Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Huko ndiko walikotoa tulio, Lidafo, Etugrul Bey, Nourhan na mashehe zao. Kwenye Qur'an hakuna kua Adam ni mtu wa kwanza kuumbwa na hakuna Hawa.

Hawa wanemtoa wapi?.

Arsis kaanza kuwafundisha Qur'an, wanashindwa kumjbu hata salam.

Ustadh anaingia darasani wanafunzi wanachomoka, kiwango cha Arsis cha juu sana. Tena naona anakwenda taratibu sana, anasema wanafunzi wake akienda mbio hawatamuelewa kabisa. Adam na Hawa tu wanashindwa kujibu, wanababaika na kitabu wanacho mbele yao.
Simba.
Kaanza ndio, Binafsi namsoma mpaka sasa bado sijaona hoja ya kumjibu maana ndio kwanza yupo kwenye utangulizi atakapofika kwenye kiini cha hoja utaona maswali mengi hivyo bwana simba tuwe na subra kwakuwa mada yenyewe ni very complex and sensitive ndio maana kaamua mwenyewe twende taratibu basi tuache aeleze anachojua then hoja ndio zitakazo amua usahihi wa madai yake uzuri ni kuwa huu ni mjadala wa wazi mwishoni maji na mafuta lazima yajitenge.
 
Unasubiri nini, mwaga elimu na wewe.
Simba.
Mbona wakati sisi tunaelezea yeye alikuwa kimya? hio ndio heshima ya mijadala mwenzako anapoelezea mwache kisha angalia kama kuna hoja utauliza akimaliza, Mbona kuna maswali mengi tu hajayatolea majibu mfano nilimwekea aya katika quran na biblia pia kuhusu vipi mariam awe mama yake isa na mama yake yahya kama bwana arsis anvyodai ila hajajibu mpka sasa.
Kwakuwa mjadala uliopo mezani ni wa Adamu nadhani acha nayeye aendee kueleza amesema kama mtu hajaelewa asisite kuuliza hivyo ukiona kimya jua mpaka sasa anaeleweka si yupo kwenye mfano wa Mbu? nasubiri ni vipi mfano wa mbu unahusiana na adamu akifika hapo utaona reply zangu mpaka utazichoka.
 
Kiini si anakisema kutwa kucha, kua hajaona kwenye Qur'an kuwa Adam ni mtu wa kwanza kuumbwa.
Akauliza na Hawa mmemota wapi Waislam?

Sasa hivi naona anasomesha, katika utangulizi tu kaanza kusomesha, ile siyo mada kwa mtazamo wangu, ni somo pana sana, na nimesoma akisema hilo ni somo ambalo mwanafunzi anaweza kwenda chuo chochote cha "theology" akachukulia Phd.

Kwa upande wangu sina la kumbishia au kumchallenge kagtika hilo labda alete mengine ambayo hayapo sawa.

Kiini kipi tena na kishamwaga yai na kiini chake kwake karai?
 
Hivi mkuu kwa mujibu wa Quran inaruhusiwa mashirikiano kati ya mtu na jini?
 
Nimefurahi unaanza kupata elimu na kukiri kama hivi "... Ndio quran haijasema kuwa Adam Ni binadamu."

liia hapo na neno "wa kwanza.

Sisi tunaamini kuna adama wengi wametajwa kwwenye Qur'an, sio mmoja, lakini hawakutajwa kama mtu wa kwanza kuumbwa.
Simba.
Kuamini kila mtu anaweza amini, Hoja sio kuamini ni kuthibitisha kile unacho kiamini ndio maana wakristo wanaamini Yesu ni Mungu lakini waislamu hatuamini hivyo sasa inapotokea hoja kama hiyo inabidi kila mtu athibitishe, Hivyo bwana simba thibitisha kuwa kuna adamu wengi.
 
Huko ndiko walikotoa tulio, Lidafo, Etugrul Bey, Nourhan na mashehe zao. Kwenye Qur'an hakuna kua Adam ni mtu wa kwanza kuumbwa na hakuna Hawa.

Hawa wanemtoa wapi?.

Arsis kaanza kuwafundisha Qur'an, wanashindwa kumjbu hata salam.

Ustadh anaingia darasani wanafunzi wanachomoka, kiwango cha Arsis cha juu sana. Tena naona anakwenda taratibu sana, anasema wanafunzi wake akienda mbio hawatamuelewa kabisa. Adam na Hawa tu wanashindwa kujibu, wanababaika na kitabu wanacho mbele yao.
Simba.
Mimi nafuatlia mada aliyo ianzisha arsis,huko mbeleni kama kuna haja ya kutia neno ntafanya hivyo,ngoja kwanza amalize kufundisha
 
Mkuu anzia mwanzo 2:7
“Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.”

Ukija kwenye Mwanzo 1:27
Hapo tunaona mtu tayari alikuwa ameshaumbwa(mwanaume na mwanamke) inform of spirit ila hakuwa katika mwili wala nafsi.

Ndipo akafanyika katika mwili na kupuliziwa pumzi ya uhai.

Huyo mtu akaitwa Adam, sasa ukifuatilia asili ya neno Adam kwa umakini kabisa utaweza kutofautisha kati ya Mtu na binadamu. (Aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu ni mtu).

Hapo biblia imethibitisha mtu wa kwanza kuwepo duniani inform of spirit, soul, body ni Adam. Kama kulikuwa na mtu mwingine siwezi kupinga moja kwa moja lakini ni dhahiri hakuwa katika form ya mwili, nafsi na roho.
Hii imeshiba sana.
Asante
 
Kiini si anakisema kutwa kucha, kua hajaona kwenye Qur'an kuwa Adam ni mtu wa kwanza kuumbwa.
Akauliza na Hawa mmemota wapi Waislam?

Sasa hivi naona anasomesha, katika utangulizi tu kaanza kusomesha, ile siyo mada kwa mtazamo wangu, ni somo pana sana, na nimesoma akisema hilo ni somo ambalo mwanafunzi anaweza kwenda chuo chochote cha "theology" akachukulia Phd.

Kwa upande wangu sina la kumbishia au kumchallenge kagtika hilo labda alete mengine ambayo hayapo sawa.

Kiini kipi tena na kishamwaga yai na kiini chake kwake karai?
Ninaposema kiini namaanisha yeye aanze kutoa hoja mbadala mfano anasema adamu sio binadamu wa kwanza, Hoja mbadala hapa zinaweza kuwa adamu sio wa kwanza wa kwanza ni nani ? katajwa wapi? kwa ushahidi upi ? Adamu sio wa kwanza ni wa ngapi? Imetajwa wapi ? Adamu haijatumika kuonyesha binadamu bali cheo kwa ushahidi upi ? umeandikwa wapi? Hicho Ndio hicho kiini ninachosubiri kutoka kwa Arsis.
Tuje kwenye swala la Adamu katolewa wapi, Nadhani hapa kuna hoja mfu bwana simba anailazimisha ionekane ni hoja ya maana lakini kitaalamu sio hoja yenye nguvu, Hoja yenyewe ni ''wapi adamu katajwa kwenye quran kama binadamu wa kwanza?''
Hilo alishajibiwa mbona, Ngoja nirudie maelezo yangu nilimwambia hakuna aya ya moja kwa moja iliyotaja Adamu ni binadamu wa kwanza aya iyo haipo ila kuna aya ambazo zimebeba dondoo zinazoonyesha kuwa Adamu ni binadamu wa kwanza na nikamuwekea dondoo hizo, Kama vile ambavyo hakuna aya inayosema Adamu sio binadamu wa kwanza ama ipo? kama kuna ya inasema ''adamu sio binadamu wa kwanza naomba niwekewe'', Hivyo anachokifanya bwana Arsis ni kutoa aya ambazo zinatupa dondoo kuonyesha kuwa adamu sio binamu wa kwanza, Nadhani nimeeleweka.
Nimalize kwa kusema kuwa sisi waislamu tumeachiwa na Bwana Mtume Muhammad Quran na Sunnah kama Muongozo, Katika Sunnah ndio tunakuta hadithi mbalimbali ambayo ikiwa mambo yanatifautiana katika hadithi basi tutaangalia ijtimai yamaulamaaa inasemaje, Sasa katika fani ya Tarekhe wanazuoni wakubwa wamefasiri kuwa binadamu wa kwanza ni Adamu, Miongoni mwa wasomi wakubwa waliofasiri quran katika Uislamu ambao wameandika kuhusu Adamu kama binadamu wa kwanza ni Ibn Kathir, al-Tabari, na al-Qurtubi. Vivyo hivyo alishawekewa hadi hadithi humu kuonyesha Adamu ndio Baba wa wanadamu wote zaidi ya hapo ikletwa hoja hapa kwamba ikiwa atakataa hadithi hizi na maelezo ya wanazuoni ni vipi bwana simba anamswalia maiti aliyakuwa quran haijfundisha namna ya kumswalia maiti? Kwakuwa yote haya kayapinga basi ndio nasubiri yeye atakuja na hoja gani juu ya Adamu na kwakuwa mpaka sasa sijona kwenye utangulizi wake majibu ya hayo maswali basi tusubiri aendelee au wewe umeona kwenye utangulizi kuna majibu ya haya maswali niliyouliza?
 
Hivi mkuu kwa mujibu wa Quran inaruhusiwa mashirikiano kati ya mtu na jini?
Swali lako ni katika maswali yenye kuhitaji maelezo na ushahidi wa kina sana, Kiufupi umeuliza swali linalohitaji elimu kubwa na muongozo wa Allah katika kulijibu.
Labda kwakukusaidia unaposema mashirikiano una maanisha mashirikiano yapi?
 
Mkuu anzia mwanzo 2:7
“Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.”

Ukija kwenye Mwanzo 1:27
Hapo tunaona mtu tayari alikuwa ameshaumbwa(mwanaume na mwanamke) inform of spirit ila hakuwa katika mwili wala nafsi.

Ndipo akafanyika katika mwili na kupuliziwa pumzi ya uhai.

Huyo mtu akaitwa Adam, sasa ukifuatilia asili ya neno Adam kwa umakini kabisa utaweza kutofautisha kati ya Mtu na binadamu. (Aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu ni mtu).

Hapo biblia imethibitisha mtu wa kwanza kuwepo duniani inform of spirit, soul, body ni Adam. Kama kulikuwa na mtu mwingine siwezi kupinga moja kwa moja lakini ni dhahiri hakuwa katika form ya mwili, nafsi na roho.
Je huu uumbaji wa kwanza wa mwanzo 1:27 inawezekana hawa watu walioumbwa kwanza mke/mume ndio majini?
 
Mayor Quimby ni dhahiri kuna mambo mengi umeyasikia bila kusoma qur'an na kuielewa au kuijua,nakushauri acha mambo ya kusikia soma na utajua mengi ambayo yanawafanya wengi wasilimu

Nakupa link za nyuzi zangu niliandika mada ebu pitia upate appetite kwanza,ya kwanza ni kuumbwa kwa ulimwengu kwa mujibu wa biblia na qur'an,lkn qur'an imetoa maelezo ambayo hata sayansi yenu imedhibitisha,kumbuka hayo maneno yalitoka kwa mtu asiyejua kusoma wala kuandika

Inatokea post namba 98.

Haukupita muda nikaingia pangoni kulala. Cha ajabu ni kua, lile pango lilikua kubwa sana, lakini sikuhisi uoga hata kidpogo kulala mule.

Haikupita muda nikapitiwa na usingizi. Kstika kulala kwangu nikaota ndoto ya wazi kabisa. Nikawa kwenye ndoto naisikia ile sauti ya mwenye pete. Ikiniambia wazi ?mimi naitwa Arsis", kuniita si lazima upige kelele kama ulivyofanya leo. Unawe kuniita hata kwa kufikiria gtu, mimi nitafika, kuongea na mimi pia kukiwa na watu sio lazima useme kwa sauti, ukifikiria tu unachotaka kuongea na mimi, nitakujibu. Hii ndio nilikwambia mapema inaitwa "telepathy".

Sijui niite ndoto au mawasiliano ya upande mmoja yakaendelEA; Kuanzia sasa wewe nitakua nakupa ujuzi wa vitu mbali mbali, utavyoweza kufundisha wengine uwafundishe, vile ambavyo huvielewi niulize. Usifiundishe mtu kitu usichokielewa. Kitu kikubwa sana cha kuwafundisha atu ni namna ya kutatua matatizo yao na tiba zao. Kuna tiba utazielewa na kila utayoielewa upo huru na ni lazima ufundishe wengine. Si umeona afanyavyo babu yako? Babu ako hamnyimi mtu dawa na mengi hayafichi. Ukiona hujasikia kitu kutoka kwake elew kua hicho hana ujuzi nacho, huwa anasaidiwa na wengine bila nyinyi kuona au kuelewa. Sasa yote ya babu yako utayapata wewe na zaidi z)sana. Saidia sana binadam wenzako matizo yao. Usibagie tajiri na masikini, wogte ni kitu kimoja. Tatizo la tajiri na tagtizo la masikini halina tofauti. Hakuna utajiri mkubwa zaidi ya afya.

Basi hayo ndio niliweza kuyashika ckear kabisa kwa siku hiyo na sitasahau. Haujapita muda baada ya hio ndoto, nikaamshwa usingizini. Nikaamshwa na wanawake wawili, wakanimsha kwa upole kabisa. Wakajitambulisha majina, yao, huku mimi nikiwa nimekaa pale nilipolala, mmoja akasema sisi ni majini wazuri au wengine wanatuita maruhani. Hatupo hapa kudhuru mtu, tupo hapa kwa ajili wewe umechaguliwa kutatua matatzio ya watu, sisi wote tunafanya kazi chini ya mwenye hio pete ulioibvaa lakini hatuna mamlaka nayo, na sisi tumepoewa pete zetu utatuona sana tukiwa kama binadam, utatujua kwa kuziona pete zetu, pete zetu zinafanana na zina kito chekundu lakini kito chake hakijakooza kama chako na vito vya duara, tu. Zitazame. Wakanionesha vodole vyao. Nikawauliza "mboina siwaoni sura zenu". Mmoja kajibu sisi huwezi kutuona ssura zetu za asili, utatuona kwa sura za kibinadam tutakapoona mitaani huko. Tutakuja kwa sura tofauti z umri tofauti, usitegemee kutuona kwa sura au umbo utakalo lizowea, tunabadilika badilika, ndio kawaida yetu. Lakini pete hazibadiliki, hata tukija na mapambo mengine pete hizi tulizokuonesha zinakuepo na zinabaki hivi hivi kwenye vidole hivi hivi vya pete. Tumekuja kujitambulisha. njoo kidogo tukutenbeze kwenye pango.

Nikaamka nilipokaa, mmoja, aliekua haongei, akatangulia mbele, yule mwengine akawa ubavuni kwangu. Sikuwa na uoga kabisa wla sikuhisi hofu yoyote. Yule akaendelea kunambia. Huyu ni mama angu mzazi, yeye haongei sana. Nikamuuliza sijamsikia kuongea. Yule ambae haongei, akasema, mimi ni mtu mzima sana naitwa... Akanitajia jina lake, akanambia sisi kazi zetu atakueleza mwanangu, yeye ndie utamuona maa kwa mara, mimi nimekuja kujitambulisha tu, nikija utajua nimekuja, Huna haja ya kuniita. Isipokua napenda kukuelewesha kua kuanzia sasa tupo pamoja na wewe. Mweney hizi pete ndio mfalme wetu kwenye ulimwengu usioonekana na kwa ulimwengu wenu wa kibinadam wewe ndio mfalme wetu na enzi yako ni hio pete yako. Sisi hatuwezi kukita kwa jina tutakuita "bwana mkubwa" kuanzia sasa. Babu yako kaanza kukuita bwana mkubwa kunzia mchnga. Babu yako ni mtu anaeheshimika sana katika ulimwengu wetu, kwa ajili ya ukoo wake, ukoo wake usioonekana ni ukoo wa simba, ni wakali sana na wanaogopewa sana. Hakuna simba ambae hana damu ya kifalme kwenye dunia yetu.

Tukafka kwenye kama njia panda hivi ya pango, yule mama akanyamaza, akingia uoande wa kulia, akaanza kuongea mwanae. Huku sasa unakwenda njia ya kwenda kwetu, huku haruhusiwi mtu kuingia bila kukaribishwa. Wewe peke yako unaruhusiwa kuja, ukija na mgeni hawezi kufika huku, ataishia pae njia panda. Hatua chache mbele tiukakuta kama ukumbi mkubwa umepambwa vizuri sana, wakanmbia karibu, ukae, kuna kama makochi lakini ya mito mitupu, mizuri, yiule mtoto akakaa kwanza na mimi nikakaa tunatazamana, mama yake akaaga akasema yeye ndio anaondoka, ana mambo mengi ya kufanya. Nikamwabia "kwageri" akanijibi "kwaheri" akapihga hatu mbili tatu kueleke ndni akapotea sikumuona tena pangoni.

Yule aliebaki akanambia mimi hutohitaji kuniita, wewe utamuita mwenye pete tu akiamua yeye nije utajua uwepo wangu, ikibiudi na mama aje basi utajua uweoo wake. Nimekuleta upajue kwetu, hapa ni mbai sana na unapolala lakini mfalme kaifupoisha sana safari. Kwa leo usiulize chochote, tulikuja kujianbulisha tu kwako, kama una swali lolote utamuuliza mfalme. Nikamwabia "sawa, nimeelewa". Akanamia haya twende nikurudishe, karibu sana wakati wowote ukija hapa chukulia kua umeshakaribishwa, Ukihitaji kuja usisite, tutakuepo. Tukaondoka mpaka pale njia panda akanambia si unajua njia ya kurudia, mimi naishia hapa. Nikamwabia ndio naijua. Tukaagana akaondoka na mimi nikaondoka kurudi.

Ie barudi nasikia sauti kwa ne ya pangi watu wanaongea, na yule kijana wa babu ninae lala nae nikasikia anaongea nje, na sauti ya babu. NIkatoka nje.

Itaendelea.
🙄
 
Hivi mkuu kwa mujibu wa Quran inaruhusiwa mashirikiano kati ya mtu na jini?
Kingine ni kuwa, Ili kuelewa zaidi juu ya swali lako ni vema kuanza kujifunza kuwa kwa mujibu wa quran majini ni viumbe gani na kwanini wameumbwa? Ukishayajua haya kwa mujibu wa quran ni rahisi kuelewa majibu nitakayokupa ila bila kuelewa haya ata nikikuambbia ndio inafaa nitakuacha na maswali zaidi au nikikuambia haifai bado utabaki na maswali mengi zaidi au nikikuambia maulamaa wametofautiana hapo ndio nitakuchanganya zaidi.
Sasa bwana Battor Tutaanza na Majini ni viumbe gani kwa mujibu wa quran na kwanini wameumbwa.
Nitakuwa na kuelezea kidogokidogo kwa kuendeleza mada katika hii reply na katika kila muendelezo nita kutag ili uone kwa urahisi. Natumai uta enjoy majibu ya Quran na hadithi za bwana Mtume muhammad (swalallah alaiy wasalam), Kuna mambo mengi sana utajifunza, This is more than interesting !, KARIBU.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom