Mkuu huna discipline na chura za watu ndiyo maana huwa unachanganyikiwa!!matusi sasa hayaaa.. huo si mfuko wa takataka
Ila hazard cfc wewe ni fupa lililomshinda fisi aiseee, inamaana mimi pia ulikuwa unanidanganya?
Jamani mimi nalia huku!!!!!
Sio madame b kweli??
Hahaha upo kwenye raiti traki
Jamani,wengine ni wake zetu humu,mbn kama hatuwasomi?
@behaviouristNimewah siti YA Mbele
Mzigua huyo
nyie ndiyo viraza kila siku mnawahi siti za mbele. sisi majiniazi wacha tukae siti za nyumaNimewah siti YA Mbele
huyo hata mimi nampendaga sana mzigua,na aje tu bhana.karibu mzigua japo niliku pm ukanitimua😛😛Atakua Mzigua90
Sio kuhisi ndio yeye shemEeee shemela mbona umemuhisi huyo?
Ila hazard cfc wewe ni fupa lililomshinda fisi aiseee, inamaana mimi pia ulikuwa unanidanganya?
Jamani mimi nalia huku!!!!!
huyo hata mimi nampendaga sana mzigua,na aje tu bhana.karibu mzigua japo niliku pm ukanitimua😛😛
Tumtafute Jolie Jolie tuandamane, haiwezekani atudandanye wengi hivi.Mi mwenyewe kanidanganya sana huyu
Tumtafute Jolie Jolie tuandamane, haiwezekani atudandanye wengi hivi.