Wakuu,
Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.
Nimechapiwa mke wangu.
Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.
Wife katoka job Bandari, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku kinondoni.
Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.
Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.
Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, show za kibabe ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.
Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten. Ila trust me sitaloweka tena kwake aende tu kwa bwana wake wa Impala Terminals.
Mama yangu
Dkt. Gwajima D sitakuangusha tumeaswa sana humu ndani sitanyanyua hata mkono wangu aende tu salama kama alivyokuja salama.