Nimefukuzwa kazi kisa nimekula chakula cha boss, inauma sana

Yaani haya mambo bwana! Nakumbuka mwaka wa pili nilibebeshwa somo(carry) kisa lecturer alijua me nina mahusiano na demu ambaye alikuwa anampenda but demu alimkataa.Ukaribu wa yule dada na mie ilikuwa group, so alikuwa groupmate.

Kosa lilikuwa nilienda live band na bahati nzuri- mbaya nikakutana na na demu huko na tukakaa meza moja ni chupa na music. Ohooo lecturer kaja katuona. Aisee nili-carry somo tena somo jepesi ktk masomo yoteeee.

Pole kaka, tafuta kazi kwingine, papuchi ilimshinda hata Samsung enzi za Delila
 
Huyo boss ameniambia hataki kuniona kazini lakini yeye sio mwajiri (HR) ni ndugu tu wa mwenye kampuni,ila ni mtu ambaye wafanyakazi wanamuogopa sana .Wanasema akisema hakutaki lazima tu utafukuzwa mda si mrefu sababu mwenye kiwanda ni kaka yake sijuhi umenielewa??Ishu je nimkazie nimwambie kwamba yeye ajaniajiri hawezi nifukuza au nijikatae.
Huyo mwanamke uliyelala nae pia amefukuzwa kazi?
 
Huyo boss ameniambia hataki kuniona kazini lakini yeye sio mwajiri (HR) ni ndugu tu wa mwenye kampuni,ila ni mtu ambaye wafanyakazi wanamuogopa sana .Wanasema akisema hakutaki lazima tu utafukuzwa mda si mrefu sababu mwenye kiwanda ni kaka yake sijuhi umenielewa??Ishu je nimkazie nimwambie kwamba yeye ajaniajiri hawezi nifukuza au nijikatae.
Ongea nae kistaarabu,
Mwombe akueleze kisa ni nini.

Kama akikwambia kisa ni uyo mwanamke, kua mpole na mstaarabu.

Na wewe kama mwanaume funguka kua hukujua na hata ni kweli hutorudia tena.

Wanaume sisi hatunaga visirani vya ajabu, usikute uyo jamaa nae kalishwa sumu mbaya mno.
Bila kufunguka akajua upande wa pili ukoje, atakuhukumu na utapoteza kibarua chako.

Kaa nae vizur kama mwanaume mwenzio, mwelekeze ilivokua.

Kamwe,
Usithubutu kujifanya jeuri kama huna mbadala wa iyo ajila yako.

Maskini jeuri ni msemo tu, isiutilie sana maanani ukaja kukugharimu sana maisha yako.

FOCUS ON YOUR FUTURE.
 
Habari wadau..!
Miezi kadhaa iliyopita nilibahatika nilipata kazi katika kampuni moja kubwa ya uzalishaji .

Nilianza kazi vizuri tu ,ila siku ya kwanza tu naingia ofisini sekretari wa boss akaonyesha kunichangamkia kama tulishawai kuonana before mpaka nikaogopa ,nikajitahidi kumkwepa sana lakini hakuwezekana.

Weekend moja akanipigia simu anakuja ghetto maana hata namba aliniomba nikampa ,nikamwambia sipo nyumbani nimetoka kidogo lakini ghafla nikashangaa mlango unagongwa kumbe wakati anapiga simu teyari alishakuwa amefika na sikuwahi kumuelekeza ninapoishi .Kumbe wakati anapiga simu alikuwa anasikilizia nitamjibu vipi iwapo atataka kuja kwangu.

Mungu anisamehe kwa kweli ,kama kawaida alipoingia tunduni tu sekretari wa boss na mm nikaweka nyavuni pasipo kujua kwamba ni chakula ya boss wangu.

Siku moja tu kwa kweli imeharibu ajira yangu yote,kumbe kuna watu walimuona wakati anatoka ghetto wakaenda kumwambia Mr.Boss man kwamba nimekula tunda yake.

Kibaya zaidi boss ana undugu na mwenye kampuni kwa hiyo boss akaongea na Hr mshahara wangu nisiingiziwe,na nifanyiwe figisu mpaka kazi niione chungu.

Huwezi amini miezi yote miwili sikupata mshahara,kila siku mm nina kesi ofisini kwa Hr.

Naombeni ushauri bandugu hii job niipge chini au nifanyeje,????maana wajuba wamenambia yote unayopitia ni sababu umekula chakula ya boss.Ila mm kiukweli sikujua kama ile manzi sekretari ni kipoozeo ya boss.
Chai
 
Haujaipika vizuri....
tea-2.gif
 
Tumia huyo huyo secretary kurekebisha mambo .hawashindwagi hawa watu..kama wewe alikuweza .mwambie aweke mambo sawa kwa boss..lakini usizoee...nilichokusifu umekuwa striker mzuri.. Yani umefanya jambo nililotarajia...tambua hata usingekula chakula waliokuona wangesema tu umekula..kwahiyo hapo unapambana na tuhuma za ukweli bila hiyana
 
Habari wadau..!
Miezi kadhaa iliyopita nilibahatika nilipata kazi katika kampuni moja kubwa ya uzalishaji .

Nilianza kazi vizuri tu ,ila siku ya kwanza tu naingia ofisini sekretari wa boss akaonyesha kunichangamkia kama tulishawai kuonana before mpaka nikaogopa ,nikajitahidi kumkwepa sana lakini hakuwezekana.

Weekend moja akanipigia simu anakuja ghetto maana hata namba aliniomba nikampa ,nikamwambia sipo nyumbani nimetoka kidogo lakini ghafla nikashangaa mlango unagongwa kumbe wakati anapiga simu teyari alishakuwa amefika na sikuwahi kumuelekeza ninapoishi .Kumbe wakati anapiga simu alikuwa anasikilizia nitamjibu vipi iwapo atataka kuja kwangu.

Mungu anisamehe kwa kweli ,kama kawaida alipoingia tunduni tu sekretari wa boss na mm nikaweka nyavuni pasipo kujua kwamba ni chakula ya boss wangu.

Siku moja tu kwa kweli imeharibu ajira yangu yote,kumbe kuna watu walimuona wakati anatoka ghetto wakaenda kumwambia Mr.Boss man kwamba nimekula tunda yake.

Kibaya zaidi boss ana undugu na mwenye kampuni kwa hiyo boss akaongea na Hr mshahara wangu nisiingiziwe,na nifanyiwe figisu mpaka kazi niione chungu.

Huwezi amini miezi yote miwili sikupata mshahara,kila siku mm nina kesi ofisini kwa Hr.

Naombeni ushauri bandugu hii job niipge chini au nifanyeje,????maana wajuba wamenambia yote unayopitia ni sababu umekula chakula ya boss.Ila mm kiukweli sikujua kama ile manzi sekretari ni kipoozeo ya boss.
Chai plus alkasusu
 
Kuan kitu unaficha. Alipajuaje ghetto?

Back
Top Bottom