya kwanza tu naingia ofisini sekretari wa boss akaonyesha kunichangamkia kama tulishawai kuonana before mpaka nikaogopa, nikajitahidi kumkwepa sana lakini hakuwezekana.

Weekend moja akanipigia simu anakuja ghetto maana hata namba aliniomba nikampa, nikamwambia sipo nyumbani nimetoka kidogo lakini ghafla nikashangaa mlango unagongwa kumbe wakati anapiga simu teyari alishakuwa amefika na sikuwahi kumuelekeza ninapoishi. Kumbe wakati anapiga simu alikuwa anasikilizia nitamjibu vipi iwapo atataka kuja kwangu.

Mungu anisamehe kwa kweli, kama kawaida alipoingia tunduni tu sekretari wa boss na mimi nikaweka nyavuni pasipo kujua kwamba ni chakula ya boss wangu.

Siku moja tu kwa kweli imeharibu ajira yangu yote, kumbe kuna watu walimuona wakati anatoka ghetto wakaenda kumwambia Mr.Boss man kwamba nimekula tunda yake.

Kibaya zaidi boss ana undugu na mwenye kampuni kwa hiyo boss akaongea na Hr mshahara wangu nisiingiziwe, na nifanyiwe figisu mpaka kazi niione chungu.

Huwezi amini miezi yote miwili sikupata mshahara, kila siku mm nina kesi ofisini kwa Hr.

Naombeni ushauri bandugu hii job niipige chini au nifanyeje? Maana wajuba wamenambia yote unayopitia ni sababu umekula chakula ya boss ila mm kiukweli sikujua kama ile manzi sekretari ni kipoozeo ya boss.
OMBA UPIGE TENA, SAFARI HII MPULIZE MKUNDU KABISA, ANAKUWA WAKO DAIMA HUYO. ATAKUWA ANAOMBA SAMAHANI KWA BOSI THEN ANARUDI KWAKO TENA KAZI INAENDELEA
 
Back
Top Bottom