Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Sasa mwislamu yeyote atakayesoma hapa na kukuelewa ajikite kujifunza Uislamu kwenye Quran, asifanye comparison ya Uislamu na Ukristo ni vitu viwili tofauti sana katika misingi mikuu.

Mafundisho ya Ukristo ndani Biblia kitabu cha mwanzo tu kinasema Mungu alimuumba binadamu kwa mfano wake.

Nadhani wote tunaelewa kiswahili rahisi tu hiki hakihitaji wakalimani, hata ukisoma kwa kiebrania utapata maana hiyohiyo.

Ndio maana tunasema siku zote hakuna dini bora kuliko nyingine kila mtu aheshimu imani ya mwenzake, maana doctrine za Uislamu na Ukristo zinatofautiana from the beggining.

Uislamu Mungu hana mfano.

Ukristo Mungu alimuumba binadamu kwa mfano wake.
Nani aliandika hicho "kitabu cha mwanzo", mfano wake ndiyo kama wewe au yule mzungu mnamwita yesu?
 
Hakuna kabisa. ataekwambia hivyo kakudanganyana.

Qur'an imetaja neno au jina tawrat la hakuna "torati" ndani ya Qur'an. Siyo tu ndani ya Qur'an hakuna torati hata ndani ya bilia hakuna torati.
Huu ni upeo wako FF.

Ngoja tuwaulize wenye ilmu zaidi.

Arsis tusaidie hili ni kweli kwenye kitabu cha Quran hakuna Torati, zaburi na injili?

Simba nifikishie hili swali kwa Arsis
 
Nani aliandika hicho "kitabu cha mwanzo", mfano wake ndiyo kama wewe au yule mzungu mnamwita yesu?
Mimi nafanya mjadala na mtu ambaye anatumia akili na logic, hapa hatupo kwenye mihadhala ya kina mazinge kuleta propaganda za maandiko.

Huenda una Biblia yako siwezi kubishana na wewe, ngoja nimsubiri Arsis atanipa majibu mujarabu wewe wapikie katilesi wajukuu tu.
 
Huu ni upeo wako FF.

Ngoja tuwaulize wenye ilmu zaidi.

Arsis tusaidie hili ni kweli kwenye kitabu cha Quran hakuna Torati, zaburi na injili?

Simba nifikishie hili swali kwa Arsis
Naam, ndiyo upeo wangu, upeo wako unasemaje?

Narudia, hakuna hivyo vitabu ulivyovitaja ndani ya Qur'an, yametajwa hayo majina kama ulivyotaja wewe hapo. Tena injili iliyotajwa ni ya Isa siyo ya Luka wala Nathayo wala Marko wala John wala Paulo.
 
Umeulizwa swali umeshindwa kujibu unarukia "akili na Logic"?

Biblia zipo nyingi kibao, juu hapo kidogo nimeandika, hilo sikupingi, nambie yako unatumia ni ipi tutumie hiyo hiyo moja.

Unauliza biblia ipi na unayo smartphone mkononi? Wewe sema unataka ipi?
 
Naam, ndiyo upeo wangu, upeo wako unasemaje?

Narudia, hakuna hivyo vitabu ulivyovitaja ndani ya Qur'an, yametajwa hayo majina kama ulivyotaja wewe hapo. Tena injili iliyotajwa ni ya Isa siyo ya Luka wala Nathayo wala Marko wala John wala Paulo.
Subiri wenye ilmu zaidi yako waje kukufundisha Quran badala ya kupayukapayuka bila logic.
 
Subiri wenye ilmu zaidi yako waje kukufundisha Quran badala ya kupayukapayuka bila logic.
Wewe huijiuwi? Au huna logic?

Waambie hao unaotegemea akili zao, kwa kua wewe zako ziko livu. Mimi nasema, hakuna Torati kwenye biblia wala Qur'an. Kusanyikeni wewe na wenzako unaowategemea mjibu hilo. Mwenzako mmoja anajiita Dr Matola PhD juu hapo kajibamiza mwenyewe, hana hamu.

Huwa sikisii.
 
Unataka nikujibu Arsis alisema nini kuhusu hilo? Sitaki jazba lakini, ni majibu ya Arsis.

Arsis aliwahi kusema"Yesu mwenyewe kajua siku hizi kua kuna watu wanamuita Yesu". Nikamuuliz kwanini? Akanambia Yesu hajawahi kuitwa hivyo duniani. mama yake Yesu alikua anaongea Kiaramu (Aramaic) na Kimisri. Nilipomuuliza zaidi akanambia "wewe hupendi kusoma. Hizo lugha zote mbili zinafanana sana na Kiarabu cha zamani".
Jina halisi la Yesu ni lipi mkuu. Arsis hakukwambia?!
 
Umeulizwa swali umeshindwa kujibu unarukia "akili na Logic"?

Biblia zipo nyingi kibao, juu hapo kidogo nimeandika, hilo sikupingi, nambie yako unatumia ni ipi tutumie hiyo hiyo moja.

Unauliza biblia ipi na unayo smartphone mkononi? Wewe sema unataka ipi?
FF hio ni kawaida ya mijadala ya JF, watu wanaunganisha mada, lisikustue sana, wewe jibu hoja kwa mtazamo wako, au kama kakutoa nje ya mada na huko alikokupeleka una jibu lake mjibu halafu mrudishe kwenye mada bila kauli za kuudhi. kama hauna jibu mfahamishe tu mada iliopo.

Hapa tupeane elimu kadiri ya uelewa wetu.
Simba.
 
Ilikuwa ni siku chache kabla sijatimiza miaka 18. Nilipelekwa Tanga, kijiji kimoja kipo karibu sana na mpaka wa kwenda Kenya. Kabla ya kuingia huko kijijini ndani kuna ki mji kinaitwa Duga. Ilikua sio mara yangu ya kwanza kupelekwa huko kwa mambo ya kimila na jadi.

Lakini hii ya safari hii ilikua kidogo yakutisha. Kijiji chenyewe kipo ufukweni kabisa na kina mito miwili inapita, mmoja Kaskazini mashariki ya kijiji, huu mkubwa kiasi na mmoja mdogo unapita kusinii ya kijiji. Kwa hio kijiji ni kama kimezungukwa na maji, maana mashariki yake ni bahari ya hindi, Kaskazini mto na kusini mto. Magharibi tu ndio kuna njia ya kwenda mpaka barabara kubwa ya lami, ambayo ipo kama kilomita 3 au 4 kutokea hapo kijijini.

Safari hii ilikua ni nzito kidogo kwa sababu niliambiwa unaweza kukaa kijijini huko wiki moja au mbili, itategemea na "babu" huko ataamua kama mambo yako tayari au bado.

Nilifatana na Baba na Mama yangu kwenye gari la nyumbani mpaka hapo barabara kuu kutokea Tanga, hapo nikakuta vijana wawili wakubwa kwangu, wananingoja na baiskeli mbili, moja ya kunipakia mimi na moja ya kupakia mizigo yangu.

Mizigo yangu kweli ilikua mingi, yangu binafsi lilikua ni begi kubwa na racksack ya mgongoni, lakini kuna maboksi kama matatu makubwa yalikua ya mama akanambia haya yote mkabidhi babu yako mkifika.

Basi tukaagana pale, wao wakanambia ukimaliza kazi yako watakuleta hapa barabarani utapanda gari za kuja Tanga, sisi utatukuta Tanga, tutakuja baada ya wiki mbili, kama utakua umemaliza kabla ya wiki mbili ukifika Tanga tusubiri. Wakaondoka zao, na mimi nikapakiwa kwenye baiskeli kama abiria, na nyingine ikafungashwa ile mizigo yetu yote, ikatangulia.

Hatukuchukua muda sana, tukafika kijijini, moja kwa moja mpaka kwa babu yangu. Babu yangu tunajuana sana, na alikua ni sahiba yangu sana, ni mtu ma story ya kizamani na mimi nilikua mdadisi sana. uzuri wa babu alikua hakwepi swali lolote utalomuuliza na alikua hamumunyi maneno, anakujibu mpaka likuingie. Nilikua namshangaa sana, kwani hakuna swali lilililokua gumu kwake.

Hata niwe na swali, mwenyewe naliona gumu kweli, nikimuuliza babu ananijibu huku ananisifia "swali zuri sana hilo", ananijibu kiurahisi kabisa, mengine huwa anachukua muda kuyajibu, mtindo wake wa kuibu ulikua kama anakusimulia hadithi, anaweza akatoka kabisa nje ya swali ulilomuuliza lakini atakuhadithia mpaka utalipata jibu. Mara nyingi akikujibu basi lazima utakua na maswali mengine mawili matatu ya kuuliza. Kwa ufupi alikua anaelewa kufungua "kichwa" kwa mujibu baba yangu.

Limka za muendelezo zipo chini hapo.

1) Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho
Halotel bundle GB 7 Kwa 7,000/= GB 15 Kwa 15,000/= Malipo baada kuungwa🔐
Nipo CBE-DODOMA
📍Vifurushi vya MWEZI
#0682817246
.
HALOTEL TU.
 
Wengine vichwa vyetu vigumu.
Maana ya usimba nini? Hili neno naona unalitumia tu lakini haujalidadavua vizuri ili watu wazito kuelewa kama Mimi tulielewe.

Ukiteuliwa kua simba tafsiri yake ni nini? Na ili uwe simba kama unavojiita lazima ufanye nini? Na faida zake ni zipi
Lina nyuzi zake hapa JF, nimeachana na mila na tadamuni zao.
Simba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom