Kasema tuachane, baada ya kudaiwa Kodi ya nyumba anaomba turudiane

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,485
99,215
Wakuu,

Mwezi uliopita tulikuwa na ugomvi mkubwa sana nikadhamiria kabisa kuachana naye moja kwa moja.

Baada ya kuomba msamaha sana, turudiane ikashindikana. Akameza vidonge lengo kujiua nisipokubali kumsamehe.

Nikamwambia, "Wewe jiue tu usinibabaishe, hutokuwa wa kwanza kujiua."

Muda mfupi nnapokea namba ngeni anajitambulisha ni Nesi na kunambia mamaj ameletwa zahanati flani. Yupo hoi kwa kunywa sumu. Nifike haraka tumnusuru. Nikasema, "Sawa, nakuja." Nikafika hospitali haraka nikakuta amelazwa na katundikwa dripu.

Alilala pale usiku mmoja. Kesho yake naenda kumchukua aliruhusiwa. Daktari ananambia nibebane dawa zake atameze nyumbani. Tumefika kwake, nafungua na kukuta amefungashiwa mseto na panadol tu. Nikabaki na mshangao.

Ikabd kumpigia Nesi anipe namba ya Simu ya dokta alienipa zile dawa niongee nae, nna shida nae, dokta nmempigia anasema zile ndio dawa sahii mana Alikua anasumbuliwa na malalia mgonjwa wako.

Nikamuuliza dokta Kama hakua na Tatizo jingine, dokta akasema hapana ndo mana nmempa mseto na Panadol tu. Nikasema Asante sana dokta. Nikakata Simu.
Nb: Sikutaka dokta ajue nmejua kua nmedanganywa kua kameza sumu.

Nmerud kwa mamaJ kuumuliza kwann yeye na Nesi wamenidanganya suala la sumu kumbe anaumwa malalia, akamtupia mpira Nesi, ikabd kupga na kuweka loudspika Nesi arudie alichonambia, MDA ule akinitaka nifike hospital.

Nesi anapokea anamtupia mpira mamaJ kua kasema alisema vile kwa maelezo ya mamaJ kua kameza vidonge vingi ana stress sn na Mimi ndo chanzo, hayo majibu ya maabara kua ana malalia hayajui na hausiki.

Nikagundua kumbe wananifanyia maigizo, hayajui vp wkt yeye ndo Alikua Beneti na mgonjwa, ana adjust drip kila MDA na kuangalia anaendeleaje. Ikabd kukata Simu kwa hasira. Nesi kapiga Sana sijapokea, tukaendelea kuzozana na mamaJ khs maigizo aliyonifanyia.

†****************

Ikabd kufupisha na kumwambia kua
Msaada nilompa unatosha, hatoniona Tena kwake. kwann anadanganye uongo wa kipuuz Tena anaigiza suala la kujiua na kuunda script ya uongo mpk analazwa hospitali na natoa gharama zangu kibao zahanati kwa maigizo ya kijinga yeye na uyo Nesi wake.Nikaaga na kuondoka zangu.

Usiku Niko nyumbani nesi kapiga nmepokea na kumwambia alichofanya sio uungwana na hakikubaliki hasa kwa taaluma yake, akizingua naweza kumshtaki kwa maboss wake na nimharibie KAZI Yake maana ile recorded call Yake tuliyoongea siku ile ninayo.

Nesi kaomba sn msamaha na kuomba yaishe, ilikua Ni script alimpa mamaJ amsaidie ili tuweze kurudiana maana anaumia kwny mahusiano yake kisa Mimi na yeye hatuelewani.

Nikwamwambia ukikiri peke yako nesi haina maana, unapaswa umwambie na uyo mpuuz mwenzako mamaj akiri kosa lake Kama ulivofanya Wewe, mpk sahv kanibishia kwa Nguvu zote.

Nikaongezea kua
"Mamaj akiendelea na msimamo wake huo, Mimi jumatatu asbh (ilkua ijumaa siku hiyo) ntakuja hapo ofsn kwenu nikuripoti kwa mkurugenzi wako nikuharibie kazi". Nesi akaomba nafas ataongea na mamaJ akiri kosa,haya mambo anaomba nisiyafikishe mbali. Nikasema "POA"

*************

Kesho Yake jumamosi mamaj kanipigia anafoka kwann namtisha Nesi wa watu, Kama vip tuachane Moja kwa moja,namba yangu anafuta na kuniblock kila mahali,nami nifanye hivyo. nikasema POA na kukata Simu. Jumamosi na jumapili zote hatuwasiliani na mamaJ au Nesi.

Jumatatu asbh nmefika pale zahanati nikamwambia nesi unaponiona Hapa huu Ni mguu wako,nmekuja kukushtaki kwa boss wako, mpuuz mwenzako analeta Maneno ya kashfa kwangu,msikilize (nikaplay recorded call) Akanisihi nisifanye hivyo ataongea nae mpk akiri kosa, tusiharibiane kazi kwa ayo Mambo madogo,anajuta kushiriki ule mpango.

Nikamwambia nakupa nafas ya mwisho, kaongee nae. Ila nakuahidi kua uyo shoga yako akiendeleza hizo drama na kashfa zake, seriously ntakuharibia na tutaonana wabaya. Nikaaga na kuondoka zangu.

Jumanne mamaJ ananipigia simu anaomba yaishe,sio vzur Kamharibia kazi nesi wa watu,Hana hatia yoyote,nikamjibu namba yangu umetoa wapi na ushasema umefuta na kuniblock kila mahali. Akasema tusirudishe ya nyuma, amekuja kivingine,nikamkatia Simu na kuendelea na ishu zangu.

***********

Siku Iyo jion Niko nafunga funga niondoke zangu, mamaJ anapiga Sana Simu zake sizipokei, ghafla napokea namba ya Nesi anaomba kuonana na Mimi, Yuko kwa mamaJ,anasema kila kitu Kiko sawa anaomba nije tuyazungumze, nikasema POA nakuja.

Nmefika wote wamekiri kosa na yameisha,Nesi Katia ushaur mzuri wa kimahusiano na katuunganisha pamoja, tumecheka na kufurahi, kisha tumemsindikiza nesi kaondoka zake na tumerudi kupongezana kurudiana kwa show moja ya Nguvu Sana, wote hoi na ikawa mahusiano yetu kama yamerudi upya. Sasa ikapita siku 2 Tunaishi kwa amani sana Bila magomvi yoyote.

Siku ya 3 tangu tumerudiana, nmeinama nje dukan kwangu nafunga mzigo wa mteja,naskia mtu ananigusa begani, nageuka Ni Nesi analalamika kua ananiita najikausha siskii na namba yake nmemblock kila akipiga simu yangu inajikata.

Nikabisha itakua Ni mtandao, Sina tatzo na Wewe Wala sababu ya kukublock,nesi anasema niangalie vzur huenda itakua imejiblock, nangalia vzur nakuta namba yake hata haipo kwny phone book wkt niliisevu hapo kabla

Ikabd anitajie upya niisevu huenda imejiblock au kujifuta bahat mbaya Kisha nikamuahidi ntamchek baadae tuongee zaidi, sahv Niko bize kidg,kasema "sawa" kaaga na kuondoka zake.

************

Sasa ile kigiza inaelekea saa 1 jion Niko njian naelekea kwa mamaJ, ikabd nimpigie nesi Simu tukasalimiana na kupiga story mbili tatu za KAWAIDA tangu ugomvi ule kipind kile. Kisha nikakata simu, na kuelekea kwa mamaJ maana nilikua Ndo nmelikaribia geti lake.

Naingia TU nampa salamu kimya, nashangaa uyu vipi mbona kanuna, ghafla natoa Simu niperuzi peruz jf nn kimejiri uko, nashangaa mwenzangu ananipora simu juu kwa juu.

Nauliza vp mbona sikuelewi, anasema wee mwanaume umalaya Sijui utakufikisha wapi, unanicheat Sana na sahv naona umeamua unicheat kabisa Hadi kwa rafiki yangu Nesi. Duh! Nikabaki na mshangao.

Nkauliza "kwann unasema hivyo"
Akasema "nilimpigia nesi anatumika, nawe nakupigia unatumika Sana, nikajua Moja kwa Moja nyie mnawasiliana"

Akaongezea "hii apa simu yako, kwny calls naona dkk 5 zilizopita mliwasiliana na nesi. Kibaya Zaid mmeongea kwa dakika 17 na sekunde 40, Nataka unijibu mlikua mnaongea khs Nini MDA wote huo, Na mazoea na Nesi yameanza tangu lini,lengo lengu Ni nini hasa"

Nikashangaa na kumuuliza "Ni maswali gani Sasa Hayo". Akasema "nyie wote Ni malaya na mnatakana kimapenzi,mchezo wenu nishaustuka Toka MDA,Juz nmefuta namba zake na kuziblock kwny Simu yako, usivo na haya mwanaume wewe,umezitafuta na leo mmewasiliana tena" nikabaki na mshangao.
******************

Ila Nikakumbuka kumbe ndo mana leo mchana nesi alilalamika nmemblock, na namba zake kwny phone book yangu nmezitafuta sijazikuta. Anyway nikapotezea.

Nikauliza, "Kwan Kuna tatzo gan nikiwasiliana na Nesi, ebu acha mawazo potofu bhana mpenz wangu" akazidi kupaza sauti, nikampuuza na kuamua kwenda chumban ili kubadili nguo nikaoge.

Akanizuia mlangoni kua siruhusiwi Kuingia chumban kwake mpk nimpe majibu yanayoeleweka tunawasiliana nn na Nesi dkk zote 17 kama sio Maswala ya umalaya na kutakana kimapenzi.

Nikacheka na kumwambia
"Ntajieleza nn sasa na tayar unasisitiza tuliwasiliana khs Maswala ya umalaya na kutakana kimapenzi"

Nikaongezea,
"Nakushauri katulize akili yako Kwanza,Kisha uje kistaarabu ndo ntakujibu vzur hayo maswali yako. Hapa tutapigizana makelele TU,hutonielewa wala kuniamini sababu tayar unayo majibu yako kichwani"

***********

Akasema "huna Cha kujieleza nikuelewe Wewe, nyie mnatakana kimapenzi, uyo Nesi namjua Ni Malaya sana nmekua nae Mimi, ndo zake kudandia na kuchukua mabwana za watu. Yeye kufumaniwa na waume za watu Ni KAWAIDA Sana,haoni shida. Sitaki uniletee magonjwa Mimi. Kama umeamua kua na Nesi, Basi baki nae yeye TU, sitaki unaichanganye changanye na wanawake wa ajabu ajabu mimi tafadhali"

Nikaona Sasa uku ni kudhalilishana.
Ikabd nimwambie TU "icho icho unachokiwaza kichwan mwako ndilo jibu sahii, huo naomba mjadala ufe,nipishe nipite". Akauliza Tena, uko serious unatoka kimapenz na Nesi, nikamjibu "siwez kukupinga, icho icho unachowaza kichwan mwako ndilo jibu sahii".

Akasema
"Basi Kama unatoka kimapenzi na Nesi Mimi na Wewe kuanzia MDA huu sasa bhasi, toka kwangu na futa namba zangu,nami ntafuta zako na kukublock kabisa na tusijuane daima na hata nikifa kwenye kaburi langu usisogee, wee mwanaume ni Malaya Sana, huna hata haya, yaani Unakiri kabisa unatembea Hadi na rafiki zangu, huna akili kabisa Wewe"
Nikasema "sawa tu" nikageuza na kuondoka zangu.

Jana asbh nikashangaa mamaJ ananipigia sn simu, sijapokea. MDA Si mrefu mwenye nyumba wake mamaj nae akanipigia, sijaipokea.

Ila Moja kwa moja nikakumbuka uyu mzee atakua anaulizia kodi yake, maana iliisha tangu tar 10 mwezi wa may, na nikaahidi anivumilie mpk tar 30 mwishon mwa mwezi huu ndo ntamlipa Kodi yake ya miez 6 ijayo tena.

Nikawaza sana kuipokea Simu ya baba mwenye nyumba,ila nikaipotezea tena kwanza niwaze kipi sahii Cha kumjibu mzee yule, maana siwez kulipia Kodi tena pale wkt tushaachana tayar na mwanamke anayeishi pale. Nikatuliza akili, kuwaza na kuwazua.

*********

Niko katkati Nawaza, mamaJ akatumia namba ngeni kunipigia, nmepokea haraka najua labda mteja, kumbe Ni yeye anasema, "wee vipi mbona upokei Simu zangu, baba mwenye nyumba anaulizia Kodi yake,anapiga Simu sana ujapokea"

Nikamuuliza "unanihoji kutokupokea Simu zako au za mwenye nyumba wako wee Kama Nani yangu labda?"

Akajibu " wee Kama mpenz wangu"
Nikamwambia " tangu lini,mi na wee mbona tushaachana tayari"

Akasema "sawa hata Kama tumeshaachana suala la Kodi Ni juu yako,Hii nyumba ulinipangishia wewe mwnyw kwa hiari yako, sikukulazimisha kupanga hapa mimi, kwaiyo Kama hela huna, tafuta pa kukopa ulipe Kodi ya watu usilete usumbufu, leo ni tarehe 30 uliahidi mwenyewe kua utatoa, utoe sasa. usitake kuniletea matatizo kwny nyumba za watu mimi."

Nikaona kumbe huyu mwanamke Ni mpuuzi sana,ananichukulia POA poa Sana. nikamkatia Simu.

Kwa hasira Nikampigia mwenye nyumba, akasema alkua anakumbushia Kodi Yake, leo ndo tar 30 may Kama nilivoahidi ntamlipa.

Nikamueleza kua "samahan mzee nlkua mbali na Simu, pesa yako ya kodi kwa miez 6 ijayo tayar nishampatia mwanamke wangu (mamaJ) pale kwake, tuma mtu au Nenda mwnyw ukaichukue mzee wangu,leo hajaenda kazini"

mzee akashkuru na kusema anaelekea kuichukua mwnyw sahv Nikasema sawa mzee, basi tukaagana na akakata Simu.

**********"***

Sijakaa Sana (almost 1 hr) mzee kanipigia kua mbona mamaj anasema ujaacha Ela ya Kodi?,

nikamwambia mzee
"aache Utapeli uyo mwanamke,Kama pesa ya kodi kaila, atajua mwnyw atailipa vipi, Kama hawezi kukupa pesa,atafute pa kwenda Kuishi uyo mwanamke asing'ang'anie nyumba yako na pesa yako hataki kukupa"

Pale pale Mwenyenyumba akamuuliza mamaJ uku naskia "umemskia bwana ako, kwaiyo nataka nijue Iyo pesa IPO au haipo niondoke zangu?"

mamaJ Akasema "Sina pesa yoyote Mimi"

Mzee Akasema " umemskia? kasema Hana pesa yoyote" simu ilkua loudspika

Nikamwambia" mzee uyo mwanamke aache usanii,pesa nmemuachia"

Mzee akanikatisha, " sikiliza boss wangu,Ayo y kwenu mtajua ninyi, ntarudi hapa ijumaa kufata Kodi yangu, imeshindikana msombe vitu vyenu kufikia jumatatu mhame niweke mtu mwngn. Sipendagi usumbufu kwny maswala ya Kodi, Mi naondoka" Nikamwambia mzee "sawa haina shida" mamaJ yuko kimya hakujibu chochote.

Baadae kidg, mamaJ ananipigia kua "mbona umenisingizia hivyo kwa mwny nyumba, Ni Kodi ipi uliyoniachia Wewe?"

Nikamjibu
" nmefanya kusudi ili ulipe mwnyw Kodi maana tushaachana na sihusiki Tena kukulipia Kodi Apo kwako"

Akaanza kusema
"zile zilikua hasira bhana,sijamaanisha, mie bado nakupenda Sana, naomba yaishe, mwenzio nikifukuzwa Hapa unadhani ntaenda Kuishi wapi jamani?"

***********

Nikamwambia,
"Utaenda kuishi wapi hiyo hainihusu, kusema unaomba usamehewe,unanipenda sn kisa huna pesa ya kulipia Kodi huo Ni uhuni, unanigeuza danga lako Sio? Hiyo haikubaliki,am not that fool"

Nikaongezea,
"wee Ushatangaza tuachane, Basi kila mmoja abebe msalaba wake,lipia Kodi yako mwnyw. Unategemea niwe fala nikulipie Kodi afu bwana ako aje mlalane apo Kwny nyumba nnayolipia kodi Mimi. Huo ujinga sifanyi aisee"

Akasema "haya Asante nmekuelewa, ila Sio kwamba nilimaanisha tuachane Moja kwa Moja, nilitaka ujirekebishe uache kutembea na rafki yangu,afu ni Malaya sn yule, mie sipendi,magonjwa mengi skuhizi, anatembea Sana na waume za watu yule. Mie nakutakia mema afu bado nakupenda Sana. Utakuja ufumaniwe uuwawe, Ni Malaya Sana yule."

Akaongezea,
"Sasa Unasema pesa ya Kodi nilipe Mimi, Sasa mie pesa natoa wapi au unataka nikadange ili nilipe Kodi jamani?"

Nikamwambia
"uko Kazini mshahara wako unapeleka wapi?, duka ulilofungua pesa zako unapelekaga wapi? Kama kudanga Ni tabia yako, it's okay sikuzuii, ila kudanga haiwez kua kisingizio Cha kukosa Ela ya Kodi. Kuna wanawake wana maisha magumu kuliko wewe ila hawajawai kua hata na hayo mawazo ya kudanga."

Nikaongezea,
"Kama kweli unanipenda Basi hii Kodi ya miez 6 ijayo lipia mwenyewe, usiwe unaigiza kunipenda ili ulipiwe Kodi Kisha urudi Tena kujichetua tuachane ili nipate hasara mimi. Mi hata tukiachana umeshajilipia Kodi mwnyw, sawa TU,Sina hasara yoyote nakuacha free uende zako"

*********

Akasema "sawa Ila naomba tuchangie, nipambane nilipie 450, nawe unilipie 450. Mie Hali yangu ngumu Sana sahv, mshahara mdogo nilikopea na biashara dukan ngumu sana, Duka linashinda Bila kuuza kitu"

Nikamwambia
"hiyo haipo wee lipia mwnyw Kodi yote ya mwenye nyumba wako Kwanza, ukishalipa utanitafuta Tena ili tuendeleze haya mahusiano yetu"

Kiunyonge Sana akasema "sawa bhana,ntafanye Sasa Kama ndo ushaamua hivyo. Ila jua unanipa wakati mgumu Sana mpenz wangu."

Nikamwambia, "utajua mwnyw bhana" nikamkatia simu.


Sasa wakuu,
HAPA NAMSUBIRI AJILIPE KODI YAKE YA NYUMBA KISHA NDO TUENDELEZE MAHUSIANO YETU.

IKISHINDIKANA KUJILIPIA NDO BASI TENA,NTAHESABU TUSHAACHANA.

Mahusiano ya kudangiana kwa Kisingizio Cha NAKUPENDA SANA yameshapitwa na wakati.

Wanawake sometimes ebu muone haya Basi, Huyu mamaJ anajichetua sn mpk anakera Sana yaani

Nawasilisha wakuu
 
Siku Iyo jion Niko nafunga funga niondoke zangu, mamaJ anapiga Sana Simu zake sizipokei, ghafla napokea namba ya Nesi anaomba kuonana na Mimi, Yuko kwa mamaJ,anasema kila kitu Kiko sawa anaomba nije tuyazungumze, nikasema POA nakuja.

Nmefika wote wamekiri kosa na yameisha,Nesi Katia ushaur mzuri wa kimahusiano na katuunganisha pamoja, tumecheka na kufurahi, kisha tumemsindikiza nesi kaondoka zake na tumerudi kupongezana kurudiana kwa show moja ya Nguvu Sana, wote hoi na ikawa mahusiano yetu kama yamerudi upya. Sasa ikapita siku 2 Tunaishi kwa amani sana Bila magomvi yoyote.

Siku ya 3 tangu tumerudiana, nmeinama nje dukan kwangu nafunga mzigo wa mteja,naskia mtu ananigusa begani, nageuka Ni Nesi analalamika kua ananiita najikausha siskii na namba yake nmemblock kila akipiga simu yangu inajikata.

Nikabisha itakua Ni mtandao, Sina tatzo na Wewe Wala sababu ya kukublock,nesi anasema niangalie vzur huenda itakua imejiblock, nangalia vzur nakuta namba yake hata haipo kwny phone book wkt niliisevu hapo kabla

Ikabd anitajie upya niisevu huenda imejiblock au kujifuta bahat mbaya Kisha nikamuahidi ntamchek baadae tuongee zaidi, sahv Niko bize kidg,kasema "sawa" kaaga na kuondoka zake.

************
Nilijua story ya kweli kumbe hekaya za abunuasi
 
Wakuu,
Mwezi uliopita tulikua na ugomvi mkubwa sn nikadhamiria kabisa kuachana nae ile Moja kwa Moja.

Baada ya kuomba msamaha sana turudiane ikashindikana, akameza vidonge lengo kujiua nisipokubali kumsamehe.
Nikamwambia "wee jiue TU usinibabaishe,hutokua wa kwanza kujiua".

MDA mfupi napokea namba ngeni anajitambulisha ni Nesi na kunambia mamaJ kaletwa zahanati flan Yuko hoi kanywa sumu nifike haraka tumnusuru. Nikasema "sawa nakuja" nikafika hospitali haraka nikakuta kalazwa na katundikwa dripu.

Alilala pale usiku mmoja kesho yake naenda kumchukua karuhusiwa, dokta ananambia nibebe na dawa zake atamezea nyumbani. Tumefika kwake nafungua nakuta kafungashiwa mseto na panadol tu. Nikabaki na mshangao

*************
THE STORY BOOK
 
Back
Top Bottom