Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
Binadamu walijiamulia kuwa na miungu yao kutafuta shortcut ambazo hazipo, au zenye madhara.Hio point yako ya "miungu wengine" nimekuelewa, kwa hio Mungu anajua kuna miungu wengine kawaumba yeye au watu tu wamejiamulia kua huyu mungu, yule sio mungu?
Maulamaa wa Kiislam wanatufundisha kua wenye Qur'an tunajifunza kua Firauni wa wakati wa Musa alisema yeye mungu.
Simba.
Nasikia hata huko Kibaha kulikuwa na mganga maarufu akijiita Mungu wa kabili (wa pili)