Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,443
- 6,986
Guys mie kila nikijaribu naishia kuwala mwenyewe tu
Tafuta walipo wasukuma wale wafugaji utapataWafugaji wenzangu mi natafuta jogoo aina ya kuchi +jike mwenye ufahamu wanapopatikana naomba msaada.
Bei gani?nauza nipples za kuku, ofisi ipo machinga complex 4th floor kkoo, dar es salaam phone no.0737484005View attachment 1094902View attachment 1094902View attachment 1094903
Mkuu vipi unaendelea je na ufugaji wa kuchi, nikihitaji mayai kwa ajili ya kutotolesha nitapata?Hata Mie nimeanza kufuga kwa kuku kuchi 2 na dume lake 1 sasa Nina vifaranga vya kuku kuchi 13 vya mwezi 1 matarajio yangu hadi mwezi wa sita mtakua nao wengi kwa kuuza biashara
Mkuu tupe update nataka nami nijikite hukoBaada ya safari ya muda mrefu wa kujibana matumizi nimefanikiwa kujenga baada pembezoni mwa nyumba yetu lenye eneo kubwa la uzio wa matofali. Nimeanza kwa kununua kuku wa kienyeji wadogo wa miezi miwili na mitatu 100 nategemea kuwa na majogoo 20 na wanaotaga 70. Malengo niliojiwekea ni kuku 50 watage kwa awamu mbili kwa mwaka huu. Kila kuku awe na vifaranga 6 kwa awamu moja, hivyo kwa awamu mbili kila kuku nategemea awe na watoto 12 nikizidisha na kuku 50 napata kuku 60 ambayo nitauza kwa Tsh 6000 kwani sitangoja wawe wakubwa sana. Hivyo kwa mwaka huu natarajia kukusanya Tsh 3000000. Soko langu limelenga sikukuu mbili kubwa. Yaani Eid na Christmas. Mungu nisaidie nifanikiwe malengo yangu. Naombeni ushauri, maoni na pia nikosolewe kama ninakosea.
Pia hela ya kununulia chakula na dawa nimeshaandaa angalau kila mwezi laki moja kwani ni kuku wa kienyeji ambao wanakula pumba tu.
Niko Muheza Tanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hesabu yako sijaielewa!,hiyo million 3 umeipataje,hiyo laki moja ni ndogo sana ila mwanzoni itamudu lkn kadiri kuku wanavyo zidi kuongezeka garama za uendeshaji nazo zinaongezeka na usizani ni rahisi kama uliyo andindika kuku wanakula mno hasa wakiwa wengi (competition of food) na gharama kubwa ya uendeshaji wa mradi wa kuku ni chakula.Kwaushauri hebu achana na matarajio makubwa makubwa badae utakuja kuwa mfugaji makubwa sana kama ukiacha kufuga kwa hisiaBaada ya safari ya muda mrefu wa kujibana matumizi nimefanikiwa kujenga baada pembezoni mwa nyumba yetu lenye eneo kubwa la uzio wa matofali. Nimeanza kwa kununua kuku wa kienyeji wadogo wa miezi miwili na mitatu 100 nategemea kuwa na majogoo 20 na wanaotaga 70. Malengo niliojiwekea ni kuku 50 watage kwa awamu mbili kwa mwaka huu. Kila kuku awe na vifaranga 6 kwa awamu moja, hivyo kwa awamu mbili kila kuku nategemea awe na watoto 12 nikizidisha na kuku 50 napata kuku 60 ambayo nitauza kwa Tsh 6000 kwani sitangoja wawe wakubwa sana. Hivyo kwa mwaka huu natarajia kukusanya Tsh 3000000. Soko langu limelenga sikukuu mbili kubwa. Yaani Eid na Christmas. Mungu nisaidie nifanikiwe malengo yangu. Naombeni ushauri, maoni na pia nikosolewe kama ninakosea.
Pia hela ya kununulia chakula na dawa nimeshaandaa angalau kila mwezi laki moja kwani ni kuku wa kienyeji ambao wanakula pumba tu.
Niko Muheza Tanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hesabu yako sijaielewa!,hiyo million 3 umeipataje,hiyo laki moja ni ndogo sana ila mwanzoni itamudu lkn kadiri kuku wanavyo zidi kuongezeka garama za uendeshaji nazo zinaongezeka na usizani ni rahisi kama uliyo andindika kuku wanakula mno hasa wakiwa wengi (competition of food) na gharama kubwa ya uendeshaji wa mradi wa kuku ni chakula.Kwaushauri hebu achana na matarajio makubwa makubwa badae utakuja kuwa mfugaji makubwa sana kama ukiacha kufuga kwa hisia
Umeongea point Sana .. mkuu kuku wana lipa lakin si kwa mahesabu ya uyo bwana me na fuga huu mwaka watano wakienyeji pure Ila sijawi waza Ayo mahesabu
Hahahaaaaaa! Labda simu yake ilipotea Mkuu...Mtoa post kadedi nini? mbona kimya sana?
labda changamoto zimemfetua usicheze na matarajio makubwaHahahaaaaaa! Labda simu yake ilipotea Mkuu...