Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Mkuu Arsis ndo kusema post yangu hujaiona au umewasilisha swala langu kwa "jini bakora" bado analifanyia tafakuri yakinifu?!!
 
Neno "TAWHEED" lenyewe halipo wazi katika Qur'an bali ni istilahi ya kiufundi inayotumika kuelezea dhana ya umoja na upekee wa ALLAH.
Kilugha, neno "TAWHEED" linatokana na neno la Kiarabu "wahhada," ambalo lina maana ya "kuweka kitu kuwa moja" au "kuunganisha." Kimaana, TAWHEED inarejelea upekee wa Mungu, kwamba Allah ni mmoja, hana mshirika na hana mfano. Hii ni msingi wa imani ya Kiislamu, ikihusisha kuabudu Allah peke yake na kumtambua kwa sifa zake za kipekee.
Kuhusu nani kaanzisha hilo sijui ila ninachofahamu ni kuwa ni somo linafundishwa na rejea zao ni Quran na hadithi kama kuanzisha una maanisha unataka kujua jina la mtu aliyeanzisha hilo sifahamu.
Msingi wa TAWHEED unarejelea katika Quran ambayo kwa ujumla ina dhana kuu tatu ambazo ni TAWHEED, FIQH, na TAREKH ni dhana tatu muhimu katika elimu ya Kiislamu, na kila moja ina umuhimu wake wa kipekee.Baadhi ya aya zinazofungamana na TAWHEED ni Surah Al-Ikhlas (Sura 112)Surah Al-Baqarah (Sura 2), Aya 255, Surah Al-Ankabut (Sura 29), Aya 46.
Lipo, halipo wazi au halipo?

Unataka kusema Allah hajaeleza upweke wake ndani ya Qur'an au wewe binadam unajua sana kuliko Allah?

Hapa ndipo tunasema Waislam tunaacha Qur'an kuzusha mambo yasiokuwepo kwenye Qur'an kama vile Qur'an haijakamilika.

Q 6:115. Na yametimia maneno ya Mola Mlezi wako kwa kweli na uadilifu.Hapana awezaye kuyabadilisha maneno yake. Na Yeye ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua.115
 
kama ulivyokiri hujui, sisi tunakupa ushauri, rejea yako ya mwanzo na ya mwisho iwe Qur'an. Isiwe kwa maneno au elimu walizozibuni binaadam na kupachika pachika maneno yasiokuapo kwenye Qur'an. Elimu nyingi sana zimezushwa tu ili watu wajifanyie maslahi yao na kujilindia maslahi yao, au kisiasa au kiuchumi.

Qur'an ipo wazi kuhusu hayo;

Q 45:6. Hizi Aya za Mwenyezi Mungu tunakusomea kwa haki; basi hadithi gani watakayo iamini baada ya Mwenyezi Mungu na Aya zake?6
7. Ole wake kila mzushi mwenye dhambi!7
8. Anaye sikia Aya za Mwenyezi Mungu akisomewa, kisha anashikiliayale yale aliyo katazwa, na anajivuna, kama kwamba hakuzisikia. Basi mbashirieadhabu chungu!8

Kwa maneno hayo kuna haja ya sisi kuzusha maneno mengine? nashauri tujifunze kufanya "tafsil" ya Qur'an kama inavyotuongoza yenyewe (Fuss'ilat).
Simba.
 
Sijauliza kuhusu "zinafungamana" nimeuliza kuhusu hil neno lipo au halipo?

Tusiifanye Qur'an kua haieleweki kwa fikra zetu tu, soma Suuratul "Fussi'lat" kabla hujajibu.

Una maanisha TAWHEED ni uzushi?
 
Wanaofundisha wanafundisha kwa mujibu wa quran na hadithi Surat ikhilasw mbona ipo wazi kabisa sijajua hoja yako ni neno TAWHEED au yanayofundishwa ndani ya TAWHEED?
 
kama ulivyokiri hujui, sisi tunakupa ushauri, rejea yako ya mwanzo na ya mwisho iwe Qur'an. Isiwe kwa maneno au elimu walizozibuni binaadam na kupachika pachika maneno yasiokuapo kwenye Qur'an. Elimu nyingi sana zimezushwa tu ili watu wajifanyie maslahi yao na kujilindia maslahi yao, au kisiasa au kiuchumi.

Qur'an ipo wazi kuhusu hayo;

Q 45:6. Hizi Aya za Mwenyezi Mungu tunakusomea kwa haki; basi hadithi gani watakayo iamini baada ya Mwenyezi Mungu na Aya zake?6
7. Ole wake kila mzushi mwenye dhambi!7
8. Anaye sikia Aya za Mwenyezi Mungu akisomewa, kisha anashikiliayale yale aliyo katazwa, na anajivuna, kama kwamba hakuzisikia. Basi mbashirieadhabu chungu!8

Kwa maneno hayo kuna haja ya sisi kuzusha maneno mengine? nashauri tujifunze kufanya "tafsil" ya Qur'an kama inavyotuongoza yenyewe (Fuss'ilat).
Simba.
Nashindwa kukupata hoja yako ni nini hasa?
Nimekwambia TAWHEED ni somo unataka kujua aliyeanzisha? Nimekwambia mimi sijui ila nachojua yanayofundishwa ndani ya TAWHEED ni kumtambua ALLAH ni mmoja na wa pekee kwa sifa zake na uwezo wake. Na huu ndio msingi wa uislamu ndio maana mtu anapoukubali uislamu anatamkishwa shahada kimekiri ALLAH kuwa ni Mungu wake na hana mshirika. Sasa ubaya hapo uko wapi? Kinachofundishwa kwenye TAWHEED ni kwa mujibu wa quran yenyewe na hadithi shida iko wapi?
Ni sawa na mwanafunzi wa O level anafundishwa physics kama somo hafundishwi nani kaanzisha physics kwa maana physics kama somo lina topic nyingi atakapo anza kusoma Force ataambiwa habari za Isaack Newton kama founder wa laws of motion the same na TAWHEED mwanafunzi anapofundishwa kuhusu sifa za ALLAH ataambiwa founder wa sifa hizi ni ALLAH mwenyewe na ushahidi ni quran na hadithi.
 
Wanaofundisha wanafundisha kwa mujibu wa quran na hadithi Surat ikhilasw mbona ipo wazi kabisa sijajua hoja yako ni neno TAWHEED au yanayofundishwa ndani ya TAWHEED?
Ndugu yangu lipo neno Tawheed kwenye Qur'an au hakuna?

Hizo sura unazoleta hakuna neno "Tawheed" . nazijua.

Umesoma suratul Fussilat kama nilivyokushauri?
Simba
 
Ndugu yangu lipo neno Tahmeed kwenye Qur'an au hakuna?

Hizo sura unazotaka hakuna neno "Tawheed" . nazijua.

Daah! Nadhani tuishie hapa mkuu kama njia yako ya ku- reason ndio hii basi

Nimeshakujibu hakuna.
Hoja yako ni nini
 
Nashindwa kukupata hoja yako ni nini hasa?
Nimekwambia TAWHEED ni somo unataka kujua aliyeanzisha? Nimekwambia mimi sijui ila nachojua yanayofundishwa ndani ya TAWHEED ni kumtambua ALLAH ni mmoja na wa pekee kwa sifa zake na uwezo wake. Na huu ndio msingi wa uislamu ndio maana mtu anapoukubali uislamu anatamkishwa shahada kimekiri ALLAH kuwa ni Mungu wake na hana mshirika. Sasa ubaya hapo uko wapi? Kinachofundishwa kwenye TAWHEED ni kwa mujibu wa quran yenyewe na hadithi shida iko wapi?
Ni sawa na mwanafunzi wa O level anafundishwa physics kama somo hafundishwi nani kaanzisha physics kwa maana physics kama somo lina topic nyingi atakapo anza kusoma Force ataambiwa habari za Isaack Newton kama founder wa laws of motion the same na TAWHEED mwanafunzi anapofundishwa kuhusu sifa za ALLAH ataambiwa founder wa sifa hizi ni ALLAH mwenyewe na ushahidi ni quran na hadithi.
Unataka kusema Allah hajajieleza vizuri kwenye Qur'an mpaka wewe uzushe somo jipya?
Masomo tunayotakiwa tujifundishe kwa mujibu wa Qur'an unayaju lakini au mradi tubishane gtu.

Nafahamu kuna mwanafalsafa amesema "The illiterate of the 21st century will not be those who cannot read and write but those who cannot learn, unlearn and relearn." - Alvin Toffler.

"Wasiojua kusoma na kuandika wa karne ya 21 hawatakuwa wale ambao hawawezi kusoma na kuandika, bali wale ambao hawawezi kujifunza, wasiojifunza na kujifunza tena." - Alvin Toffler. Je, unakubaliana au haukubaliani na hilo.?

Wanaukumbi, kuanzia sasa hatutasaini anaejibu zaidi ya Simba tu. Anaejibu maswali ni Simba tu. Mada zinaweza kuanzishwa na Simba au Arsis, hilo mwqwanzoni atasaini alieanzisha. kama ni Simba au Arsis.

Kuna mtu alitoa ushauri jana kua Simba atachanganyikiwa. Mimi nahisi tunawachanganya wasomaji. Kwa hio anaejibu ni Simba tu na hatosema jibu kalitoa kwa nani kati yetu.
Simba.
 
Daah! Nadhani tuishie hapa mkuu kama njia yako ya ku- reason ndio hii basi

Nimeshakujibu hakuna.
Hoja yako ni nini
Sio njia ya ku "reason" hio ni njia yangu kufundisha ulivyopotoshwa, kama ninavyowafundisha kuhusu Adam na nilisema kuna mengi sana, mojawapo hilo.

Kwanini unaanzisha mada halafu ikiwa challenged unaikimbia?. Sasa hapa ndio kwenye Akida, sio ile mada ya Adam, ile sio Akida.
Simba.
 
Daah! Nadhani tuishie hapa mkuu kama njia yako ya ku- reason ndio hii basi

Nimeshakujibu hakuna.
Hoja yako ni nini
kama unakiri hakuna, kwanini haufundishi yaliomo kwenye Qur'an? Unajua elimu za kufundisha ni zipi, ziliomo kwenye Qur'an?

Nakuhahakishia hutayamaliza kabla hujabuni mapya yasiokuwamo.
Simba.
 
Nashindwa kukupata hoja yako ni nini hasa?
Nimekwambia TAWHEED ni somo unataka kujua aliyeanzisha? Nimekwambia mimi sijui ila nachojua yanayofundishwa ndani ya TAWHEED ni kumtambua ALLAH ni mmoja na wa pekee kwa sifa zake na uwezo wake. Na huu ndio msingi wa uislamu ndio maana mtu anapoukubali uislamu anatamkishwa shahada kimekiri ALLAH kuwa ni Mungu wake na hana mshirika. Sasa ubaya hapo uko wapi? Kinachofundishwa kwenye TAWHEED ni kwa mujibu wa quran yenyewe na hadithi shida iko wapi?
Ni sawa na mwanafunzi wa O level anafundishwa physics kama somo hafundishwi nani kaanzisha physics kwa maana physics kama somo lina topic nyingi atakapo anza kusoma Force ataambiwa habari za Isaack Newton kama founder wa laws of motion the same na TAWHEED mwanafunzi anapofundishwa kuhusu sifa za ALLAH ataambiwa founder wa sifa hizi ni ALLAH mwenyewe na ushahidi ni quran na hadithi.
hayo ya physics ni yako, hapa tunaongelea elimu ya Kiislam, ambayo ndani yake ina yote hayo mengine. Ni mama wa elimu zote. Furqan.
Simba.
 
Nashindwa kukupata hoja yako ni nini hasa?
Nimekwambia TAWHEED ni somo unataka kujua aliyeanzisha? Nimekwambia mimi sijui ila nachojua yanayofundishwa ndani ya TAWHEED ni kumtambua ALLAH ni mmoja na wa pekee kwa sifa zake na uwezo wake. Na huu ndio msingi wa uislamu ndio maana mtu anapoukubali uislamu anatamkishwa shahada kimekiri ALLAH kuwa ni Mungu wake na hana mshirika. Sasa ubaya hapo uko wapi? Kinachofundishwa kwenye TAWHEED ni kwa mujibu wa quran yenyewe na hadithi shida iko wapi?
Ni sawa na mwanafunzi wa O level anafundishwa physics kama somo hafundishwi nani kaanzisha physics kwa maana physics kama somo lina topic nyingi atakapo anza kusoma Force ataambiwa habari za Isaack Newton kama founder wa laws of motion the same na TAWHEED mwanafunzi anapofundishwa kuhusu sifa za ALLAH ataambiwa founder wa sifa hizi ni ALLAH mwenyewe na ushahidi ni quran na hadithi.
Allah hadithi zake zipo ndani ya Qur'an, za nje ya Qur'an sio zake. Usisahau.

Unajua Qur'an ina hadithi na visa zaidi ya 60% ndani yake?

usiwe na jazaba ukaanza kuchanganya mada. Mada ulioianzisha wewe ni tawheed.
Simba.
 
Una maanisha TAWHEED ni uzushi?
Halipo kwenye Qur'an. Hapo ni kama unasema nikwambie Adam sio mtu wa kwanza kuumbwa duniani, wakati hajasemwa kwenye Qur'an kua ni mtu wa kwanza kuumbwa.

Tawheed ni nini zaidi ya uzushi, ni ubunifu wa watu tu. Hata maana ya hilo neno amabalo halipo kwenye Qur'an umedanganywa. Maana ya yawheed nijuavyo mimi ni kukusanya vitu kiwe kimoja, kama mzigo wa kuni, una kuni nyingi zikikusanywa, zinaitwa kuni vile vile., lakini kuna msonobari humohumo, kuna mwenbe, kuna mkorosho.

Sasa nyie mmekusanya nini kuifanya iwe Tawheed?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom