Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Nyoka ni jamii ya majini, huoni wanavojificha ficha? Jini ni neno linalotokana katika neno kutokuoneka kwa Kiarabu.

Kuhusu Diesel, ni kwa kua Diesel ikipakwa sehemu haipotei kwa muda mrefu mpaka ipanguswe au ifutwe (masaha) hai evaporate kwa haraka. Sio kama mafuta ya taa na petroli.

Hio "masaha" ndipo pia tunapolipata jina Masih kwenye Qur'an.
Simba.
Inaingia akilini.
 
Katika Uislamu, shirki inamaanisha kuhusisha kitu chochote au mtu mwingine pamoja na Mungu katika ibada au sifa za Mungu, au kuamini kwamba kuna mungu mwingine anayeweza kushirikishwa na Mungu katika mamlaka Yake.
Shirki inajumuisha mambo kama kuabudu sanamu, Mizimu ,Majini ama viumbe vingine au vitu vingine au kuamini kuwa kitu au mtu mwingine ana uwezo sawa na Mungu
Asante mkuu..
 
mam i ya nyota na meneno wayatu,ia wajanaja kujipia pewa kwa kua watu wameshayazowea. Ingawa kuna elimu inayoitwa ya nyota lakini ukitaka kiundani elimu hio kisayansi ina aina mbili, moja ni astronomy ma astrophysics na inayohusishwa na elimu ya utabiri inaitwa astrology.

Zote hizo elimu tatu watu wamejitahidi na kubobea sana lakini wote wanasema yasio na ukweli ni dhana tu(conjecture).

Ukija hio ya ya kiroho, vijini vimetambua hilo na vinacheza na akili za binadamu kuendelea kuwapotosha kua ni elimu ya kweli.

Hasad ipo na ni mbaya kuliko uchawi, inabidi tujiline sana na Hasad au kuhusidiwa sisi au sisi kuhusudu wengine. Ndio maana katika Uislam tumeshindshwa kusema Ma Shaa Allah, Tabaraka Allah na mengineyo tunapokisifi kitu. Ile isiwe kusifu kwetu ni husuda. Kusuda ni kijicho au ain kwa Kiarabu au Kingereza wanasema "evil eye".

Kutibu husa ikikupata kupo aina nyingina na zote zinafanya kazi lakini kuu sala na kusoma aya mbili za mwisho za Qur'an. Pia bakora aliwahi kunambia majani ya mkomamanga unajifukisa nayo kwa kuyachoma. Mara moja tu.

Kuna njia nyingi sana za toka mababu na mababu nazo zinasaidia mradi tusiingize shirki tu.
Simba.
Simba wacha haraka, fanya editing kabla hujapost.
 
Kweli

Ni kweli... Lakini njia hyo ni ndefu Sana japo ikileta matokeo huwa ni ya hakika🤝
Wengi huishia njian!!
Mm nilipewa uradi kama unaosema hapo.... Kumtaja Mungu mara 22000 kwa siku, mwaka mzima🤝🤝🤝

Kivumbi chake nilikiona japo ukitia nia na jitihada utafunguliwa Siri ambazo wengine hawana, utapewa uwezo wa ajabu pia utakuwa karibu na Mungu pamoja na mitume wake direct


Lkn nahakika vitakushinda maana kwenye watu 1000 hapo anayetoboa n mmoja tu🚶🚶
Tena unatakiwa usiwe na kazi, ukae sehem moja usiwe mtu wa kutembea ovyo (unavuta urad mpk mikono inatoa sugu😶😶

Masufi achana nao wewe!!!!

Sikatishi tamaa ila naongea ukweli wa mambo kwa uelewa wangu
Uradi maana yake nini? Maana wengine tupo upende mwingine kwaiyo watuwia vigumu kujua misamiati ya upande mwingine. Asante
 
Katika Uislamu, shirki inamaanisha kuhusisha kitu chochote au mtu mwingine pamoja na Mungu katika ibada au sifa za Mungu, au kuamini kwamba kuna mungu mwingine anayeweza kushirikishwa na Mungu katika mamlaka Yake.
Shirki inajumuisha mambo kama kuabudu sanamu, Mizimu ,Majini ama viumbe vingine au vitu vingine au kuamini kuwa kitu au mtu mwingine ana uwezo sawa na Mungu
Kwa kuongezea tu, hata kuamini kua Mwenyezi Mungu hakusikii wewe mpaka umtumie fulani, nayo ni shirki.
Simba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom