Miundo, Mifumo na Matendo yote,
kwenye fremukazi ya uono na ufikirifu mifumo, ndiyo hasa mambo yajayo na ualama wa (1) Mraba (Dhamma ijayo na Sovereini Jumuifu), (2) Pembe Tatu ‘ya Mbingu’ na ‘ya Nchi’ kutenganishwa na ukatikati wa Ulali wa mapana ya Dhamma, na (3) Torati (
Miongozo kwa ajili ya NISHANI ya UTU BORA).
‘Kuumba mtu kwa Mfano wetu’ , ni nasibu ya ‘
matendo katika metafanusi’. Kwa mintarafu ya hivi, kile kiumbe-mtu kwa sura-umbo na unasibu wake ni matokeo ya ‘Mbegu-Utu’ kwa ajili ya
Dhamma, Kudra, Silika, Rehema na Fadhili ya UTU-MAISHA-UISHO. Basi ndiyo yawa, Hisia na Kujisikia hufafanua na kuyakinisha muktadha wa akilifu wa ‘Maisha na Kujichagulia’ kulingana na ‘Miundo ya Utendaji wa Kijamii’ na ‘Ushawishi’ wa Kitaasisi ndani ya Wanajamii wenyewe.
Kudra na Silika ndiyo yale kwenye wale wazungumzao lugha ya Kiingereza wangeliyataja kama ‘Virtue’ na ‘Character’; Basi ndiyo yawa ‘Dhamma’ ni muktadha akilifu wa yale yote yajayo na mafundisho ya Buddha kuhusu ‘
Gorudumu la Dhamma’ na ‘
Njia ya Wongofu’. Tena basi, yawa kwamba matendo yote hubayanisha ‘mifumo’ ambayo Udhamirifu ama/na Matendo vinaasili ya pembetatu—muktadha akilifu wa ‘
Trishikisha’.
‘Kuumba mtu kwa Mfano wetu’ , ni nasibu ya ‘matendo katika metafanusi’ ambavyo ‘Kujiwazia Utu’ hukopa maudhui kutoka kwenye
Uzabibu 13—Ufahamu Kristu. Kwa mintarafu ya hili, mifumo hai yote kupata mbegu za kudra na silika kutoka kwa ‘Kristu’. Basi ndiyo yawa, Kristu ni ‘Metafanusi’ ya ‘Miili yote ya Uzima na Uweza’. Kuwa kwamba, Kristulojia ndiyo ile habari ya ‘Hapo Mwanzo Kulikuwa na NENO, Naye Neno alikuwa ‘Nuru’...; Tena basi, Habari za
Yesu kupata kusema alikuwepo Kabla ya yote—Kabla ya hata kuumbwa kwa Ulimwengu Dhahiri ni dhihiri la ‘
Ufahamu Kristu’-- Ufahamu Kristu ni Usentieti, Konsayansi na ‘Roho ya Utambuzi’ katika muktadha akilifu wa
NENO LA UZIMA.
‘Kuumba mtu kwa Mfano wetu’ , ni nasibu ya ‘matendo katika metafanusi’ ambavyo vile vilivyodhahirika huwa na lugha ya kimaelekezo ya utendaji na kumbukumbu za kimpangilio, programu, kwa ajili kukua na kuongezeka. Kwa mintarafu ya haya, muktadha akilifu uliyo ni programu kwa ajili ya (i) kujiunda, (ii) kujisuka kiwakati na (iii)kujidumisha vizazi vyake; ndiyo ‘sehemu’ ya ‘Neno la Uzima’. Basi ndiyo yawa, mambo ya ‘programu mahsusi’ ya kiumbe hai chenye usentienti, konsayansi na ufahamu ni ‘Habari Njema’ iliyositirika katika ‘Sonafi’ ya Kiumbe Hai chenyewe ili kumuwezesha na kumnasibisha na (1) mambo dhahiri , na (2) mambo yaliyositirika; kupitia matendo yaki- ‘
Bayo-fizikia ya Kikwantumu’.
‘Kuumba mtu kwa Mfano wetu’, ni nasibu ya ‘matendo katika metafanusi’ ambavyo vile vilivyodhahirika huwa ‘Uzao wa Matunda Uliowaziwa kwa Kutangulia’. Kwa mintarafu ya hili, Matunda ni muktadha akilifu wa ‘Mti wa Uzima’; Kiufundi ‘Mti wa Uzima’ ni ujumla wa nasibu ya Ustawi na Utamaduni wa ujumuiko wa jamii kwa uzazi (kujamiana) na ‘Udhamirifu wa Furaha’ kupitia ‘kazi/utendaji’ ama/na ‘Kuunganika/Kukomunika’ na ‘Roho ya Uzima Wote’. Basi ndiyo yawa, kutokeo kwenye mapokeo ya ‘Injili’ na ‘Matendo ya Mitume’ huzungumzwa kana ‘Kristu’ ni ‘Tumaini la Vizazi Vyote’. Tena basi, hiyo ni kwa kuwa Kristu ni ‘Fanusi ya Mti wa Uzima’ na mambo yake…
Miundo, Mifumo na Matendo ndiyo ile asili khasa ya ‘Mafumbo yote ya Imani’. Kiuono na Ufikirifu Mifumo, Ustawi na Utamaduni ni ‘Utukufu’ wa ‘Metafanusi’ iliyositirika na huku kumbe ndiyo ile asili khasa ya Dhamma, Kudra, Silika, Rehema na Fadhili kwa UTU-MAISHA-UISHO. Kwa mintarafu ya hivi, Dhamma ni MRABA wenye asili ya (1) MOTO, (2) UPEPO, (3) MAJI, na (4) ARDHI/NCHI. Basi ndiyo yawa, MRABA mwingine wa MISINGI wa MTU KUJICHAGULIA KIWAKATI ndiyo huruzuku nasibu ya ‘Unyoofu’ na ‘Mapenzi Mema’ ya Mja; ambavyo ada ya Mja Mwema ni ‘Muda kuja Kunena’ – Muda kuja kunena ile fahari ya Utu – Utu wa yule mwenye Kutenda kwa ‘Maungwana’ ama ‘Kiburi’; Hauwezi kupanda Pilipili ukaja kuvuna Parachichi...
Mfano mahsusi ya ‘Udhamirifu wa Furaha’ na ‘Ujumuiko wa Kizazi/Vizazi’, ni shauri la UHURU-UDUGU-HAKI-AMANI.
Kiuono na Ufikirifu mifumo, manne haya ni kwa ajili ya ruzuku ya Rehema na Fadhili ya UTU-MAISHA-UISHO. Kwa mintarafu ya hivi, Dhamma ya Utaifa la Tanzania ni kusudi kwa matamanio ya kheri kwa ajili ya ‘UTUKUFU wa KIJAMII’ wenye miongezeo/Torati ya mapana ya
LIBERTI-UuMOJA-UJAZI-UTANGAMANO. Basi ndiyo yawa, ‘Unyoofu’ na ‘Mapenzi Mema’ hukadirisha ‘Mstari’ na ‘Uduara’; vifanyavyo pande nne za MRABA wa DHAMMA.
Mfano mahsusi ya ‘Udhamirifu wa Furaha’ na ‘Ujumuiko wa Kizazi/Vizazi’, ni shauri la UHURU-UDUGU-HAKI-AMANI.
Kiuono na Ufikirifu mifumo, manne haya ni kwa ajili ya ruzuku ya Rehema na Fadhili ya UTU-MAISHA-UISHO. Kwa mintarafu ya hivi, Muktadha akilifu wa Utendaji – Utendaji (1) Kiroho, (2) Maadili na (3) Miiko una zindiko ambalo ndiyo msingi wa kulijenga, kulidumisha na kulilinda Taifa la Watanzania. Basi ndiyo yawa, hakika ya UTU-MAISHA-UISHO wa Watanzania ni fanusi ya ‘Uhuru na Umoja’ kwa matamanio ya Ujamaa wa Kweli; Ambavyo Rehema na Fadhili hukadirika kwa Imani ya Watanzania Wenyewe katika Udhamirifu wa kuwa ‘Waja Wema’; Uja wema katika ‘Maugwana’ na si ‘Kiburi’…
Mfano mahsusi ya ‘Udhamirifu wa Furaha’ na ‘Ujumuiko wa Kizazi/Vizazi’, ni shauri la UHURU-UDUGU-HAKI-AMANI.
Kiuono na Ufikirifu mifumo, manne haya ni kwa ajili ya ruzuku ya Rehema na Fadhili ya UTU-MAISHA-UISHO. Kwa mintarafu ya hivi, ‘Wakati ni Ukuta’ kwa kuwa Riziki ya Mtu/Mwanajamii huja kwa nasibu ya mawili (1) Kazi, na (2) Neema. Basi ndiyo yawa, UTU-MAISHA-UISHO ni fanusi ya ‘Kazi na Sala’; Uugwana ni Kujiamini na Unyenyekevu katika njia za kile kilicho ni Khasa asili ya Uzima wetu wa Miili—Miili-Akili-Roho. Kiburi si Maungwana, kwa kuwa ni ‘kutangatanga mbali’ na ‘Karamu ya BWANA’-- Karamu ilivyo Daima kuandaliwa kwa wale wenye ‘Mioyo Safi’…
Mioyo safi, Kiuono na Ufikirifu Mifumo ndiyo asili khasa ya Utu wa Dhahabu kwa Nchi ya Tanzania, ambavyo ‘moto’ ni alama ya ‘kusafisha/kutakasa utu’. Kwa mintarafu ya hili, Upendo ni ufunguo kwa ajili ya utu wema; huu haukai katika moyo mtu mpaka yeye aifanye nafasi katika moyo wake ili matamanio na uhitaji wake visukumwe na makusudi yenye kheri kwake na jamii yote. Basi ndiyo yawa, moyo safi ndiyo udhamirifu ‘kumpenda jirani kama unavyojipenda mwenyewe’ ama pia ‘Kutomtendea mwingine vile usivyopenda wewe kutendewa’. Tena basi ndivyo, Rangi ya Utu Wema ni ‘Njano ya Dhahabu’—Njano ya Dhahabu ijayo Mwenge unaowaka Juu ya Mlima Kilimanjaro; kuwa huo ndiyo alama ya uwepo wa tumaini, upendo dhidi ya chuki na heshima badala ya madharau...
Ujamaa wa Kweli, Kiuono na ufikirifu mifumo ndiyo muktadha akilifu wa ‘Sovereini Jumuifu’. Kwa mintarafu ya hili, Ujamaa ni Imani na tena udhamirifu wa UHURU-UDUGU-HAKI-AMANI miongoni mwa wanajamii. Basi ndiyo yawa, Demokrasia ni Masikilizano, Uhuru wa Kujidhihiri Utu na pia Uhuru wa Kujichagulia yale yajayo na kudra, siha njema na UTU BORA. Tena basi, Utu bora ni nidhamu, matendo na Hekima kwa ajili usivilai na utamaduni wenye kheri ya pamoja na tena wakati wote. Kwa nchi ya Watanzania, usivilai na utamaduni huu ndiyo dhana ya Uzalendo wenye ‘Utu wa Dhahabu’ kutokea ‘MASHARIKI’…
Rangi za Ujamaa, jamii moja yenye UTU Bora ndiyo ni ‘Zambarau’ ya mchanganyiko wa UBLUU wa Anga na NYEKUNDU ya NCHI/ARDHI; na tena, ‘Njano ya Dhahabu’ kwa chochote chenye kuwakilisha UTU na KUJICHAGULIA: Gurudumu la Dhamma kwa ‘kusudio Dhamma’…