Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Utaacha wangapi bro, Hizo sababu ulizotoa hazina maana........ Tupo kwenye ulimwengu wa we need somemore. Kwahiyo mke alihitaji nyongeza ya hicho unachokipata. Kakipata kwa mshikaji. Mwana anaweza kapiga kimoja tu ila wewe kila siku ata 6. Ujue ulimwengu vizuri
Sijui mwisho ni wangapi Muda msema kweli
 
🤣🤣🤣🤣nisamehe mkuu nimeshindwa kujizuia kucheka ila Pole Sana mwamba bila Shaka unahisi maumivu toka utosi mpaka unayo.
Usifanye maamuzi wakati huu ukiwa na hasira na maumivu makali, jipe muda utulie Kwanza hapo unaweza kufanya maamuzi sahihi
NB: KATAA NDOA NI UTAPELI
KATAA NDOA NI UPIGAJI
KATAA NDOA NI MATESO
TUNZA FURAHA YAKO.
 
Wanaume naona wanavojiachia na comments zao utasema malaika wagawa thawabu 😎 hakuna mkamilifu kwenye Dunia hii wangap humu mnachepuka sema hatuwajui Wala wake zenu hawajui ila mkiingia social media nyie ndie malaika wa zamu
Sijaona kipya wote ndo yaleyale
mwanamke akitombwa nje ni usaliti. Mwanamme akitomba nje siyo usaliti.

Usichanganye mambo.
 
Pole s
Wakuu,

Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.

Nimechapiwa mke wangu.

Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.

Wife katoka job Bandari, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku kinondoni.

Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.

Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.

Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, show za kibabe ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.

Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten. Ila trust me sitaloweka tena kwake aende tu kwa bwana wake wa Impala Terminals.

Mama yetu Mlezi Mh. Dkt. Gwajima D sitakuangusha tumeaswa sana humu ndani sitanyanyua hata mkono wangu aende tu salama kama alivyokuja salama.polee
 
Nikweli hata mimi nna ushahidi wa jamaa yangu alichapiwa na mwanamke aliyemuoa bikira. Chanzo ni kisasi mwanamke alimkamata anacheat nayeye akaanza kucheat na jamaa mwingine, ambaye alianza kumpa hela nyingi sana imefika hatua mwanamke ameshindwa kumuacha mchepuko maana anamtegemea kwenye biashara zake.
Mmmh
 
🤣🤣🤣🤣nisamehe mkuu nimeshindwa kujizuia kucheka ila Pole Sana mwamba bila Shaka unahisi maumivu toka utosi mpaka unayo.
Usifanye maamuzi wakati huu ukiwa na hasira na maumivu makali, jipe muda utulie Kwanza hapo unaweza kufanya maamuzi sahihi
NB: KATAA NDOA NI UTAPELI
KATAA NDOA NI UPIGAJI
KATAA NDOA NI MATESO
TUNZA FURAHA YAKO.
Hakika tunza furaha yako
 
Kwani kumpenda mtu kwa dhati means mwisho wa kutombwer na de liboloz lingine?
Mbona sie vidume tunawape da wake zetu kwa dhati lakini tunaonja mbususu za watoto wa y2k
Mwanaume aliyetomba sana, ni mzoefu. Ni sifa. Mwanamke aliyetombwa sana, ni bwawa. Ni kashfa.

Bayolojia na Jamii zina mtazamo na matarajio tofauti sana baina ya mwanamke na mwanaume.
 
Bandarini nipakupeleka kufanya kazi mwanamke??? Tena mke Serious??? Mle kunamijamaa ikimtongoza mwanamke akawa mugumu kutoa yanakaa kikao yanachangishana pesa!!! Hata 2M hivi .. then mwanamke anaanza kupigwa vibunda TU vya laki laki Kila siku ndani ya wiki Moja kashakojolewa !!! Likimaliza limoja mchezo niuleule mpaka kundi liishe ndio yaanachana Nae michezo hiyo Wanayo mapoti wa bandari Tena hapo ulipotaja Impara terminal Kuna office Yao hao mapoti huenda niwao!!! Ukweli nikwamba bandarini Watu wanapata pesa saaana kwahiyo Kama mkeo hakuwa nakipato kizuri njaa njaa nilazima wamle TU!!! TATIZO NI WW!! Ulimpeleka swala kwenye Simba wenye njaaa Kali!!! Bandarini sio sehemu yakupeka make kufanya Kazi atagogwa TU!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom