abdi ally
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,563
- 2,169
Mtoto mmoja wa handeni hapo kwa msisi sijui kanipa dawa ganiMtaje mkuu
Mtoto mmoja wa handeni hapo kwa msisi sijui kanipa dawa ganiMtaje mkuu
Mtoto mmoja wa handeni hapo kwa msisi sijui kanipa dawa gani
SoonDuuuh mtaje aisee
Yaaan huwa silal kabisa yaaan nikimpa zile 20 za uzaramoni nitamuongezea na pale mkataHaha mkuu mbona unaingia anga zile zile?
Mkibosho ni nani hapa?Nimekujua kipenzi.
Kama ni mimi usichelewe kuanza kutoa mahari basi kibosho wanywe mbege na mbuzi
Mkibosho ni nani hapa?
We si mzigua?Mimi
We si mzigua?
hazard cfc kwahiyo unamtaja au niende zangu karaoke?
Yes ila mama mkibosho na nimelelewa ujombani
Oooh,Yes ila mama mkibosho na nimelelewa ujombani
Oooh,
Kumbe wa nyumbani,
Kibosho ipi?
mkuu hiyo avatar unataka tusijenge nini?Atajwe tu hamna namna.
Hahahaha
Mkuu unampenda Mzigua90 ila kitendo cha kushindwa kumwambia waziwazi hapa si dalili njema za penzi hilo!!Badilisha avatar..
Kina Behaviourist watakurukia mkuu



Kindi. Next weekend naenda
Rafiki unapendwa, sasa hivi ni kunenepa tuuu!Kindi. Next weekend naenda


