Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,575
Unamtaja lini Sasa?Sijamtaja bado..huenda kapo yetu pia ikafunga mwaka
Unamtaja lini Sasa?Sijamtaja bado..huenda kapo yetu pia ikafunga mwaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unataka niachwe eeh. Kama utanioa sema nimtose dokta now nowBby nataka kapo yetu ifunge mwaka haha
Mbele pana MibaNimewah siti YA Mbele
Kumbe ni Mzigua? Hongeraaa
BoraaaaaaSijamtaja bado..huenda kapo yetu pia ikafunga mwaka
Basi leo nitatafuta cha Jamaica kusherehekea hiliNi weweeee
Napima upepo kwanza nisije umbuka..mara paap nakutaja unanitosa hadharaniUnamtaja lini Sasa?
Ukipata nishtue tupige woteBasi leo nitatafuta cha Jamaica kusherehekea hili
Napima upepo kwanza nisije umbuka..mara paap nakutaja unanitosa hadharani
He heeeeNapima upepo kwanza nisije umbuka..mara paap nakutaja unanitosa hadharani
Wewe tena nakusahauje mpenziUkipata nishtue tupige wote
hahahahahaaa.....mbona hivyo mzigua jamani[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nakusubiri,na mm nahitaji mke sa hivi bado bado.Jamani wanaume wa Jf tuowane wenyewe kwa wenyewe msioe hao wa nje tupendane sisi kwa sisi na mm nikihitaji mme nakuja hapahapa sahv badobado
mnavisaJamani wanaume wa Jf tuowane wenyewe kwa wenyewe msioe hao wa nje tupendane sisi kwa sisi na mm nikihitaji mme nakuja hapahapa sahv badobado
Jamani wanaume wa Jf tuowane wenyewe kwa wenyewe msioe hao wa nje tupendane sisi kwa sisi na mm nikihitaji mme nakuja hapahapa sahv badobado
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi stress za kutokuwa na pesa zitafanya kuongezeka vichaa mjini yani Avatar na PM umeisha thaminisha muulize Asprin au Vin Diesel zaidi Watu8 watakwambia madhara ya Avatar shubamiti
Hata mimi nimependa ID na avatar yakoMnazozipenda ni ID na avatar.
Hapana ben ,jengeni tu.mkuu hiyo avatar unataka tusijenge nini?