Nimeanza maisha mapya kama Vegan

Kiukweli kila nikitazama maana ya mahusiano sioni umuhimu wake au sioni maana yake na kila nikitazama mahusiano najawa na maswali zaidi. Sio kwa baba yangu au kwa mama aliyetangulia hibernation.
Ila ujue kama sio mahusiano wewe usingekuwepo
 
Kuhusu sukari ni kwamba, utatumia asali kwenye chai badala ya sukari
 
Hebu nipe shule...yanii naogopa Hadi kufanya mazoezi cuz Kuna kipindi nlikua nafanya nikawa napungua tu😣 ikabd niache
Ukianza kufanya mazoezi inabidi na lishe uongeze kwani unapoteza kiasi kikubwa zaidi cha energy
 
Kweli Kila mwanadamu na upande aliochagua , hii ndio maana halisi ya kuwa wanadamu tunatofautiana pa kubwa kwenye hali na Mambo kadha wa kadha,inawezekana ulivyo ndiyo njia rahisi ya kusaidia wengine mbali na binadamu...
 
nakuunga mkono kwa yote.
karibu kwenye kanisa la kisabato maana hayo ndo mafundisho yetu. ila sex inaruhusiwa ndani ya ndoa
 
Wewe hufanyi sex lakini hao viumbe unaowatetea na kutembea nao, wanafanya sex na kuendeleza uzao wao.
Nalogoff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…