Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Sawa boss

Mimi sio "boss" wako au wa mwengoine yoyote.

Kama ni Muislam unatakiwa uishi Kiislam kila pumzi yako. Mnaletewa majina na lebo hizo ambazo hata maana yake hamzijui mnajisemea tu. Hamuisomi Qur'an?

Q 49:11. Enyi mlio amini! Wanaume wasiwadharau wanaume wenzao, wala wanawakewasiwadharau wanawake wenzao. Huenda hao wakawa bora kuliko wao. Wala msivunjianehishima, wala msiitane kwa majina ya kejeli. Ni uovu kutumia jina bayabaada ya kwisha amini. Na wasio tubu, hao ndio wenye kudhulumu.11
Simba.
 
Nimeweka siti naifuatilia

Sikusomi humu siku hizi. Waelimishe Waislam na wewe wakuelimishe:

Q 3:64. Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lilio sawa bainayetu na nyinyi: Ya kwamba tusimuabudu yeyote ila Mwenyezi Mungu, wala tusimshirikishena chochote; wala tusifanyane sisi kwa sisi kuwa Waola Walezi badala yaMwenyezi Mungu. Na wakigeuka basi semeni: Shuhudi- eni ya kwamba sisi niWaislamu.64
Simba.
 
Kingine ni kuwa, Ili kuelewa zaidi juu ya swali lako ni vema kuanza kujifunza kuwa kwa mujibu wa quran majini ni viumbe gani na kwanini wameumbwa? Ukishayajua haya kwa mujibu wa quran ni rahisi kuelewa majibu nitakayokupa ila bila kuelewa haya ata nikikuambbia ndio inafaa nitakuacha na maswali zaidi au nikikuambia haifai bado utabaki na maswali mengi zaidi au nikikuambia maulamaa wametofautiana hapo ndio nitakuchanganya zaidi.
Sasa bwana Battor Tutaanza na Majini ni viumbe gani kwa mujibu wa quran na kwanini wameumbwa.
Nitakuwa na kuelezea kidogokidogo kwa kuendeleza mada katika hii reply na katika kila muendelezo nita kutag ili uone kwa urahisi. Natumai uta enjoy majibu ya Quran na hadithi za bwana Mtume muhammad (swalallah alaiy wasalam), Kuna mambo mengi sana utajifunza, This is more than interesting !, KARIBU.
Hao unaosema "Maulamaa wamehitilaiana" kwenye Qur'an? Tafsiri Ya Qur'an au kwenye Hadith? Au mitazamo yao binafsi tu?

Wewe mjibu kwa mujibu wa unavyoelewa wewe. Sio "ulamaa". Kama huelewi sema "sielewi".
Simba.
 
Mimi sio "boss" wako au wa mwengoine yoyote.

Kama ni Muislam unatakiwa uishi Kiislam kila pumzi yako. Mnaletewa majina na lebo hizo ambazo hata maana yake hamzijui mnajisemea tu. Hamuisomi Qur'an?

Q 49:11. Enyi mlio amini! Wanaume wasiwadharau wanaume wenzao, wala wanawakewasiwadharau wanawake wenzao. Huenda hao wakawa bora kuliko wao. Wala msivunjianehishima, wala msiitane kwa majina ya kejeli. Ni uovu kutumia jina bayabaada ya kwisha amini. Na wasio tubu, hao ndio wenye kudhulumu.11
Simba.
Boss
Ndio maana nilikushauri andika visa na hiyo mada,,unapenda kupoteza mda kwa mambo hata yasiyo na msingi au arsis kachemka
 
Hamna story hapa alishapoteza dira kitambo
Na Arsis Mwenyewe wala hata si kiumbe smart upstairs kama alivyokua potrayed before. Very average. For sure human are superior than all
sasa hiuvi kuna story mbili kwa pamoja, kuna vionjo vya Arsis anaandika Simba na kuna kisa cha Adam anakifundisha Arsis.

Kisa cha Adam ni 'highly academic" kama umepoteza dira ya "learning mind" kipite tu.
Simba.
 
Vionjo vya Arsis 5 - 2

nilivyokutanishwa na majini ya Kingazija (Comoros) na Kipemba Kojani.

Babu yangu alikua akitaka lake liwe basi hakatishwiu tamaa na "challenges", mwenyewe alikua akiita "viunzi", alikua mara kwa mara anakumbusha, h"akuna jema lisilokua na viunzi lazima ujue kuviruka, ukiona kimekushinda kukiruka, rudi nyma kitazame vizuri unaweza kuuona upenyo ambao kwanza haukuuona, au ongeza kasi ukiruke juu zaidi, utapita tu. Hakuna kiunzi kikaishinda nia jema". kwa hio akitaka lake liwe haliachi mpaka liwe. Babu alikua na misemo mingi sana ya kumhamasisha mtu asikate tamaa na awe kwenye ubora.

Siku hya pili asubuhi kabla sijaondoka nyumbani, nilikua naishi nymba ya pili ya wazazi wangu, mlango wangu na wao wa uani ni mmoja. Mzee akanipigia simu asubuhi mapema...
Baba: Simba, leo sichukui gari langu kwenda kazini, twende pamoja, usiache. joo tunywe kahawa.
Mimi; Poa nakuja kama dakika 15.

Nikajitayarisha, kibaraza chake cha kahawa ya asubuhi ni uani kwake, in fact ni kibaraza chetu cha kahawa na kukutana kama famoily kupiga story.

Nikapita uani nikamkuta anapiuga kahawa, yupo tayri kwenda kazini. Tukasalimiana pale nikamkuta na mother na mukuu wake, mwanangu wa pili tena huyo ndio kawa partner wake toka kazaliwa, hata mamake hamuiti mama, anamwita mamangu mama na babangu ndsio babake. Yule wa kwanza kwa mamake, mke wangu, ndio chanda na pete, huyu na bibi yake.

Tukawa tunapoiga kahawa, pale, mzee kimya.
Mimi: Vipi gari yako mbovu?
Baba: hapana kuna kazi kidogo ya babu yako kama itakuepo tugtatoka pamoja, haina haja kuchukua gari nzuri.
Mimi: kazi gani tena?
Baba: Babu yako kasema alishaongea na wewe lakini unaogopa kwenda kuliona daktari la kiunguja, babu yako igtakua kakutafutia mke.
Mimi: Nikacheka, sikumjibu kitu, huku moyoni najisemea, yule babu mkorofi sana, kajua hapa kwa mzee sichomoi.
Baba; Kama upo tayari, twende kazini tusichelewe.
Mimi; Kama dakika kumi hivi nikawajulishe huko kua naondoka, maana wao wanajua nipo hapa kwenye kahawa.
Baba; Hakuna nenoi hata nusu saa tutakusubiri.

Niliporudi nikapiga kikombe kiungine cha kahawa tukaondoka, kimya kimya kwenye gari. Mzee alikua akitoka nyumbani ana dua zake na nyirfadi zake anzisoma kimya kimya, saa nyingine hata ukimsemesha hakujibu. Tunaoisha nae tumemzowea.

Tukapiga kazi kama kawaida, jioni saa 11 akanambia wajulishe yumbani kwako tutachelewa, maana huko nimeambiwa niende baada ya kusali magaharibi, ndio mchumba wa babu yako atakuwepo.
Mimi; Mchumba wa babu tena?
Baba; Babu yakjianavyomsifu huyo, si mchezo.
Mimi; Si uende wewe, mimi sina sababu kwenda.
Baba; Bau yako ansema, imi na wewe tukakae tutazame tu kinachoendelea, tujuane na huyo Sheikh wa Kipemba wa Buguruni, basi. Hatuendi kufanya wala kufanyiwa uganga. Na babu yako akisema hivyo ujue ana maana yake.
Mimi; Babako ananiingiza kwenye uganga wake, mimi staki.
Baba; Babu yako hawezi kukuingiza kitu ambacho kitakua taklifa kwako. Ukiona anakulazimisha sana huko kuna kitu cha maana. Mbona mimi hajanilazimisha kumroithi uganga wake?
Mimi; Ndio nashangaa japo, warithi si watoto au wajukuu?
Baba; Kweli ni watoto, sasa wewe hurothishwi, wewe unapewa. Kama kurithi si mpaka afe? Nani ajuae nani ataondoka kwanza? Hayo mengine muulize babu yako, mimi siyajui, mimi kanambaia twende na wewe huko ukamuone Daktari wa Kiunguja, na mimi nimepata hamu ya kumuona anasema ten ni daktari bingwa wa maradhi ya ngono. Huyoi anafaa kujuana nae.
Mimi: kajuane nae wewe? Ukimjua wewe inatosha.
Baba: kasema twende woite, babu yako ana mambo kuna mabo ambayo hawezi kuongea na mimi, lakini wewe rafiki yako mnajuana. msiniingize mambo yenu. Mjadala uishe. Baada ya magharibi tunaenda. Wacha nifanye kazi zangu. Si unaona simu inaita nimeitoa sauti tu.

Mzee akapokea simu yake akaanza kuongea mambo yake, mimi nikatoka nikaenda gereji kufanya kazi zangu huku nawaza.

...5.3
Simba.

ionjo vya Arsis 5 -3

nilivyokutanishwa na majini ya Kingazija (Comoros) na Kipemba Kojani.

Nikapigapiga zangu, lakini nikawa naona muda hauendi, mimi nimezowea ikiisha alasiri nakua nimeshamaliza kazi zangu naondoka zangu nyumbani.

Baafda ya magharibi tukaondoka na Mzee mpaka Buguruni, tukaingia pale wanapouza mbao, ule mtaa wa mwhiso kabla hujaenda ule wa relini, tukaingia ndani huko, kufika aehemu akakuta kyna kijana kasimama barabarani, njia yenyewe ilikua nyembamba tu, anatusimamisha.
Kijana: Mnaenda kwsa mzee ali?
Baba; Ndio.
Kijana, kwake hapa, akatuonesha nyumba, lakini njoo hapa muegeshe gari, kama nyumba ya tatu kulia hivi kulikua kiwanja kitupu lakini kina uzio, hakijajegwa, akafungua geti tukaingiza gari ndani.
Kijana; wekeni tu hapa, kulikua kuna gari nyingine mule, moja tu. Vile vi pajero vidogo. Moyoni nikajisemea ndio ya hiuyo dokta nini. Tukashuka tukapelekwa ndani kwa mzee Ali.

Hilo ni jina la kweli la Mzee Ali, sio la kubuni, watu wanaokaa mitaa hio watamfahamu, ni zee wa kipemba mfupi hivi ana mwili kidogo, ukimtazama yupo kama King Majuto, na yeye ana vituko vituko lakini naona kwa kua nilijenga picha ya Majuto nilipomuona.

Tukasalimiana pale akasema...

Mzee Ali, nimeambiwa mnakuja mtu na mwanae, lakini mbona naona ni mtu na kakake? Karibuni huku kwanza halafu tutaenda hapo uani.

Akatuingiza kama sitting room.
Mzee Ali, Wewe bwana ndio utakua... na huyu atakua .... Nimeambiwa niwapokee na Sgeikh wa unguja, tunafahamiana miaka mingi sana yule bwana, na hapa kuna binti mmoja alikua anamshughulikia hiuko Unguja lakini akamjulisha kwetu hapa, mndio tunamshughulikia, akanisisitiza siku anakuja na nyie muwepo mjonee wenyewe haya mambo maana kasema watu wa kisasa nyinyi hua mnapinga kila kitu. Sasa ngojeni niende nikamjulishe kuna wageni, anajua lakini si vizuri tukamvamia woite watatu, atakuja kijana kuwaita tukiwa ytyari, sasa hivi kama dakika tano tu, sianzi chochote mpaka muepo, ndio maagizo ya Sheoikh....Yulew bwana akisema kitu najua kuna mshindoi mkubwa. Nisubrini kidogo.

Jinsi anavyoongea nikahisi kaona kaletewa wateja wengine kama Dokta. Kukaa kidogo tukaja kuitwa, tukkaingia, tukakuta wanawake wawili.

Mzee Ali; Huyu binti ni Dokta... atawajulisha zaidi yeye mwenyewe. Na huyu ni mke wangu, maana kazi hizi kama ni mwanamke lazima awepo mkeo au dadako au mamamko, huwezi kubaki na mteja tu. Mashetani wana hatari, akacheka.

Mzee Ali, Dokta, huyu ni... na huyu ni mwanae, au mdohgo wake bwana? SAkacheka.
Baba: Vyovyote tu sawa, lakini zaidi sio vyote hivyo, ni rafiki yangu.

Wote tukacheka pamoja na Dokta.

Baba; Dokta wa wapi?
Dokta: Kwa sasa mimi nipo na NGO moja ya Kimarekani inatwa Columbia inafanya tafiti hapa tanzania na nchi nyingine za Afrika.
Baba: tafiti za kutibu?
Dokta: sio hivyo, sisi tunafanya tafiti ya UKIMWI, tunachukua data hospitali zote, kujua mambo mengi tu, ni kazi kubwa, tunaifanya Tanzania nzima na nchoi nyingi za jirani.
Bava: Sawa nimekuelewa.
Mzee Ali; Dokta hawa wamejulishwa kwangu na Sheikh...kama wewe, lakini hawa sio Waunguja, au waunguja jamani, akacheka.
Baba: haoana sisi ni wa hapahapa Dar lakini tulihamia tu, kwetu ni tanga.
Mzee Ali; Alinambia Sheikh kitu kama hivyo. Katribu ni sana. Sasa tusichelewe muda ukapita wa kazi zetu, kazi zetu zinaenda kwa muda wake, watu wengi hawaelewi hilo.

Akanyanyua sauti kama kuita nje ya mlango wake pale. haya leteni hiuvyo vitu nilivyowakabisdhi hapo nje. Binti mmoja mkubwa tu, akaingia na kiteo kina moto na ubani ule kwenye mfuko akampa Mzee Ali.

Mzee Ali na ile ndoo tupu leteni na ndoo moja ya maji. Na lile fuko langu la dawa.

Wakaleta pale, ikawekwa pmbeni huko ile ndoo tupu na ya maji, na lile fuko. Mzee Ali akasema...
Mee Ali; Dokta soigea hapo elekea huko, jamani huyu Dokta leo yupo kwa dokta wa madokta hapa, leo lilikua zoezi la kumtapisha uchawi aliolishwa. Imekua vizuri na nyie mpo mtajionea wenyewe.

Mzee Ali akatia ubani kwenye moto, kwa wingi tu, moshi ukazagaa maana chumba chenyewe kilikua cha kiasi tu sio kidogo sana wala sio kikuba, hakina kitu ndni isipokua kina zilia zuri tu na saisi tumekaa chini pembeni, tunatazama show.

Aksemasema maneno yake kama Kiarabu hivi, lakini nikajua sio Qur'an hio, kwa siejiua atafikiri inasomwa Qur'a. matra kidogo yule dokta akaanza kama kutingisha kichwa hivi akaanza kunyoosha kidole, ka mee halafu kwangu...

Dokta huku kakaza macho yamekua ya ukali kweli. hawa wanakuja kufanya nini hapa, sio watu wazuri kabisa, mimi kwa unaniita wakati hawa wapo? Ka ukali kabisa.
Mzee Ali: Sisis hatukukuitra wala hatuna haja ya kukuita wewe leo, shughuli yako bado, umejileta mwenyewe. Ondoka zako tu, siku yako ikifika utakuja tu ukipenda usipende.
Dokta: Wewe mdogo sana, huniwezi mimi, wach nende zangu ubki na migeni yako hio

kama akajirusha akalala chini kama nusu dakika akakaa, ni vizuri alikua amevaa skin tight na juu kama dira hivi. Na yule mkewe mzee Ali kavaa hivyo hivyo. Mzee Ali akaendelea na maneno yake.ytule dikta akaanza kuongea, lakini kwa sauti nyingine kabisa sio ya ukali.
Dokta; Unataka nini umeniita?
Mzee Ali: Sema wewe nani?
Dokta: Akataja jina sina haja ya kulitaja.
Mzee Ali umetokea wapi?
Dokta; Mimi natokea njuani> Unapajua njuani wewe?
Mzee Ali: Mko wangapi?
Dokta; Akacheka kwa sauti nzuri tu ya kike, tupo wengi tu, unataka nini?
Mzee Ali' Siku yenu ikifika mtanoma wote, mimi nataka wote mkae pembeni leo tuna kai yetu, msitake tuanze vita isiokua na maana.
Dokta; nani anataka kukaa hapa leo?

Mara kama akajitingisha hivi akaanza y)tena kuongea, kwa sauti ya kiume.
Dokta: Wewe huwezi kitu, huyu sisi tumeshasema zamani bila ada yetu hatutulizani, sisi tunamlinda huyu, hatuna ubaya nae wowote, lakini mbisi kama nini.
Mzee Ali; Mbona mimi nawaita siku zote hamjaja, wanakuja wale walioondoka tu?
Dokta: Tumekuja kwa heshima ya hawa wageni tukwambie wewe na wao wanasikia, sisi hatuna ubaya na huyu na yeye anajua ada yetu, sasa hatupi ada yetu, tunamfanya atupe kwa nguvu akipenda asipende atatupa. Mbaya wenu nyinyi mnaemtafuta huyu hapa tukiondoka anakuja yeye. Kwaherini wacha niondoke.
Mzee Ali; Ngoja kwanza, sema wewe nani? Akataja jina, kwaheti, huyo akachomoka, akaingia mwengine anaongea kwa upole tu lakini kume.
Dokta: Mimi msingenina kuja leo lakini imabidi tu nije.
Mzee Ali: Wewe nani?
Mimi: Sina ubaya na huyu, mimi mtu tu kama wewe.
Mzee Ali; Ndio uongo wa majini huo, mengine yanssingizia wao watu. Unataka nini uko nani?
Dokta" Nipo peke yangu, sihitaji kua na mtu yeyote, haiwahusu niliofata kwa huyu.
Mzee Ali: umefata nini?
Dokta: Wacha niondoke atakwambia mwenyewe huyu anajua, muulize yeye, ananijua sana mimi.

Huyo akachomoka bila kwa heri wala kuaga. Nikahisi sasa Dokta hana jini lililompanda.
Mzee Ali; mmeona kazi hio, huyu Dokta mwili wake upo wazi majini kila namna yanamuingoia, ynagombana yenyewe kwa yenyewe, kutaka kua karibu yake. Hio shida kubwa lakini ina bidi tufanye lililotuleta leo. Leo tuntaka tumtapishe uchawi aliolishwa huyu, na yoyote yule.

Mzea Ali; Dokta hujambo mama?
Dokta; Sijambo.
Mzee Ali: leo nakupa ile ddawa unywe kama nilivyokwambia, ukimnywa ukisikia kichedfu kichefu tapika hapa kwnye hii ndoo tupu, ngoja niisogezew poambeni hii ndoo ya maji, haya ndio yatabatilisha uchawi wpwpte utakaomutapika. Akachukua fuko lake la madawa akaiata pale mlangoni nje, hebu nileteeni chupa za maji safi hap dukani nje.
Simba.
...5.4
 
B

Mkuu, nawezaje kupata msaada wa kutoa nuksi/mikosi/kukataliwa na kuondokana na jini mahaba??
kwanza anza kusali, usiache kusali na usiache kukaa na udhu. Bila kua kwenye mwili msafi , uache uradi wa kumtaja mwenyezi Mungu kunshukuru na Takbor.

Unategemea machafu yataondoka vipi ukiwa wewe mwenyewe mchafu?

Endeleza simba.

Watu wa Buguruni mseme, kuna mganga wa Kipemba hapo anaitwa Mzee Ali?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom