Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Na atashangaa zaidi,Allah anasema katika qur'an yeye yupo karibu nasi kuliko hata sisi tulivyo karibu na mshipa wetu wa shingo,sasa ebu jiulize mshipa wa shingo upo mwilini mwako lkn Mungu yupo karibu zaidi kuliko huo mshipa

Nimepata jibu moja,sisi viumbe tumepuliziwa roho itakayo kwake,kwahiyo roho ambayo ipo ndani yetu hakika ndio ukaribu wetu na mungu zaidi.

Lakini kwa kukazia zaidi,iwapo bwana simba akitaka kuongea na arsis huwa anaongea nae kwa mawazo tu na kumbuka huyo ni kiumbe wa Mungu,je vp kuhusu muumba mwenyewe?
Ni kweli lakini usisahau pia kuna Siri ambazo sio za kila mtu...... Kuna vitu watu huwa hawaambiwi mpk waulize

Kuna mazungumzo ya dharula na mazungumzo rasmi... Simba akiwa ndani huzungumza na Arsis kwa dharula lkn akiwa kwenye mlango wa kiroho huzungumza mazungumzo rasmi🤝🤝

Swali Kama Arsis anaweza ongea popote na akawa comfortable kulikuwa na ulazima gani kumwambia awashe gar kwenda baharini???

Kwahyo hata Allah yupo kila sehemu na anasikia na kujibu popote lakini Kuna maeneo ukienda kunakuwa na mazungumzo rasmi 🤝🤝

Logic yangu ni hiyo
 
Naam na hasa hasa usiku mnene ndio una daraja kubwa sana,lau watu wenye changamoto zetu tukaamka usiku wa manane na kuzungumza na Allah hakika matokeo tutayaona
 
Na kuna hili jina la Allah ambalo ukitaka kupewa siri mbali mbali ebu dumu nalo hakika utayajua mengi Ya hakam,taja hili mara nyingi nyakati za usiku utakuja kuyaona mengi
 
Ni kweli lakini usisahau pia kuna Siri ambazo sio za kila mtu...... Kuna vitu watu huwa hawaambiwi mpk waulize

Kuna mazungumzo ya dharula na mazungumzo rasmi... Simba akiwa ndani huzungumza na Arsis kwa dharula lkn akiwa kwenye mlango wa kiroho huzungumza mazungumzo rasmi🤝🤝

Swali Kama Arsis anaweza ongea popote na akawa comfortable kulikuwa na ulazima gani kumwambia awashe gar kwenda baharini???

Kwahyo hata Allah yupo kila sehemu na anasikia na kujibu popote lakini Kuna maeneo ukienda kunakuwa na mazungumzo rasmi 🤝🤝

Logic yangu ni hiyo
Utulivu na ukimya. Katika Uislam huitwa "Sakinah" (tranquility).
Simba.
 
Kama nilivyokuahidi, kua Arsis anamfahamu na alishahi kunipa kisa cha Yesu zamani. Nimeipata kumbukumbu yake.

Nilipomuuliza Arsis alinipa majibu ya ajabau sana, ambayo ni kinyume cha mafundisho ya Ukristo na Uislam na yenye utata sana.

Utata wa kwanza; ni kuhusu Maria Bikira ( Bi Mariam kwa Waislam) hakua bikira kabla ya kuzaliwa kwa Yesu na Yesu hakua mtoto wake wa kwanza.

Utata wa pili; Mariam mama wa Yesu ni Mmisri wa ukoo wa wafalme wa Kimisri aitwae Meritaten

Huu utata wa pili, Arsis alisema "tafuta kwenye simu yako 'meritaten" utaiona picha yake iliotengenezwa wakati wake, sio hizo za kuchorwa zilizojaa kila sehemu. Ukweli huo unafichwa sana.

Utata wa tatu; Arsis anaamini Waislam wana kitabu kizuri sana, Qur'an, lakini hawakisomi kwa kukielewa, wanakisoma kwa kuimba tu.

Utata wa nne; Nilipomuuliza kuhusu Biblia akasema, hicho ni kitabu cha wagiriki. Nilipomwambia afafanue zaidi, akanijibu , mimi sikuja kukufundisha Biblia wala Qur'an, hivyo vitabu vipo, visome usichokielewa niulize.
'HIVO VITABU VIPO, VISOME'
 
Kwa hiyo ni kama alivyofanyiwa Simba? Kapewa pete. Kafundishwa jinsi ya kuita majini...
Nilipewa pete na Bakora na uwezo wa kuwaita wenye pate na bakora na wasaidizi wao tu.
Zaidi ya hao sina sababu ya kuwaita, wakiwepo najua.
Simba.
 
Arsis
Unaposema tuje jukwaa la wazi kuna Mambo mengine ya ndani mtu hawezi kufunguka hapa.
Basi Uwe unatulekeza unapopatikana tuje tukuone kama inawezekana
Binafsi hamuwezi kuniona, mimi sio mganga wa tabibu wala Sheikh.

Nilijaribu kuwaelekeza watu humu waende wapi wakapate tiba ya matatizo ya ngozi mwilini watu wakaona ndio ilikua sababu ya huu uzi. Nilishaanza kuongea na Sheikh mmoja amabae mimi namfahamu sana kua ni mtu wa tiba mtu alienyooka na mpole sana, nilipoona manaeno yanazidi nikasitisha kumpigi na kuongea nae. Huyo ana dawa mpaka ya saratani kafundishwa na Arsis kupitia kwangu. nafahamu kua alimtibu mtu tezi dume na hio dawa mpaka madaktari wameshangaa.

Kusema kwangu sitaki kuongea na mtu private ni kuwapa faida wengi, unaweza kuja na ID feki ukauliza jukwaa la wai kama ulionayo inajulikana.

Nimeshatoa dawa nyingi kwenye huu uzi, ambazo watu wakitumia ni tiba kubwa sana. Ushauri wangu hauhitaji mtu wa tatu, wewe mwenyewe unaweza kutatua matatizo yako bila mtu mwengine. Lakini kama pesa zinawawasha mnatafuta pakuzipeleka, wapo watu ambao ni watu wa tiba kweli, sio matapeli lakini hawafanyi mambo yao bure.

Nimeandika dawa zako zote ulizotowa humu, labda iwe zingine sijaziona.
 
Na kuna hili jina la Allah ambalo ukitaka kupewa siri mbali mbali ebu dumu nalo hakika utayajua mengi Ya hakam,taja hili mara nyingi nyakati za usiku utakuja kuyaona mengi
Hio ndio tahajudi na uradi kwa pamoja.

Unachotakiwa kufanya ni kufanya kwa lengo na nia. Nia iwe siri yako na Muumba wako ndani ya moyo wako.
Simba.
 
Nimeandika dawa zako zote ulizotowa humu, labda iwe zingine sijaziona.
Simba,

Hapo kwenye dawa zako nina swali au maswali. Nimekusoma kuhusu diesel, kwangu siyo mara ya kwanza kusikiya hilo la diesel kukimbiza najinni kutokea kwako, nimewahinkudhuhudia kwa macho yangu mtu aliepandisha akapakwa diesel, akawa anapiga kelele kabisa. jini likamwachia huyo mtu likatoka nduki.

Nauliza, kwanini hao majinni wanaiogopa na kuikimbia diesel?

Huku kwetu tunafukuza nyoka kwa kumwaga diesel au mafuta ya taa au oil chafu sehemu ambazo hatutaki nyoka wafike.

Pia akionekana nyoka kaingia mahali basi itamwagiwa diesel au mafuta ya taa, lazima atatoka alipojificha na ukimwagia nayo yakimpata vizuri wanasema hana maisha huyo, lazima atakufa.

Kwanini nyoka na majinni wana ila hiyo ya diesel? Mafuta ya taa nayo kwa majinni ni hivyo hivyo? Petroli nayo vipi?
 
Dah huu mtihani mkubwa Sana.... Watu wengi n wahanga wa hili tatzo ila, amini nakwambia Bora upatwe na mashetwan wanaotaka kukufanyia ubaya mwingine kuliko huyo kiumbe😶😶

Yani n anabalaa na nusu
Nimekuelewa unachosema, lakini hao viumbe wasioonekana wenye ushetani, wengi wao ni waongo.

Natamani nitoe somo dogo hapa; Kiumbe yeyote asieonekana kuja kwenye himaya kibinadam ni kuvunja amri za kitawala za kwao, wale wenye kutoka tawala zisizo za Kishetani huhukumiwa kwa hayo na wale wa tawala za kishetani hutakiwa kulipia fidia uwepo wao wa kishetani kwenye himaya za kibinadamu.

Ni somo kamili, kila tuvoiendelea kusoma, tutaelewa, je ni kina nani hawa viumbe wanaoitwa majini? Je hakuna watu wenye sifa hizo?

Kisa cha Adam tulichoanza nacho kina mafundisho makubwa sana kuhusu visivyoonekana, vote vina ushahidi wa kwenye kitabu cha Qur'an, ni muujiza wa kipekee.

Tunaoyajua ni tofauti kabisa na uhalisia au kwa kufundishwa uongo au kwa sisi wenyewe kucheza na hisia zetu kwa tunaoyasikia.
Simba.
 
Binadamu walijiamulia kuwa na miungu yao kutafuta shortcut ambazo hazipo, au zenye madhara.

Nasikia hata huko Kibaha kulikuwa na mganga maarufu akijiita Mungu wa kabili (wa pili)
Sio Kibaha ni kusini huko. Zipo video clips za Sheikh Kishki alipomtembelea.

Kibaha kuna anaejifanya mtume Eliyasi.
Simba.
 
jina jili lina idadi ya kulitamka? Na je lini idadi vilevile la siku kulitamka
Wala halina idadi maalum,ni wewe tu na juhudi zako,kikubwa udumu kulitaja,unajua Allah anapenda ibada za kudumu hata kama unafanya kwa uchache,mfano hata kama kwa siku unamtukuza mara tano tu kwa kusema Subhanallah [umetakasika Allah] basi hakika anapenda sana

Hilo ni miongoni mwa majina 99 ya Allah,na Allah anasema hakika yeye ana.majina mazuri mazuri basi niombeni kwa kupitia majina hayo
 
Na yale majina ya Barhatiyah yamo humo ndani ya majina hayo 99
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom