Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Hahaaa hiki kituko cha milenia aisee.Yaani YESU ndo amwambie Muhammad eti awaombee watu msamaha kwa Mungu,ilhali hata sasa hivi tu Muhammad yuko kuzimu anateseka.Ndugu yangu YESU ni habari nyingine kabisaa miungu wote kwa YESU watapiga magoti hawana pa kukwepea.
Pole sana kwa kukosa maarifa boss
 
Okay..

Ndio maana nilisema kuna sababu ya kuzaliwa kwake kwa jinsi alivyo zaliwa.. Ni kaeleza huko juu kwamba Yesu alikuja kwa kazi moja tu kuokoa watu na dhambi..

Kifo chake kusulibiwa.. Aliyempoint Yesu alikuwa Yuda mmoja wa wanafunzi wake.. Sababu ya kufa kwake ni iliitwa kutupatanisha na Mungu..

Kufufuka kwake ni ili tuwe na asili kama yake(Haki) tusitumie nguvu tena kuushinda mwili na tamaa zake

Yohana 1:1.,2.,3.,4.,5.,10.,11.,12.,13.
1. Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.

2. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.

3. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.

4. Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.

5. Nayo nuru yang’aa gizani, wala giza halikuiweza.

10. Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua.

11. Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.

12. Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;

13. waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu.
Nashindwa kuelewa kwakweli

Asante
 
Mbona una hasira sana, nini kimekukera? Tupe elimu.
Simba.
Nilijua tu mwisho wenu mtataka kutapeli watu, naona mnatangaza biashara ya udongo na kujifanyq mnatoa namba za wataalam kumbe wote lenu moja! Utapeli mwisho wake mbaya, huyo mwizi mwenzako uliyempa jina Arsis ni tapeli tu kama wewe so nawaambia acheni kutapeli mtaishia pabaya
 
Hilo la jini limeelezewa kwa kina. Arsis mara chungu nzima kasema yeye sio jini, yeye ni mtu.

Hivi unaelewa kua hata wewe ni jini? Kwa maana ya neno jini. Una hasira kali sana, poa.
Simba.
Mimi nikiwa jini, wewe Tapeli utakuwa nani?
 
Halafu hao hao mmoja wao katika aliowaumba akampanda kwa siku 40? Hivi alimpanda kichwani yule shetani au alikuwa akipiga nae misele kwa siku 40?
Ndo kijarida chenu mnachokiita quran kunavyowadangannya!? Hakuna jini wa kusimama mbele ya Yesu Kristo
 
Kuna huyu Mwanamuziki wa kisabato aliyefariki wiki iliyopita hapo JKCI anaitwa Marco, Ugonjwa unaosemekana kumuondoa ni ugonjwa ambao yeye hakuwa na risk yoyote. Muulize arsis kama ni kapewa ugonjwa wa kwa njia za kichawi au ni imetokea tu bahati mbaya?
Aisee, yaani mtunzi wa hadithi ndo akujibu hayo maswali!? Hebu tumieni akili basi
 
Zamani nilikuwa naamini JF kuna watu wanaojitambua tu ila huu uzi umenipa picha tofauti. Matajiri wa JF wengi ni mbumbumbu. Ngoja nami nitunge uzi nije kukusanya sadaka kwa wajinga.
 
Sema nimeanza kufahamu kuwa Yesu siyo Myahudi, kwa sababu nimeona kuwa mama yake ni mtu kutoka Misri na wayahudi wanafata asili na ukoo kutokea kwa mama. Wakristo wanaamini hana baba, Waislam wenfi wanaamini hana baba. mimi binafsi naamini anaye baba mzazi, code zake zinafunguliwa na Qur'an.



Nayamani sana nimjuwe huyo "Arsis" n nani? naanza kuwaza isje kuwa "Khidr" kwenye maandiko ya Kiislam.

cc' Corazon Espinado
Kua makini unaelekea kukufuru, kama hujui uliza wajuaji kamwe usitumie 'binafsi naamini' kwenye mambo ya ghaib.. btw uko interested na unknown figure naona watu wametekwa na simple social experiment! hakuna dhambi kubwa kuliko shirki kwa muislam! Duh mmefikia hatua mnamuambia jamaa awaulizie kwa hlo dubuwana lake SMH

Iko wazi ata Quran inasema yesu hana baba, this dude promotes blasphemy yall.. kama mtume uswatul hasan hajawah kua na jini au ku promote kutafuta majibu kwa kiumbe chochote mnatekwaje kindezi hvo na huyu janjajanja?

Tufanye toba, Allahu A'aalam
 
Kua makini unaelekea kukufuru, kama hujui uliza wajuaji kamwe usitumie 'binafsi naamini' kwenye mambo ya ghaib.. btw uko interested na unknown figure naona watu wametekwa na simple social experiment! hakuna dhambi kubwa kuliko shirki kwa muislam! Duh mmefikia hatua mnamuambia jamaa awaulizie kwa hlo dubuwana lake SMH

Iko wazi ata Quran inasema yesu hana baba, this dude promotes blasphemy yall.. kama mtume uswatul hasan hajawah kua na jini au ku promote kutafuta majibu kwa kiumbe chochote mnatekwaje kindezi hvo na huyu janjajanja?

Tufanye toba, Allahu A'aalam
Hawajatekwa, ni genge moja hao...wanauza udongo na kuwajaza kwenye 18 wajinga wachache wa JF wanaowafata inbox. Huyo bibi unadhani haujui Uislam au haijui Quran? Hapa yupo kazini.
 
Nashindwa kuelewa kwakweli

Asante
Kuelewa hutaweza kaka miaka yote haya mambo ni hadi revelation.. Akili zetu haziwezi kuwa comprehend..

Mimi nimekaa zaidi ya miaka 20 ukimuuliza hata Yesu kwanini hakuwa na baba nilikuwa sijui..

Ila hata hii inaweza ikawa porojo pia..
 
Kuelewa hutaweza kaka miaka yote haya mambo ni hadi revelation.. Akili zetu haziwezi kuwa comprehend..

Ila hata hii inaweza ikawa porojo pia..
Boss,ila kiukwel nimependa sana mjadala wetu,tumekuwa watulivu na waelewa sana,na kuvumiliana

Nipo tayari kujadaliana na wewe kwa mambo ambayo hayana tashuwishi nyingi

Asante sana
 
Ujumbe mwingine wa Arsis nimeupata sasa hivi wakati naanza kuandika. Usijibu mtu "private, this is an educative thread, simba, you are not mganga or mchawi" akaongea Kiswahili, kua yeye Arsis atajibu linaloulizwa hapa, private ni baina yangu na anaeuliza, yeye hahusiki.

Kwa hio mnaokuja private msitegemee kujibiwa na Arsis maswali yenu ya Private, anasema anaeta yeye ili ajibu muulize hapa wazi, watu wengi wapate faida, kwa sababu tatizo la mtu mmoja wanalo watu millioni moja wengine. Anassema wabadilishe jina kama hawataki kujulikana halafu waulizze. Anataka kutoa elimu yake kwa watu wengi.

Du, leo tumemkorofisha nini Arsis?
Safi, mashirikina yajianike hapa live live kweny thread

kwamba mwamba anakuongelesha swanglish 'you are not mganga or mchawi' 😂😂😂

Wonders shall nvr cease

Yapige manyumbu aisee , yapigee tuu
 
Ndyo Kwa waganga
Sawa sasa iko hivi watu wengi wanapopatwa na matatizo hasa ya kiroho mfano kukumbwa na jinni mbaya wengine husema pepo, kulogwa, kufanyiwa hasad au kupigwa kijicho n.k hukimbilia kwa waganga hili ni kosa kubwa sana kwa maana wengi katika waganga hawa wajadi ni washirikina.
Sasa kwa kuwa unahisi mzee wako kalogwa maana yake kafanyiwa mambo ya kishirikina, Ukimpeleka kwa mganga bahati akawa ni mganga wa kishirikina hapo mnakuwa hamtibu tatizo bali mnaongeza kwa maana yule mganga atajua hii kitu kapigwa na mshirikina mwenzangu na bahati mbaya ukute yule aliye mloga ni mkubwa katika vyama vyao vya kishirikina ndio kabisa watazidi kumpa madawa ya kuendeleza tatizo.
Hivyo, Kimbilio lenu la kwanza lingebidi liwe Mungu muweza wa yote kwani yeye ndie kawaumba viumbe wote wazuri kwa wabaya hata hao wachawi, majini na huyo baba wa maaswi yaani iblis wote ni viumbe wake, Hivyo ndugu yangu kwenye shida yeyote mkimbilie muumba na sio viumbe.
Sasa najua utajiuliza utamjuaje mganga mshirikina ? kuna maswali nitakuuliza unijibu maswali hayo ndio msingi wakumjua mganga wa kishirirkina
1. Je mgonjwa aliulizwa jina la mama ake?
2. aliambiwa alete nguo yake au nywele zake au kucha?
3. Mganga aliwaambia shida yenu kabla ya nyie kumwambia ?
4. Aliwaambia mlete mnyama au ndege wa kuchinja kama mbuzi, kuku au njiwa.
5. Mgonjwa alipewa kitu avae kama hirizi
6. Katika matibabu yake mgonjwa aliambiwa kutoka nje usiku, kutotumia maji, kulala makaburini namfano wa hayo?
7.aliwaagiza picha ya mgonjwa?
8. Je mganga aliwatajia mhusika?
Jibu hayo maswali kisha tuendelee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom