Nimefall kwa mwanadada maarufu wa jf

Nimefall kwa mwanadada maarufu wa jf

Jamani wanaume wa Jf tuowane wenyewe kwa wenyewe msioe hao wa nje tupendane sisi kwa sisi na mm nikihitaji mme nakuja hapahapa sahv badobado
kwa hio avatar yako utapata.........
 
Yule mwanamke pendwa kabisa ajitokeze wikiend ndio inaanzia hvyo wikiend yote hotel Verde nimpe tcket mapema kesho tukutane pale kwa azam utaalii wa ndani
 
Ila we jamaa kila nkikuona namkumbuka jolie jolie, na dp yake ya picha zenu huwa nacheka sana.

Kwa @mziguag90 tafuta pesa kumaintain zigo hilo si mchezo na huo ubahili wako.
Haha kwani nimeshamtaja??
 
Ila we jamaa kila nkikuona namkumbuka jolie jolie, na dp yake ya picha zenu huwa nacheka sana.

Kwa @mziguag90 tafuta pesa kumaintain zigo hilo si mchezo na huo ubahili wako.
Mwambie mwambie
 
Ukizima shauri yako. Ile promo imerudi tena na hela nshainywa jana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hahah pambana na hali yako leo..lakin najua hukosi,,wew ulileft kule,jana kumempita mgao wa 50 50 hahaha
 
Back
Top Bottom