Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 4,762
- 11,384
kifua unacho?Mkuu tupe ujanja huo tafadhar
Cheating is not a prize mkuu .. kwa Mentality hizi mtaendelea kulea watoto wa wanaume wenzenu.kifua unacho?
Usiyatafute matatizo kwa lazima!
mleta uzi asingefanya hivyo ndoa yake ingeeebdela kuwa na amani leo kwa upumbavu wake imani imeisha ndoa hakuna tena sababu ya kufatilia mwanamke tena kwenye simu.
Ajiulize huyu mwanamke alimkuta bikra.
Unauhakika huyo ndiye baba yakoCheating is not a prize mkuu .. kwa Mentality hizi mtaendelea kulea watoto wa wanaume wenzenu.
Mkuu ni heri uuumie Kwa muda mfupi then utazoea. Mwanamke mzinzi hafai kama utakoswa ukimwi basi utalea na kusomesha Watoto wa mwanaume mwenzio.kifua unacho?
Usiyatafute matatizo kwa lazima!
mleta uzi asingefanya hivyo ndoa yake ingeeebdela kuwa na amani leo kwa upumbavu wake imani imeisha ndoa hakuna tena sababu ya kufatilia mwanamke tena kwenye simu.
Ajiulize huyu mwanamke alimkuta bikra.
Hahaaaa recycle & reuse!?Wazee wa posho mlima wamemtwaa mwali wako.
Tumia 4R za Mama urudishe penzi kwa mkeo
Pamoja na kumtimua, mlaji ni kama unampa ushindi wa mezani. Mlaji aundiwe kikosi kazi kwanza, afu baadae mliwa aondoke .
Lakini ukiweza kusonga mbele songa ukiona huwezi baki nae tu japo huyo kwa sasa si wako tena kwanza atakuwa na hisia fake nawewe hata kusex nawewe atasex lakini kwa kutegea hisia za mwamba huyo mchapaji mwanamke akichepuki kirahisi bro.
No comment tupoo tunashangaa tuu 😅😅Wanawake wa jf mje tumtetee mwenzetu naona mnapita kimya kimya 🤗,..daah ila pole sana kaka
Usimuache huyo mwanamke
Na sababu ni mtoto....ila muache kihisia
Kwanza endelea kumla ila tumia mafuta na usimle zaidi ya bao moja...
Pili kata kabisa cashflow yaani hela kutoka kwako iwe ya matumizi
Tatu tafuta mwanamke wa nje
Nne mtombe kama malaya tu...usiweke hisia mapenzi mpe mtoto
Tano...usimchunguze wala kumfatilia
Sita ukiwa nyumbani kuwa busy..na mtoto kama si mtoto movie
Akiomba msamaha au kujirudi..muachishe kazi na kinondoni hama
Ila usisaha kuliwa ataliwa tu hata hawa wa kwetu wanaliwa sana
Mimi nitakushauri ubaki na mkeo...sihalalishi usaliti ila hii mvuaa inanyesha kila mahali..msamehe a naToa comment mkuu, hili jambo ndio fashion ya sasa ?
Waliomjua Mungu zaidi kuliko wewe, Yesu, Petro na wengine HAWAKUOA.Ndoa ni kwaajili ya Watu wenye akili tu na "chanzo cha maarifa ni kumjua Mungu"
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Hivi kwenye ndoa Huko kutombean@ mmefanya ni jambo la kawaida sanaa?Wanaume naona wanavojiachia na comments zao utasema malaika wagawa thawabu 😎 hakuna mkamilifu kwenye Dunia hii wangap humu mnachepuka sema hatuwajui Wala wake zenu hawajui ila mkiingia social media nyie ndie malaika wa zamu
Sijaona kipya wote ndo yaleyale
Kama hujawahi kupiga nje kumsamehe ni ngumu lakini kama na wewe huwa unapiga nje msamehe maisha yaendelee😆😆😆
Bado sijaamini kwanini kanifanyia hivi.
Ndugu usihangaike ata kumwacha wanawake wote wako ivo tuulize sisi tuliobadilisha wanawake ii ndoa ya tatu mambo ni yale yale, ndoa ni maigizo tu na wewe tafuta mademu kitaa anza kuwazabua kama auna akili nzuri, hili jambo lako ni dogo sana.