Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,826
Mzee baba Jolie Jolie amepotelea wapi ?
Au mlishamwagana baada ya kunjunjuana
Au mlishamwagana baada ya kunjunjuana
Huu mtamanisho wa kiwango cha reli yetu tarajiwaJamani wanaume wa Jf tuowane wenyewe kwa wenyewe msioe hao wa nje tupendane sisi kwa sisi na mm nikihitaji mme nakuja hapahapa sahv badobado
Bado kidogoDah... Bado sana nikusubiri?
Hata wakivua masks zao bado tunawapenda. Kama uamini muulize agata edwardMnazoziopenda ni ID na avatar.
TenaaaaaIhera huenda ni wew subiri uzi ujao naweka jina hadharaniNimependaa
Atakua Mzigua
Why me???Ewaaa
Tunaconnect tu dot.Why me???
Kumbe ana zigo ni miss natafuta nnPotelea mbali mkuu..sio kwa zigo lile





. Hata kumi ni wewe tu na uwezo wako wa kuwahandle wasijuane
kupenda wanawake jf mwisho wangap???
unasubiri nini sasa wakati ndio huu usije ukatoka kwenye ramaniJamani wanaume wa Jf tuowane wenyewe kwa wenyewe msioe hao wa nje tupendane sisi kwa sisi na mm nikihitaji mme nakuja hapahapa sahv badobado
Unajua una sifa zote zilizoainishwa hapo mchumba wa kakaWhy me???
Tunaconnect tu dot.
Kama ni kuwahandle wasijuane I can afford it.. nataka nami nitengeneze listi...... Hata kumi ni wewe tu na uwezo wako wa kuwahandle wasijuane
jibu langu unaona ukinijibu utakondaMnazoziopenda ni ID na avatar.
Mrembo mwenye minyota yakeeHhahahhaaaa. Sawa

wengine hatujawahi ata kutagiwa licha ya kufunguliwa uzi
Unajua una sifa zote zilizoainishwa hapo mchumba wa kaka
Teh sina tatizo na wote. PeaceBado nakupenda ila sijui kama ule upendo wako kwa mondray sijui kama upo kwa davinci
Mrembo mwenye minyota yakeewengine hatujawahi ata kutagiwa licha ya kufunguliwa uzi
![]()