Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Sufi

Simba wapo wengi duniani. Kawaida sana.

Binafsi nimeachana na mila na tamaduni za Kisimba lakini siwezi wala sitajaribu kuukimbia ukoo wa Kisimba.
Uzuri wa Simba wanaheshimu sana uhuru wa mtu, hawakuingilii kama huwaingilii mambo yao. Simba wanaamini Mungu.
Simba.
Wafanya kisebusebu na kiroho kipo papo.
 
Hao wazungu mbona wapo wa dini zote ba wengine wao hawana dini kabisa, tena sasa makundi kwa makundi wsnsrudi kwenye Uislam.

Waarabu wapo wa dini zote, kuna dini zingine zipo kwao tu, hazijafika kwetu wala Ulaya. Sema wengi wao wameiyona nuru ya Uislam kama sasa inavyotapakaa dunia nzima.

Uislam haumlazimishi kipofu kutazama, humsafisha moyo wake uione nuru kabla ya macho yake.
Kama huioni nuru ya Uislam elewa kuwa upo kizani.
Come again...? 🫣
Uislam huu ninaoujua mimi ambapo btinti akitaka kubatizwa na kumjua Kristo basi na jambia lipo shingoni?
 
Uzuri ni kua sifanyo ramli na hata hawa viumbe hawafanyi ramli. Arsis anasema anayajua yaliopita hayajui yajayo kasoro yale ualiopo kwenye vitabu vyake.

Arsis anasema vitabu vya Mwenyezi Mungu ni viwili tu, Tawrat ambayo sasa haipo, imefichwa na Qur'an. Basi.

Kujuana na na viumbe hawa na kushirikiana nao sio Shirk. Shirk ni kumshirikisha Mwenyezi Mungu.

Si ushawai kusikia watu wanaitwa ma "genius"? Hio genius maana yake nini? Kwa ufupi ni msaada kutoka kwa wasioonekana.
Simba.
Kwa habari. Ya ukristo, huyo Arsis anakuficheni mambo mengi sana. Natamani nimwalike kwa battle. Nije na Kristo nae aje na whatever. Unasemaje
 
Amani iwe juu yako na wote waanaofatilia uzi huu. Hatupo hapa kwa "battle", tupo tayari kujadiliana na yeyote kwa usalama na amani na kwa faida ya kuelimishina.

Unamuongelea "Kristo" yupi? kwa sababu kwenye biblia kuna Kristo zaidi ya 20 waliotajwa, namba kamili ni 29.

Usichanganye "Ukristo" na "Kristo". utashindwa mjadala mapema.

Waliotajwa kua ni wa kwanza kuwaita hivyo, kwa muibu wa biblia, hawakuwaita wakristo kama ujuavyo au ulivyoaminishwa wewe. Hio ni tafsiri tu ya watu, sio maneno ya Mwenyezi Mungu.

Nipo tayari kujadiliana wakati wowote, ndio maana ya kuruhusu Simba aanzishe uzi unaotujadili na kutuelezea kwa kina, kadiri ya alivyotuelewa.

Karibu sana.
Simba.
 
Masugi mapaka ukiwaona utawaona kama wehu fulani kwa kushika kwao uradi.

Mimi nahisi wengi wao wanachukulia sivyo hayo mafundisho ya Kisusufi. Kina chotakiwa ni kua na yakini na kuuzowesha mwili na roho kwa jambo fulani. Mfano unafanya uradi kila siku saa 10 mpaka 11 alfajiri. Basi iwe ndio zoezi lako mpaka ufikie lengo lako, sio kua na uradi mchana kutwa usiku kucha, Utawehuka.

Huo ndio msingi wa kwanza, sala tano zizikupite na yanayofati ahapo ni hayo mazoezi mengine.
Simba.
Unayoongea ni kweli kabisa.... Ibada inasiri tena kubwa sana, hao watu ulowataja wanaitwa madaruwesh

Mimi nilikataa kupita njia hyo 💯 japo kuna vingi nimejifunza kwao.... Kiu ya elim ikanibeba mpk kwa watu wa Magical names and spells, nikakutana na mwalim mmoja anadai anaelim ya kuongea na malaika n.k nikaliunga nae pia kanifundisha yake, baadae nikampima kwenye mizani nikaona n mtu wa shirk nikaachana nae ( kichwan kwangu nilikuwa na tahadhari moja kubwa, simshirikish Allah kwa lolote wala sijifunzi uchawi na sifanyi kilicho nje na mafundisho ya uislam,
Maana ninaushuhuda dhahiri kutoka kwa mzee wangu elim aliipenda akaitafuta akaipata isiyo sahihi akaimeza nyingi ikamzidia mwisho ikamuua kikatili😔😔😔

Anyway wengine lengo la kutafuta elim n kutafuta siri ya kuwa karibu na Mungu Kama watu wa zamani🤝🤝
Maana ukiwa karibu na Mungu dunia umeiweza
🚶🚶🚶
 
Amani iwe juu yako na wote waanaofatilia uzi huu. Hatupo hapa kwa "battle", tupo tayari kujadiliana na yeyote kwa usalama na amani na kwa faida ya kuelimishina.

Unamuongelea "Kristo" yupi? kwa sababu kwenye biblia kuna Kristo zaidi ya 20 waliotajwa, namba kamili ni 29.

Usichanganye "Ukristo" na "Kristo". utashindwa mjadala mapema.

Waliotajwa kua ni wa kwanza kuwaita hivyo, kwa muibu wa biblia, hawakuwaita wakristo kama ujuavyo au ulivyoaminishwa wewe. Hio ni tafsiri tu ya watu, sio maneno ya Mwenyezi Mungu.

Nipo tayari kujadiliana wakati wowote, ndio maana ya kuruhusu Simba aanzishe uzi unaotujadili na kutuelezea kwa kina, kadiri ya alivyotuelewa.

Karibu sana.
Simba.
Huyu mbona Kama n Arsis🤔
 
Mimi nakushauri, tafuta elimu ili uieneze iwe na faida kwa wengi, usichoke kusoma mapya, hujui elimu na uelewa unapotokea. Ingawa umetajwa sana kwenye Qur'an lakini huwa nawashangaa maulamaa hawayaoni au mioyo yao haifunguka kuipokea elimu? Maana ukiitilia shaka hata kidogo elimu ya Mwenyezi Mungu ujue unajifungia milango ya kuzidishiwa elimu.

Kinachotakiwa kila unachokisoma kikupe maswali mengi ya udadi, usipuuze wala kutanfungia mlango kwa kua huna jibu lake au hujapata jibu lake fulani, utalipata jibu kwanjia ambazo hukuzitegemea wala kuzifikiria. Huo ni muujiza mmoja wa elimu ya Mwenyezi Mungu uliowekwa wazi ndani ya Qur'an lakini wengi wanaupita hawauoni ingawa upo wazi kabisa.
Simba.
 
Huyu mbona Kama n Arsis🤔
Arsis na Simba wote tunajibu, Arsis alikataa kuwekwa saini yake kwa kufata ushauri wa mmoja wa alieandika humu kua Simba atachanganyikiwa.

Tumefurahi kua wanaoufatilia uzi wanaweza kuiona tofauti ya maandiko.
Simba.
 
Mimi nakushauri, tafuta elimu ili uwinexze iwe na faida kwa wengi, usichoke kusoma mapya, hujui elimu na uelewa unapotokea. Ingawa umetajwa sana kwenye Qur'an lakini huwa nawashangaa maulamaa hawayaoni au mioyo yao haifunguka kuipokea elimu? Maana ukiitilia shaka hata kidogo elimu ya Mwenyezi Mungu ujue unajigfungia milango ya kuzidishiwa elimu.

Kinachotakiwa kila unachokisoma kikupe maswali mengi ya udadi, usipuuze wala kutanfungia mlango kwa kua huna jibu lake au hujapata jibu lake fulani, utalipata jibu kwanjia ambazo hukuzitegemea wala kuzifikiria. Huo ni muujiza mmoja wa elimu ya Mwenyezi Mungu uliowekwa wazi ndani ya Qur'an lakini wengi wanaupita hawauoni ingawa upo wazi kabisa.
Simba.
Ushauri mzuri sana huu.... Ila kuna kitu natamani kufahamu, kuhusu milango ya kiroho
Mzee wangu zamani enz wa uhai wake aliniambia ipo 7 (mlimani, baharini, jalalani, chooni, kwenye kichuguu n.k..... ni muda Sana vingine nimesahau 🤝

Naomba kwanini Arsis anapenda kuwasiliana zaidi sehem ya wazi baharini🤔🤔

Mimi huwa naenda kufanya maombi, uradi, mazungumzo na Mungu... Mlimani sehemu ya wazi usiku watu wakiwa hawapo (imekuwa destur yangu)..... Maajabu na Siri ya hiki kitu ni kubwa kupita maelezo 🤔

Em Kama Kuna logic yoyote kwenye hii mada niloizusha naomba ueleze kidogo watu tupate faida.... Ni kweli Kuna Siri kwenye maeneo hayo?
 
Amani iwe juu yako na wote waanaofatilia uzi huu. Hatupo hapa kwa "battle", tupo tayari kujadiliana na yeyote kwa usalama na amani na kwa faida ya kuelimishina.

Unamuongelea "Kristo" yupi? kwa sababu kwenye biblia kuna Kristo zaidi ya 20 waliotajwa, namba kamili ni 29.

Usichanganye "Ukristo" na "Kristo". utashindwa mjadala mapema.

Waliotajwa kua ni wa kwanza kuwaita hivyo, kwa muibu wa biblia, hawakuwaita wakristo kama ujuavyo au ulivyoaminishwa wewe. Hio ni tafsiri tu ya watu, sio maneno ya Mwenyezi Mungu.

Nipo tayari kujadiliana wakati wowote, ndio maana ya kuruhusu Simba aanzishe uzi unaotujadili na kutuelezea kwa kina, kadiri ya alivyotuelewa.

Karibu sana.
Simba.
Kama unazungumzia waliopakwa mafuta, kweli waweza kuwa wengi, ila Kristo ni mmoja
 
Nina shida ya mgongo nimepatwa na shida ya mgongo na uvimbe kwenye korodani bila sababu, sijapata ajali wala nn, hospital xrays zinabadilika kutokana na maeneo yanayouma muda huo. Imefikia ktk uti wa mgongo unauma kwa sasa siwezi kukimbia hata kuruka hatua moja.

Ninewafikia baadhi ya wataalamu kila mmoja kwa wakati wake wamekuwa na jibu moja yaani watano na jibu ni moja ila hakuna aliyefanikiwa kunisaidia.
Napata maumivu yanayohimilika wakti mwingine hayahimiliki kabisa. Misuli ya mgongoni inauma na pia kusimama imekuwa kazi wakati mwingine hata kukaa! Naomba msaada wanajamii.
nicheki nione namna ya kukusaidia
 
Mwami Atale ndugu yangu kuna kitu nataka kufahamu kimenipa hamu kidogo,umesema huwa unapenda kuomba dua na kuwa na mazungumzo na Mungu kwenye milima huko,kwanza sishangai kuwa huenda kwenye milima.kuna siri fulani,maana hata mussa aliongea na Allah mlima sinai,mtume alikuwa anashinda sana jabar hila huko mlimani wakati anatafuta muongozo toka kwa Allah

Umesema kuna siri nyingi au manufaa ya kufanya maombi huko,kama hutojali waeza shea na sisi baadhi ya mambo
 
Mlima unakusaidia kuonekana kiurahisi.
Kwahyo Mungu wapokei maombi hawapati taabu kukutambua
 
