Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Arsis kwa wale wenye tatizo la nguvu za kiume yaani anawahi kumaliza haraka anamfanya mkewe dakika chache anamwaga mambo mfano dakika 5 tu.!je,mtu kama huyu unamshauri dawa gani atumia walau adumu mda mrefu kwenye tendo la ndoa mfano iwe dakika 30. au weka tiba na dawa yoyote unayoijua kuwasaidia wenye shida hii kuwahi kumwaga nao wafurahie ndoa zao..
Tupe namba ya mkeo .
 
Tuelezee zaidi tafadhali.
Sipendi kujibu kila kitu alichoongea kwa leo. Ila napenda kufahamisha gtu kiuhusu Subian aliowataja. Kwa sababu ipo gfaida kielimu.

Subian ni watu wa Saba (Sabayin), wametajwa kwenye Qur'an, hawa walifata kitabu cha Yahya ambae ni kaka yake Issa, mtto wa Mariam huyu. Hiki ni kisa ambacho kipo kwenye Qur'an na ni kirafu sana cha Nabii Issa, ambao Waislam wengo na Wakristo wanaamini mamaya o ni bikira.

Mimi nasema hawaisomi Qur'an wanaosema hivyo, wanafata maneno ya watafsiri, nimeona mmoja anamwambia simba anafanya kufuru, la hasha. Simba hana elimu hiyo, mimi ndio ndio nasema hivyo.

Waislam wengi hhawaifati Qur'an.

Hiki kisa niulize siku hakuna maswali na majibu nimwbie Simba akilete, na nitakuwepoo kujibu maswali. Nimeona yule membere mmoja hapa na yeye anasema amesoma kwa Sheikh Mpalestina na maeweka uzi lakini mimi sijaenda kumsoma, sifahamu ameandika nini kuhusu Issa. hayo mambo ya Subian yanhusiana na hicho kisa kwa sababu ya Yahya.
 
Arsis kwa wale wenye tatizo la nguvu za kiume yaani anawahi kumaliza haraka anamfanya mkewe dakika chache anamwaga mambo mfano dakika 5 tu.!je,mtu kama huyu unamshauri dawa gani atumia walau adumu mda mrefu kwenye tendo la ndoa mfano iwe dakika 30. au weka tiba na dawa yoyote unayoijua kuwasaidia wenye shida hii kuwahi kumwaga nao wafurahie ndoa zao..
Hizo tiba zake anazo simba, anajua sana. Na jini Bakora, mumuulize yeye kuanzia kesho.
 
Chumvi ni chumvi haiana ya mawe wala ya mchanga.

Ina kazi kubwa katika tiba. Kusafisha nyota ni jina na njia ya kutafutia pesa tu. Binadam ni wabunifu sana na wanajua sana kucheza na maneno.
swali langu hapo kwenye kusafisha nyota je,kweli zinachafuliwa au kuchukuliwa ili kusudi wakupishanishe na njia ya mafanikio uliyowekewa na muumba na namna gani ukinge nyota yako na fitna chafu.? pia kusemwa nyota ndio imebeba kila kitu anachostahili kupata mwanadamu au awe nani kwenye maisha yake hapa duniani je,wewe unasemaje kuhusu hili.?
 
Nimejikuta nakucheka wajifanya wajua kumbe hujui.

Na humjui pia,na nisingependa kumuongelea hata yeye tu kujiongelea kujimwambafai kamwe huwezi kuta anaongelea, halafu mbona hata yeye amesema jinn huwa hasemi ukweli asli yake jina Ila kuna hesabu unapata umeishi nao miaka 20 mwenzio kazaliwa kalelewa nao nini yeye kuongea nao mie tu wanijia ndani kwangu naona nao japo wanakuja kwa umbo lake haswa mida ya mchana unakuta kama nalewa usingizi anyways niishie hapa sipo hapa kuongelea habari za mtu nipo kujifunza.weka elimu yako wewe tujifunze kuhusu majinn
Anyway sijui sana ila mbona sauti yake.... Haina athari 🤔🤔

Pia samahani kwa kujifanya mjuaji.. kipindi naandika ile comment sikuwa sawa!!
Samahani sana ntaenda kufuta
 
Arsis je kuna uhusiano kati ya mwezi kuandama na watoto wadogo kusumbua ? Na swali lingine ni Khudam ni viumbe gani?
Maswali mazuri sana hayo.

Kuhusu mtoto ndio, ipo namna mbili matatizo. Namna moja ni kisayansi, wanasema "atmospheric pressure" inabadilika kutokana na mwezi kua wapi. Hii sio watoto tu, hata watu wazima wengine inawaletea tabu. Hata mawingu yanaweza kuleta tabu pressure ikibadilika, hata jua kali au baridi kali. Kawaida sana. Hii inaweza kufanya mtoto kwa kua presha inabadilika akawa anavuta pumzi nyingi na kujaza hewa tumboni halafu haitoki inamuuma, Ikitoka hewa (gas) anakua tayari kapona.

Sababu ya pili. Mwezi ni kipimo cha (mnaita kalenda) kujua idadi ya siku. Kwa hio anaweza kua kwenyue hio nyu,ba kiuna majini wabaya wanatembelea kila mwezi, mtoto anaona vitu vingi watu wazima hawaoni. Mtoto anaona malaika, majini, maruhani, mashhetani, wachawi. Mchawi akiingia mtoto akimuona akianza kulia yule mchawi anamfinya kwa hasira. Soma kuhusu (Lunatics).

Khudam ni viumbe kama viumbe wengine maana ya khudam ni qtumishi, ianweza kua jinni, inaweza rouhan, inaweza kua binaddam.Kila mtu ameandika mambo mengi kuhusu khudam, akiwa mmoja anitwa khadim, wengi ndio khudam.

Hii tunaweza kugtpoa elimu ndafu baadae.

Siku nyingine uliza swali moja, kwa sababu utapata faida nyingi kuliko kuuliza swali zaidi ya moja kwa wakati mmoja.
 
Arsis embu tupe elimu na maarifa kuhusu madhara ya PUNYETO NA KUJICHUA Kiroho na kinafsi na yote yaliyo nyuma ya kitendo hichi cha punyeto na mfanyaji wake yaani yote yaliyo nyuma ya pazia kuihusu tufungue akili.
tabia mbaya tu, oa mapema, olewa mapema. Ukiona hali inakuzidi funga. Ikizidi sana Itatoka yenyewe.

Pia picha za kishetani ukizifata utapotea.
 
Sijui nimuulize nini Ila natamani kujua kisa cha Malkia Bilqis na Nabii Suleyman alosema nitakuvutia kiti kabla hujafika hapo kama sijakosea kingine.

Kuhusu Haaruta na Maarut

Kuhusu Allien

Kuhusu Majinn wanao fanya watu wawe gay or lesbians or bisexual najua anaelewa.

Na kingine kwanini majini wanapenda mfanyisha mtu mapenzi kwa hisia au kumfanya apige Bakary Nondo Mwamnyeto.

Kwanini majini wanaingilia mke wa mtu mpaka anazaa mtoto nusu jinn nusu binadamu wasizae na majinn wenzao.

Uchawi wa wapi ndo mkali wa wazungu au wa Misr au wa Kindengereko Kimakonde

Kuhusu Lucifer Freemason

Kuhusu Masih Dajjal
Hii la Nabii Suleiman ni somo zuri sna na lina mafundiaho makubwa sana na refu sana.

Mengine kila moja uliza post yake. Siwezi kuchanganya majibu mengi post moja na yote majibu yake marefu.
Tuanze na Nabii Suleiman, Umejuaje kama anaitwa Bilqis?
 
Maswali mazuri sana hayo.

Kuhusu mtoto ndio, ipo namna mbili matatizo. Namna moja ni kisayansi, wanasema "atmospheric pressure" inabadilika kutokana na mwezi kua wapi. Hii sio watoto tu, hata watu wazima wengine inawaletea tabu. Hata mawingu yanaweza kuleta tabu pressure ikibadilika, hata jua kali au baridi kali. Kawaida sana. Hii inaweza kufanya mtoto kwa kua presha inabadilika akawa anavuta pumzi nyingi na kujaza hewa tumboni halafu haitoki inamuuma, Ikitoka hewa (gas) anakua tayari kapona.

Sababu ya pili. Mwezi ni kipimo cha (mnaita kalenda) kujua idadi ya siku. Kwa hio anaweza kua kwenyue hio nyu,ba kiuna majini wabaya wanatembelea kila mwezi, mtoto anaona vitu vingi watu wazima hawaoni. Mtoto anaona malaika, majini, maruhani, mashhetani, wachawi. Mchawi akiingia mtoto akimuona akianza kulia yule mchawi anamfinya kwa hasira. Soma kuhusu (Lunatics).

Khudam ni viumbe kama viumbe wengine maana ya khudam ni qtumishi, ianweza kua jinni, inaweza rouhan, inaweza kua binaddam.Kila mtu ameandika mambo mengi kuhusu khudam, akiwa mmoja anitwa khadim, wengi ndio khudam.

Hii tunaweza kugtpoa elimu ndafu baadae.

Siku nyingine uliza swali moja, kwa sababu utapata faida nyingi kuliko kuuliza swali zaidi ya moja kwa wakati mmoja.
Asante basi ngoja nichague ili la watoto ndio unifafanulie zaidi, umesema mtoto anaweza kuona malaika, majini wachawi mpaka afikishe umri gani anakuwa hawezi kuona tena?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom