Lidafo
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 978
- 2,230
Shukurani sanaFanya tulivyokuelekeza usiwe na wasiwasi.
Shukurani sanaFanya tulivyokuelekeza usiwe na wasiwasi.
Kuwaepuka ni kusoma dua tu, niliona kuna dua zimeletwa humu.mkuu mimi swali langu ni huko masokoni hivi wale wanaofanya biashara wakiwa uchi lakini kwa macho yetu ya kawaida tunaona wamevaa nguo kuna siri gani wao kuuza wakiwa uchi na je,madhara yoyote kwa wateja wanaonunua na kula hivyo wanavyo viuza maana vyaweza kuwa vichafu pia na ipi njia ya kuwaepuka? na vitu wanavyouza ni halisi au kiini macho?
Upo baina ya Dar na Kilwa. Ni jiji kubwa sio mji tu. Ni katika miji ya enzi za Mafirauni.Arsis ni kweli upo mji uliozama chini ya bahari ukifahamika kama Raphta.... mji huo upo wapi kwa sasa
Mwambie Arsis hatutendei haki nnatamani kuuliza maswali mengine ya binafsiUjumbe mwingine wa Arsis nimeupata sasa hivi wakati naanza kuandika. Usijibu mtu "private, this is an educative thread, simba, you are not mganga or mchawi" akaongea Kiswahili, kua yeye Arsis atajibu linaloulizwa hapa, private ni baina yangu na anaeuliza, yeye hahusiki.
Kwa hio mnaokuja private msitegemee kujibiwa na Arsis maswali yenu ya Private, anasema anaeta yeye ili ajibu muulize hapa wazi, watu wengi wapate faida, kwa sababu tatizo la mtu mmoja wanalo watu millioni moja wengine. Anassema wabadilishe jina kama hawataki kujulikana halafu waulizze. Anataka kutoa elimu yake kwa watu wengi.
Du, leo tumemkorofisha nini Arsis?
Swali lako sijaliona, lipo post namba ngapi?Na mie nasubiria jibu
Tumia ID fake kama hii ulionayo inajulikana.Mwambie Arsis hatutendei haki nnatamani kuuliza maswali mengine ya binafsi
Bila shaka kutakuq na mali nyingi uko chini tali fanyia kwziUpo baina ya Dar na Kilwa. Ni jiji kubwa sio mji tu. Ni katika miji ya wnzi za Mafirauni.
Lamu upo mwingine kwenye himaya hio. bahari kuu ya Mytwara ina mji pia lakini huu maji yake ni kina kirefu sana.
Upo baina ya Dar na Kilwa. Ni jiji kubwa sio.....
najibu swali lolote ninaloweza kujibu. Uliza, liwe lolote lile lenye faida kwa jamii.Arsis vp maswali kuhusu tiba unayajibu
Arsis nitumie tiba ipi ili mke wangu apone matatizo aliyonayoSwali lako sijaliona, lipo post namba ngapi?
Arsis mbona hili hujibuArsis nikikua nataka uniambie kama unawajua hawa na kazi zao na kama kweli walikuwepo
1.metatron
2.ophanims
3.Azazel
4.phoenix
5.behemoth
6.samael
7. Atlantis
Nashukuru
Simba anajua kuhusu mali za ardhini, hajaleta kisa chake bado.Bila shaka kutakuq na mali nyingi uko chini tali fanyia kwzi