- Thread starter
- #1,441
Ndio. Hodari sana wewe umejuaje. au jini wewe?Umechekewa sana kujibu mpaka u-Google?
Simba.
Ndio. Hodari sana wewe umejuaje. au jini wewe?Umechekewa sana kujibu mpaka u-Google?
Hivi visa vipo vingi sana jamani. Haviishi leo wala ksho, nachagua kila kimoja kwa aina yake, sitaki nitoe visa vinavyofanana namna zake.Sawa Arsis shusha episode simba
Nakufuatilia naelewa, najua hupendi kuwaambia watu kuhusu huduma zako kwa sasa lakini pokea na kuwasaidia wale wanaohitaji huduma hizo kama kwa dhati unaamini hazipingani na Muumba wa Mbingu na Nchi.Ndio. Hodari sana wewe umejuaje. au jini wewe?
Simba.
Sasa mahakama za nini?Ndio alizaliwa, ndio alikufa, tenakwa dhambi ambazo sisi tumezitenda na sio za kale tu hata za miaka yote, na akafufuka siku ya tatu, amepaa hivi tunavyozungumza yupo zake mbinguni. kiufupi tatizo la dhambi amelisha litatua miaka buku mbili iliyopita..
2Wakorintho 5:18.,19.,21.
18. Lakini vyote pia vyatokana na Mungu, aliyetupatanisha sisi na nafsi yake kwa Kristo, naye alitupa huduma ya upatanisho;
19. yaani, Mungu alikuwa ndani ya Kristo, akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake, asiwahesabie makosa yao; naye ametia ndani yetu neno la upatanisho.
21. Yeye asiyejua dhambi alimfanya kuwa dhambi kwa ajili yetu, ili sisi tupate kuwa haki ya Mungu katika Yeye.
Sijajua kwanini ni kichekesho Mungu kufa kwaajili ya watu wake.. kwamba Mungu kuna vitu anaweza kufanya na kuna vitu hawezi kufanya.. kwamba uwezo wa Mungu upo so limited.. au kwamba Mungu anataka watu wapote tu
Daah 🙌Sasa mahakama za nini?
Kumbe ina maana hapa Jf kuna wanga eee?Arsis alinambia kuna wachawi na wanga wengi humu hawataki niandike. lakini anasema andika tu, usiogope. Andika kila unachojua kwa namna unavojua.
Simba
Kuanzia saa ngapi atakuwepo?Hivi voisa vipo vingi sana jamani. Haviishi leo wala ksho, nachagua kila kimoja kwa aina yake, sitaki nitoe visa vinavyofanana namna zake.
Tukirudi kisa cha msukule wa Unguja halafu tutaachana na misukule tutaingia kwenye elimu ya dunia saba na nyota na sayari zake.
Tutagusa kila upande kidogo kidogo. Arsis anasema atakue[o siku ya elimu yua nyota nitoe intodaksheni halafu iwe kama maswali na majibu, ili kila mtu aelewe kwa elimu yake. Anagtalka wana sayansi wawepo na wafganga wa nyota wawepo.
Simba.
Wale wanajazana kwa manabii sijui kuhani ni waislamu wale wenye mapepo 😁Waislamu wapo karibu zaidi na majini kuliko watu wa imani nyingine.
Who is Jesus Christ?!Ukiwa na boss wao Jesus Christ upo salama sana.
Hilo wala sio la kulitafuta waliitwa kwanza huko antiokia ambako ni Syria kwa sasa, tena na wapagani, hata yesu halijuwi jina wakristo.Endelea kutafta mahali wakristo wamepata jina Yesu lakini kwa jina hilo mapepo yanatoka.. viwete wanatembea.. wagonjwa wanapona.. wafu wanafufuliwa..
Mnafocus na vitu visivyo na maana as if mkionyeshwa mtaamini.. msipoteze wakati
Labda uwaagize wanaokwenda Nyamisati. Kwetu shungubweni wapo, lakini hawanunuliki siku hizi, wavuvi wana order za mahoteli ya wenye pesa zao. Wenyeji sisi mpaka tuongee na wajomba ambao wavuvi ndio watuletee tena kwa mbinde na huruma ya ndugu tu.nishaanza kuwatamani hao kamba kuwala
hapa dar tunawapataje.
si ndio wale wako na rangi nyekundu au brown hivi.
Cha muhimu hilo jina likitajwa mapepo yanatoka.. Watu wa okolewa.. Hivyo vingine achana navyoHilo wala sio la kulitafuta waliitwa kwanza huko antiokia ambako ni Syria kwa sasa, tena na wapagani, hata yesu halijuwi jina wakristo.
Arsis anasema yeye hawezi kuwaumbua.Kumbe ina maana hapa Jf kuna wanga eee?
Mwambie Arsis awaumbue hapa
Ameamua kuwa stiri basi atakuwa na sababu zake.Arsis anasema yeye hawezi kuwaumbua.
Simba.
Yaani JF ni balaa mzeeAloo Maxence Melo ni mtu na nusu, ona sasa hivi tunachart na viumbe tofauti na binadamu JF here here.