Mgugu
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,165
- 4,404
@Ihera naomba nikuwoweJamani wanaume wa Jf tuowane wenyewe kwa wenyewe msioe hao wa nje tupendane sisi kwa sisi na mm nikihitaji mme nakuja hapahapa sahv badobado
@Ihera naomba nikuwoweJamani wanaume wa Jf tuowane wenyewe kwa wenyewe msioe hao wa nje tupendane sisi kwa sisi na mm nikihitaji mme nakuja hapahapa sahv badobado
Kwa hio mkuu we hujampenda yeye umelipenda lizigo lake tu?Potelea mbali mkuu..sio kwa zigo lile
😀😀😀😀....nilitaka tu utoke huko ulipo uje...yaani nikiona text yako basi mimi roho yangu kwaatuuuuu.......i love you mziguaWeeeee. Lini hiyo jamani?
Kwanza alikufundisha kubet? mimi alinifungulisha akaunt mbet hakurudi tena, we hazard wewe.
Vyotee mkuu,ila zigo limapalilia cv yakeKwa hio mkuu we hujampenda yeye umelipenda lizigo lake tu?
Kati ya wadada maarufu humu unaejulikana ni wewe bila unafki..Mimi naunga mkono kufungishwa ndoa mkeka na hazard .
Kati ya wadada maarufu humu unaejulikana ni wewe bila unafki..Mimi naunga mkono kufungishwa ndoa mkeka na hazard .

😀😀😀😀....nilitaka tu utoke huko ulipo uje...yaani nikiona text yako basi mimi roho yangu kwaatuuuuu.......i love you mzigua
Bado tu hajatajwa?Ninaejulikana kiaje tena? Wanivuruga yna ujue.
Vyotee mkuu,ila zigo limapalilia cv yake
Kwa sifa alizozitaja shemela Wangu hapo juuNinaejulikana kiaje tena? Wanivuruga yna ujue.
Ninaejulikana kiaje tena? Wanivuruga yna ujue.
Kumbe ni Mzigua? HongeraaaBby nataka kapo yetu ifunge mwaka haha
Zigo wenzio wanatunza, utaweza au unataka tu uonewe huruma?
Sijamtaja bado..huenda kapo yetu pia ikafunga mwakaKumbe ni Mzigua? Hongeraaa
Kama ipi. Mi sijaona sifa yangu hata mojaKwa sifa alizozitaja shemela Wangu hapo juu
Ni weweeee@demi kwani ni mimi jamani?![]()