- Thread starter
- #3,461
Nafurahi umekiri Kristo wapo wengi. Hao wengi kwanini waliitwa Kristo?Kama unazungumzia waliopakwa mafuta, kweli waweza kuwa wengi, ila Kristo ni mmoja
Hili suala kwa mtazamo wangu hata Waislam wata vimba, misimamo yao kuhusu Ksristo mimi naiona inaenda kinyume na Qur'an.
Simba.