FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
Haya, Anza kujiumbuwa kwa ngunga.Hata mimi nimependa ID na avatar yako
Haya, Anza kujiumbuwa kwa ngunga.Hata mimi nimependa ID na avatar yako
Haya, Anza kujiumbuwa kwa ngunga.
Dah... Bado sana nikusubiri?
Kwahiyo bado hujakua ama muda wa kutulia na mmoja bado haujafika?Bado kidogo
Alikuwa anapika.jibu langu unaona ukinijibu utakonda
Aise...Mzigua90 ajiandae kuwa mpiga pasi wa hii suti kwa sababu hamna namna sasa mkuu!View attachment 966196
Uzaramo wapi una heka 20?Kuna mdada wa jf humu akikubali tu nampa zawadi ya shamba eka 20 huko uzaramoni
Hahaha.Amebadilisha ID yake very painful na Hataki nijue.... I love her though!!
mnasemaga hivyo hivyo ila hata hatuelewagi mnavyoanzaga#baby nikuambie kituHapana ben ,jengeni tu.
Hahaha.Mzigua90 ajiandae kuwa mpiga pasi wa hii suti kwa sababu hamna namna sasa mkuu!View attachment 966196
Na kweli anakupa au maneno?Aliniambia nisibet atakua ananipa tu hela
Haha.Teeeeeh, wajina umenichekesha sana mkuu. Amebadili ID halafu hataki uijue? Nakitajia ID mpya ili roho yako ifurahi![]()
Hata hanipi anasema hana anatafuta badoNa kweli anakupa au maneno?
Mimi nikimuambia hela ya kitimoto hanipi, akikupa tugawane best.
Wengi wanasema mapenzi no upofu hakika nimeamini hizi kauli za wahenga wetu...
Huyu dada nimempenda sana,wengi wanamponda wanaomjua wanamsifia sana.
Huyu dada ana elimu nzuri ya chuo na ya mtaani pia..anaweza ishi maisha yote ya starehe na ya hustle, hakika muuumba kampendela mrembo wetu huyu wa jf.
Sijui umenipa nini mdada nakupenda sana huwa nikisoma maandishi yako unasema utampenda yoyote moyo wako ukimpenda na mimi nitajitahidi kwa kila njia moyo wako unipende,
Nikimaliza hili jibapa nitakutaja hapa,siwezi kuzizuia hisia zangu tena
avatar sasaNimewah siti YA Mbele
mwambie tu mkuuhata mm nampenda mtu ila namwogopa kumwambia