Ninachopenda kuhusu wewe boss,utulivu wako na hekima huna jazba,hapo nakukubali sanaArsis; Ndio napenda, ili elimu ipanuke. Jumlikeni wote mnipige spana. Nimejua wapi niwachokonoe mje mbio mbio.
Usimsahau na yule Sheikh wako anaeongea kwenye audio clip.
Arsis
Tatizo maswali ya msingi huyajibu, halafu unahitaji maswali zaidi. Tafuta ID yangu kuna swali la muhimu sanaArsis; Uliza hapahapa, sitazami PM, hio ni Private Messages za Simba.
Simba.
Sawa Arsis umeelewaka.
Kuhusu Adamu kuwa mtu wa kwanza hilo halijawekwa wazi katika Qur an moja kwa moja namaanisha Quran haijasema wazi kuwa Adamu ndio binadamu wa kwanza ila kuna kitu kinaitwa dalil tul aqil yaani ishara za kiakili kupitia hiyohiyo quran unaweza ona katika surat baqarah aya ya 30 ( AL BAQARAH 2:30) inasema
Mimi sina akili kuliko Allah ila nimetumia akili ambayo kanipa ALLAH kama alivyosema katika QuranArsis; Wewe una akili kuliko Allah? usijidanganye hata kidogo. Hakuitumia hio akili yake mbora wa viumbe wote aliepewa Qur'an awaletee, itakua wewe?
Nitarudi kukufundisha aya ulizoleta. Inshaallah leo hii.
Arsis kupitia Simba.
Simba; Weka post namba ngapi, utajibiwa.Tatizo maswali ya msingi huyajibu, halafu unahitaji maswali zaidi. Tafuta ID yangu kuna swali la muhimu sana


#1,763Simba; Weka post namba ngapi, utajibiwa.
Simba.
Huna il'muuArsis; Huna haja ya kuandika Tangazo, andika kama kawaida tu utasomeka vizuri zaidi.
Ukiona kuna swali limejibiwa hujaelewa na hujasema kua hujaelewa, tatizo ni lako. Labda uliuliza ukitarajia jibu fulani.
Huu uzi umefikia level ya wengi kutokuweza kuuhimili. Hata Simba hawezi kuuhimili.
Waislam wanashinwa kujibu kuhusu kitabu chao ambacho hakina shaka ndani yake. Wapi Adam imeandikwa mtu wa kwanza? Hawa mmemtoa wapi?
Kama hamjui semeni hamjui mfundishe, kama mnajua jibuni maseali laini kabisa hayo.
Nini hujaelewa?
Simba.
Ndio nakiri Qur an haikuweka wazi nasiwezi izushia qur an uongo kuhusu wapi nimepata dalul tul aql ni hapaArsis: Kama unakiri Qur'an"haikuweka wazi", hio "dalil tu aqli" umeisoma wapi na sisi tuelimike, au umeibuni wewe?
Arsis.
Arsis; Hio ndio dalil yako kua Adam ndio mtu wa kwanza? Umeitumia wapi hio akili yako ukapata jibu hilo? Au umebuni wewe kwa akili yako na hauna dalil?Mimi sina akili kuliko Allah ila nimetumia akili ambayo kanipa ALLAH kama alivyosema katika Quran
Hivyo, hapo utaona ALLAH katoa mfano wa usiku na mchana kuwa ni ishara kwa wenye akili, Vipi kuhusu Quran yenyewe ndio tuisome kibubusa? jibu ni hapana inabidi tutumie akili katika kuyaelewa mafundisho ya ALLAH, Kama alivyoseema mtukufu wa daraja Rasullullah Muhammad swalahu alaiy wasalam
- Surah Al-Imran (Sura ya 3), aya ya 190-191:"إِنَّ فِي خَلْقِ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَاخْتِلَافِ اللَّيْلِ وَالنَّهَارِ لَآيَاتٍ لِّأُولِي الْأَلْبَابِ"Tafsiri: "Hakika katika uumbaji wa mbingu na ardhi na tofauti ya usiku na mchana kuna ishara kwa wenye akili."
"مَن لَا عَقْلَ لَهُ لَا دِينَ لَهُ"Tafsiri: "Yeyote ambaye hana akili, hana dini.
Hata hivyo kwakuwa umeahidi kunifundisha nasubiri je wewe umeelewaje aya hizo. Asante.
Hbr Yako Arsis Nina swali Hawa wakubwa wa Dunia kwann walidanganya umbo la Dunia kuwa ni duara Yani wanafaidika nn kuficha umbo halisi la Dunia kuwa ni duara naomba unijibuArsis; kwani nani alikwambia mimi sio mtu?
Swali lipi limekutatanisha, au lipi uliuliza hujajibiwa?
Simba.
Arsis: Na hio ni aya ipi? Au yako hio?"مَن لَا عَقْلَ لَهُ لَا دِينَ لَهُ"Tafsiri: "Yeyote ambaye hana akili, hana dini.
Hata hivyo kwakuwa umeahidi kunifundisha nasubiri je wewe umeelewaje aya hizo. Asante.
Naam ...Hapana sasa sitakaa kimya,arsis unazingua sana,kuna baadhi ya mambo unasema uongo kabisa
Ulisema ulisoma qur'an je hukuona kuwa Adam ndio kiumbe wa mwanzo?
Nashauri tupe habar ya misukule na majini wenzako lkn kuna baadhi ya mambo huna elimu nayo
Post #1820Simba; Weka post namba ngapi, utajibiwa.
Simba.
Sitaki kwanini you are doing all that 😁😁😁😁 hamna kitu hapa.dont waste your energy.you are better than him.Sawa nimetafuta sura zinazo anza na alif lam miim katika quran nimepata ni sura nane hivyo kutakuwa na alif nane lam nane na miim nane sasa katika mpangilio wa abjad alif ina uzito wa 1, lam ina uzito wa 30 na miim ina uzito wa 40 hivyo itakuwa hivi 1x 8= 8, 30x 8=240, 40x8=320 ukijumlisha 320+240+8= 568.
kwahiyo nimepata jumla ya 568
Tell me what next?
[/QUOTE]Fafanua hapa
Nyinyi mnafikiri mmeumbwa watu wa kwanza? Ndio mnadanganyana sijui adam miaka 7000 nyuma, you are all fools to believe that. Especially Muslims are the biggest fools of all. Mna Qur'an kila mahali, hamuijui badala ya kusoma Qur'an mkaifundisha mnafundisha biblia.
Simba.
BossArsis; Hio ndio dalil yako kua Adam ndio mtu wa kwanza? Umeitumia wapi hio akili yako ukapata jibu hilo? Au umebuni wewe kwa akili yako na hauna dalil?
Kumbuka na kuna swali la Hawa umemtoa wapi, au wewe haupo kwenye Hawa? Upo kwenye Adam tu?
Maeleo yako ya "kibubusa" ni porojo zako tu, hayapo kielimu. Unaanza kuleta jazba, kwenye elimu.
Arsis.