Amekubali Mkuu. Na ilikua ni one night stand lakini wameendelea kuwasiliana kiromantic mpaka jana nilivyokamilisha ushahidi, kwahiyo hicho kitendo sio shetani na wala hajutii kwasababu nisingejua huo ndio ungekua mchezo wake akipata nafasi.POLE SANA KWA UNAYOYAPITIA, NAJUA MAUMIVU NI MAKUBWA..ALIPOSEMA NI SHETANI ALIKUBALI AMEFANYA TENDO NJE YA NDOA? KAMA ALIKUBALI TAFUTA NAMNA YA KUACHANA NAYE...KAMA HAJAKUBALI MPE MUDA LAKINI MUWEKEE MITEGO YA KUMKAMATISHA SIKU UKIMFUMANIA KWA MACHO YAKO MWENYEWE NA UKAWA NA MASHAHIDI WANNE NDIPO UFANYE MAAMUZI YA KUMUACHA ILA SIO HILO LA MESEJI NA KUZIMA SIMU.
SIO MKE TENA HUYO AMEVUNJA AMRI FATA UTARATIBU WA KUACHANA NAYE USIKURUPUKE.Amekubali Mkuu. Na ilikua ni one night stand lakini wameendelea kuwasiliana kiromantic mpaka jana nilivyokamilisha ushahidi, kwahiyo hicho kitendo sio shetani na wala hajutii kwasababu nisingejua huo ndio ungekua mchezo wake akipata nafasi.
Asante mkuu.Bad situation? I'm not sure kuhusu takataka za ndoa, ni swala la kuimarisha empire na kuishi na ndugu zako ambao ni watoto wako tuuu, Hao kungunguni ni wakutumika kama pedi zao hrf tupa kule. Pole Sana mkuuu for real atakuja kulia ahead!
Mungu atatenda kikubwa subiraMungu anijalie hao wasiostahili hukumu.