Mkuu em imagine ilikua ikichomoka wife anairudisha ndani chap yani we imagine tuu.
Kaoe malaika.Wakuu,
Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.
Nimechapiwa mke wangu.
Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.
Wife katoka job Bandari, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku kinondoni.
Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.
Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.
Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, show za kibabe ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.
Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten. Ila trust me sitaloweka tena kwake aende tu kwa bwana wake wa Impala Terminals.
Mama yetu Mlezi Mh. Dkt. Gwajima D sitakuangusha tumeaswa sana humu ndani sitanyanyua hata mkono wangu aende tu salama kama alivyokuja salama.
Kwani ndo ameanza.kulala nae? Kapime tuNimeapa kuwaacha wote mama angu. Kwasasa hivi commitment ni ngumu. Kusingekua na magonjwa sawa. Just imagine nimeomba PEP kutoka Tanga nahaha zifike kabla siku tatu hazijaisha siwezi hata kulala.
Naelewa kuwa kijana kuamua kuoa ni kajitoa kijasiri ili kutengeneza jamii ya kistaarabu.Hatari sana mkuu.
Mkuu...ama kweli majuto ni mjukuu.Naelewa kuwa kijana kuamua kuoa ni kajitoa kijasiri ili kutengeneza jamii ya kistaarabu.
Jamii ya Mume mke/wake na watoto chini ya mwavuli wa familia badala jamii kama ya mbwa na paka kila mtu anazaa na yeyote huko barabarani.
Sasa kama kwa bahati mbaya akaoa malaya, inabidi awe jasiri avunje hiyo ndoa sababu kumuacha malaya ndani ya ndoa ni hatari sana maana atainajisi hiyo taasisi na kuishusha thamani mbele ya macho ya vijana wengine wanaotani jamii iliyostaarabika.
Chapa huyo dada wa kazi.Ikiwezekana mpandishe cheo huyo beki tatu.Nitakuja kuweka wazi kwa watu tunaotumia simu za Android kuna namna ya kuangalia msg za simu zipizofutwa ndani ya 48 hours bila kuinstall application yoyote wala kulipia. Hii ndio njia niliyotumia na ushahidi wa kimazingira mfano dada wa kazi aliemfungulia saa nne usiku, Maana kwakua sikuwepo mimi aliniambia alirudi saa moja nyumbani.
Pole sana.Mkuu...ama kweli majuto ni mjukuu.
Kwakweli inataka uvumilivu wali ya juu kuweza kuendeleza.Pole sana.
Ukimuacha itakuumiza ila baada ya muda utarudi sawa na kuwa na furaha, ukimsamehe ujue umetelekeza furaha yako. Ni wanaume wachache sana wanaoweza kuishi na mke ambaye amethibitisha kuwa ni mgawa uchi nje. Wapo ila wachache mno.
Ikiwa Mungu alimpa vitu vyote duniani na akakatazwa kitu kimoja tu, mti mmoja ila hakusikia. Wewe ni nani akusikieWakuu,
Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.
Nimechapiwa mke wangu.
Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.
Wife katoka job Bandari, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku kinondoni.
Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.
Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.
Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, show za kibabe ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.
Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten. Ila trust me sitaloweka tena kwake aende tu kwa bwana wake wa Impala Terminals.
Mama yetu Mlezi Mh. Dkt. Gwajima D sitakuangusha tumeaswa sana humu ndani sitanyanyua hata mkono wangu aende tu salama kama alivyokuja salama.
Ukifanya hivyo ujue maisha Yako unaweka rehani ni afadhali ufuatilie kwa usalama wakoMimi hawa viumbe huwa sitaki kuwafatilia sana akiniambia naenda mbezi beach kwa ma mdogo kumsalimia sawa tuu namwambia nenda hata simu sipigi kama anakazwa huko atajua mwenyewe