Mkuu Samahan I! Nina changamoto kubwa kulingana na namna ulivyoeleza na majibu ya arsis nimekua interested sana huenda nkapata nusra kupitia kwenu na sheikh bakora

Nina changamoto ya jini ambaye hunifanyisha zinaa ndotoni tangu nikiwa secondary mpaka hivi sasa ingawa nmebahatika kuoa na nina watoto lakini nimewahi kuota naambiwa napendelea familia yangu wakati nina mke na mtoto na mwanamke nisiyemjua ndoton akanionesha na mtoto wa kike na tangu kipindi hicho nmekuwa nasumbuliwa na upingufu wa nguvu za kiume Pamoja na kufanya sana ibada na kufanyiwa ruqya lakini bado hali ipo.

Siku 1 nikaoteshwa kwenda kwa mganga wa kupunga majini kuwa atamaliza tatizo langu nikaenda kweli kwa huyo mganga ajabu kufika anadai ni jini mzuri wa utajir anafanya vitimbi ili nijue yupo na nikubali kula chano!! Nilipouliza chano ni nini akasema kazuiwa asiseme katu ila ninunue mbuzi ili afanye kazi hoyo

Kulingana na maelezo yako ni kuwa chano hufanywa na majini wa kichawi naweza kusadiki hilo kulingana na vitimbi vyake kuanzia kukubbania katika rizki,mahusiano na mambo mengine.

Ombi nimefanyiwa ruqya mara nyingi tu bila mafanikio na yule mganga wa kishirikina anasema siwezi mtoa jini huyo kwakua kanipenda,sio mchafu na ana nguvu kubwa kiasi akitaka utaona kama jini mahaba au umerogwa na yeye adionekane unaweza kunisaidia vipi kwa sheikh bakora kukabiliana nae ili atoke niwe salama mimi na familia yangu kwa vitimbi vyake kwa maana naambiwa atanipa pete nyekundu baada ya chano ingaww sijui maagano yake.
mambo madogo sana hayo. kama unafanya ibada zako bila kukosa. Soma sana sura tatu za mwisho Qur'an, ziwe kama uradi wako.
Anza na hilo utatupa mrejesho.
Simba.
 
mambo madogo sana hayo. kama unafanya ibada zako bila kukosa. Soma sana dura tatu za mwisho Qur'an, ziwe kama uradi wako.
Anza na hilo utatupa mrejesho.
Simba.
Nilichogundua humu, mwenye matatizo ukimwambia afanye ibada umemkimbiza.... Yani watu wanawaamini waganga kuliko hata Mungu🤔

Hii sijui shida ni nini.... Au ni sababu unakuta mtu kaomba muda mrefu bila majubu mpaka kajikatia tamaa🤔
Au sikuhizi Mungu hajibu maombi🤔

Maana wengi tu humu wanamtaka Jini bakora alete mizizi wakigusiwa kufanya ibada wanaona wamenyimwa uponyaji😁
 
Ni muono na uelewa aliokulia nao na muoga wa kufuta ajuayo kwa kujisomea mapya.
simba.
 
Ushauri mzuri sana huu.... Ila kuna kitu natamani kufahamu, kuhusu milango ya kiroho
Mzee wangu zamani enz wa uhai wake aliniambia ipo 7 (mlimani, baharini, jalalani, chooni, kwenye kichuguu n.k..... ni muda Sana vingine nimesahau 🤝

Naomba kwanini Arsis anapenda kuwasiliana zaidi sehem ya wazi baharini🤔🤔

Mimi huwa naenda kufanya maombi, uradi, mazungumzo na Mungu... Mlimani sehemu ya wazi usiku watu wakiwa hawapo (imekuwa destur yangu)..... Maajabu na Siri ya hiki kitu ni kubwa kupita maelezo 🤔

Em Kama Kuna logic yoyote kwenye hii mada niloizusha naomba ueleze kidogo watu tupate faida.... Ni kweli Kuna Siri kwenye maeneo hayo?
Tupe elim hii walau kidogo kama hutojali Kiongozi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom