Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Wakuu,

Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.

Nimechapiwa mke wangu.

Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.

Wife katoka job Bandari, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku kinondoni.

Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.

Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.

Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, show za kibabe ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.

Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten. Ila trust me sitaloweka tena kwake aende tu kwa bwana wake wa Impala Terminals.

Mama yetu Mlezi Mh. Dkt. Gwajima D sitakuangusha tumeaswa sana humu ndani sitanyanyua hata mkono wangu aende tu salama kama alivyokuja salama.
Mbona mapema hivyo
 
You did what is right for your soul bro, sasa save your soul more, Fukuza hio mtu right away ama toka wewe uende umuache. Watoto hu adjust tu , wanayo hio karama. Trust mtoto akikua atakuja kuelewa tu wala huna haja ya kuja kujitetea mbeleni. There is always a new better life for you. Kuendelea kukaa na huyo mhalifu si sawa huwezi jua namna gani patiency yako inaweza tetereka ukafanya a worse non turning back error. # hey hey hey run for your life
 
Wakuu,

Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.

Nimechapiwa mke wangu.

Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.

Wife katoka job Bandari, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku kinondoni.

Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.

Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.

Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, show za kibabe ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.

Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten. Ila trust me sitaloweka tena kwake aende tu kwa bwana wake wa Impala Terminals.

Mama yetu Mlezi Mh. Dkt. Gwajima D sitakuangusha tumeaswa sana humu ndani sitanyanyua hata mkono wangu aende tu salama kama alivyokuja salama.
 
Nakushauri na sikushauri pia, labda kuna watu sahihi, ila the way she was innocent. Hakuna atakaeamini kwao na kwetu nikimwambia alilonifanyia.
Tatizo ulioa mke wa mtu
Mwanamke ambaye hujamtoa bikra huyo sio mke wako mzee
Sisi wazaz wenu tukiwaambia ukweli mnatuona wabaya
Pambaneni na hali zenu sasa vijana wa ovyo
 
Wakuu,

Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.

Nimechapiwa mke wangu.

Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.

Wife katoka job Bandari, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku kinondoni.

Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.

Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.

Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, show za kibabe ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.

Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten. Ila trust me sitaloweka tena kwake aende tu kwa bwana wake wa Impala Terminals.

Mama yetu Mlezi Mh. Dkt. Gwajima D sitakuangusha tumeaswa sana humu ndani sitanyanyua hata mkono wangu aende tu salama kama alivyokuja salama.
Labda umuumbe wako ila hata awe sura gome kama Chimpanzee Watu watatafuna tu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
1746492917620.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom