Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,391
- 88,767
Daaaaaah. Nani huyo bingwa jamani. Nirudishe kwanzaHahah pambana na hali yako leo..lakin najua hukosi,,wew ulileft kule,jana kumempita mgao wa 50 50 hahaha





Daaaaaah. Nani huyo bingwa jamani. Nirudishe kwanzaHahah pambana na hali yako leo..lakin najua hukosi,,wew ulileft kule,jana kumempita mgao wa 50 50 hahaha





karibu tuchangie ulipaji wa kodiUkizima shauri yako. Ile promo imerudi tena na hela nshainywa jana..
Nalipa kodi na mimi hapakaribu tuchangie ulipaji wa kodiView attachment 968271
saaaaaaaafi mkuu..... kwa kodi hizi nnazochangia lazima hii airbuss 220-300 nipande bureNalipa kodi na mimi hapaView attachment 968284
Haka kakitu kalinizidi uwezo, halafu nilikunywa mbili tu kesho yake kuinama ilikua hamna niliteseka sana maumivu ya magoti kama nimepondwa mawe.Nalipa kodi na mimi hapaView attachment 968284
Hahahahaa.. wewe utakua sio mnywaji unaonja onja. Mbili tu zinakuchosha hivyo?Haka kakitu kalinizidi uwezo, halafu nilikunywa mbili tu kesho yake kuinama ilikua hamna niliteseka sana maumivu ya magoti kama nimepondwa mawe.
Hahahahaa.. wewe utakua sio mnywaji unaonja onja. Mbili tu zinakuchosha hivyo?
We mzigua si umalizie avatar yako kabisaa??






. Mtaona lips na miguu mpaka mchoke