Nimefall kwa mwanadada maarufu wa jf

Hazard CFC

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
15,828
2,000
Wengi wanasema mapenzi no upofu hakika nimeamini hizi kauli za wahenga wetu...
Huyu dada nimempenda sana,wengi wanamponda wanaomjua wanamsifia sana.
Huyu dada ana elimu nzuri ya chuo na ya mtaani pia..anaweza ishi maisha yote ya starehe na ya hustle, hakika muuumba kampendela mrembo wetu huyu wa jf.

Sijui umenipa nini mdada nakupenda sana huwa nikisoma maandishi yako unasema utampenda yoyote moyo wako ukimpenda na mimi nitajitahidi kwa kila njia moyo wako unipende,

Nikimaliza hili jibapa nitakutaja hapa,siwezi kuzizuia hisia zangu tena
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom