- Thread starter
- #2,621
Ndio.Hahaha Du basi hata humu yamo ukiwa mmoja wao.Bana nina swali lingine hivi mtu anaweza kuliona jini asipokuwa na madawa au ndio hivyo anaweza kuliona ila asijue kama ni jini
Simba.
Ndio.Hahaha Du basi hata humu yamo ukiwa mmoja wao.Bana nina swali lingine hivi mtu anaweza kuliona jini asipokuwa na madawa au ndio hivyo anaweza kuliona ila asijue kama ni jini
Post hii; Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa machoNajaribu kuangalia sioni embu nisaidie kunitag kwenye hilo swali
Post namba 2623.Najaribu kuangalia sioni embu nisaidie kunitag kwenye hilo swali
Atakupa elimu kubwa sana ambayo hujawahi hata kuifikiria wala hukuitarajia kama utaipata JF.Asipokujibu hapa asikupotezee mda wenye hekima zetu tunaelewa
Tufuatilie mada ya arsis tuone atatufikisha wapi
Una point lakini labda apate editor maana hana taaluma ya uandishi ameandika kila kitu ambavyo kimsingi angeweza kuskip ajikite kwenye story ambayo watu wana shauku ya kuisikia kuliko kuingiza mpaka alipanda bajaj namba fulani akashuka chalinze akanywa soda and so on.Thanks for this very interesting thread, please do us a favour, compile all episodes into thread starter.
Nimesoma page one nikavutiwa sana, nilipokuta kuna pages 128!, nikaishiwa nguvu!.
Please do the needful. Hii story ukiiweka kwenye kitabu kitakuwa best seller!.
P
Asante nimeona nitalielezea kwa undani zaidiPost namba 2623.
Simba.
Naunga mkono hojaBwana simba nashauri kitu kimoja,ebu kazi yako sasa iwe visa vya arsis na mada yake ya adam tu
achana na kujibu maswali unapoteza mda,nasi tutakuwa na subira kufuatilia mada,akimaliza kama tuna la kuhoji,kuchallenge na kuuliza tutafanya
Tupe elimuASILI YA MAJINI -- 1
Katika mada hii tutaanza kuangalia asili ya hawa viumbe kwa mujibu wa Quran na hadithi.
Majini ni Viumbe walioumbwa na ALLAH, Viumbe hivyo vimeumbwa kwa mwale wa moto kama quran inavyosema katika Sura Al-Hijr (15:27)
وَالْجَانَّ خَلَقْنَاهُ مِن قَبْلُ مِن نَّارِ السَّمُومِ - "And the jinn we created before from smokeless fire"
Tafsiri '' Na majini tuliwaumba kabla kutokana na moto''
Aya hii inaonesha kuwa majini wameumbwa kutokana na moto na hapa nikuelezee kidogo ikiwa majini wameumbwa kutokana na moto na tunajua kuwa moto unatoa joto ambalo ni form of energy ukirudi katika sayansi utaona kuwa Energy can be transform from one form to another kama ilivyo katika law of conversation of energy ilivyo elezwa na Robert mayor mwaka 1842 hivyo basi ikiwa jini kaumbwa na moto na moto unatupa form of energy ambayo ni Thermal energy na energy hii inaweza kubadilika kutoka form moja kwenda nyingine ndio maana Majini wanaweza kubadilika katika namna tofauti.
Lakini pia aya hii inatupa jibu kuwa ndio maana hatuwezi kuwaona majini katika umbo lao kwani wakiwa katika umbo lao wanakuwa kama form of energy ambao huwezi kuwagusa au kuwaona bali unaweza kuhisi uwepo wao kama vile ambavyo huwezi kuligusa joto ila unaweza kujua hapa kuna joto kupitia ngozi yako either utaungua au jasho litakutoka au mfano mwingine huwezi kugusa mwanga ambao tunasema ni light energy ila unaweza kuhisi mwanga kwa giza kuondoka au mwangaza kuongezeka.
Sasa swali linakuja ikiwa hatuwezi kuwagusa au kuwaona vipi baadhi ya watu wanasema mameona majini au wametokew na majini? Hapa jibu ni kuwa wamewaona katika umbo ambalo sio asili yao yaani jini amekuja katika form ya mwanadamu au mnyama au akajidhihisha kwa sauti tu.
Tuje katika hadithi Je hadithi za bwana mtume zinasemaje juu ya asili ya viumbe hivi. Nitarudi kuhusu hadithi za mtume
Kwa ulivyoelezea nimekuelewa hadi sasa sijapata swali bado.Nitaendelea inshaallah, Nilibanwa kidogo na kazi kama kuna jambo hujaelewa uliza mkuu kadri nitakavyokuwa naendelea utaona swali lako linaanza pata majibu.
Lengo langu nataka uelewe sio kukupa majibu ya shortcut.
Nimekusoma, hujajibu maswali.Bwana simba nashauri kitu kimoja,ebu kazi yako sasa iwe visa vya arsis na mada yake ya adam tu
achana na kujibu maswali unapoteza mda,nasi tutakuwa na subira kufuatilia mada,akimaliza kama tuna la kuhoji,kuchallenge na kuuliza tutafanya
Unaona wivu?Mshangazi umeukubali mziki wa Arsis mimi ni nani nipinge?
Binafsi naona suala la Majinni linaenda sambamba na suala la Adam.ASILI YA MAJINI -- 1
Katika mada hii tutaanza kuangalia asili ya hawa viumbe kwa mujibu wa Quran na hadithi.
Majini ni Viumbe walioumbwa na ALLAH, Viumbe hivyo vimeumbwa kwa mwale wa moto kama quran inavyosema katika Sura Al-Hijr (15:27)
وَالْجَانَّ خَلَقْنَاهُ مِن قَبْلُ مِن نَّارِ السَّمُومِ - "And the jinn we created before from smokeless fire"
Tafsiri '' Na majini tuliwaumba kabla kutokana na moto''
Aya hii inaonesha kuwa majini wameumbwa kutokana na moto na hapa nikuelezee kidogo ikiwa majini wameumbwa kutokana na moto na tunajua kuwa moto unatoa joto ambalo ni form of energy ukirudi katika sayansi utaona kuwa Energy can be transform from one form to another kama ilivyo katika law of conversation of energy ilivyo elezwa na Robert mayor mwaka 1842 hivyo basi ikiwa jini kaumbwa na moto na moto unatupa form of energy ambayo ni Thermal energy na energy hii inaweza kubadilika kutoka form moja kwenda nyingine ndio maana Majini wanaweza kubadilika katika namna tofauti.
Lakini pia aya hii inatupa jibu kuwa ndio maana hatuwezi kuwaona majini katika umbo lao kwani wakiwa katika umbo lao wanakuwa kama form of energy ambao huwezi kuwagusa au kuwaona bali unaweza kuhisi uwepo wao kama vile ambavyo huwezi kuligusa joto ila unaweza kujua hapa kuna joto kupitia ngozi yako either utaungua au jasho litakutoka au mfano mwingine huwezi kugusa mwanga ambao tunasema ni light energy ila unaweza kuhisi mwanga kwa giza kuondoka au mwangaza kuongezeka.
Sasa swali linakuja ikiwa hatuwezi kuwagusa au kuwaona vipi baadhi ya watu wanasema mameona majini au wametokew na majini? Hapa jibu ni kuwa wamewaona katika umbo ambalo sio asili yao yaani jini amekuja katika form ya mwanadamu au mnyama au akajidhihisha kwa sauti tu.
Tuje katika hadithi Je hadithi za bwana mtume zinasemaje juu ya asili ya viumbe hivi. Nitarudi kuhusu hadithi za mtume
Maoni ya Mei 7, 2018Kuamini kila mtu anaweza amini, Hoja sio kuamini ni kuthibitisha kile unacho kiamini ndio maana wakristo wanaamini Yesu ni Mungu lakini waislamu hatuamini hivyo sasa inapotokea hoja kama hiyo inabidi kila mtu athibitishe, Hivyo bwana simba thibitisha kuwa kuna adamu wengi.
Kinyume na mafundisho ya Kiislam? Mnataka nisijibu maswali yakiulizwa? Au nisichangie mada yoyote mkiianzisha ndani ya mada ziliopo? Au sijawaelewa?Asante nimeona nitalielezea kwa undani zaidi
Naunga mkono hoja
Wazo lako zuri sana. InshaaAllah kifikia hatua ya kuchapa kitabu nitatafuta wataaalmu wa mambo hayo.Una point lakini labda apate editor maana hana taaluma ya uandishi ameandika kila kitu ambavyo kimsingi angeweza kuskio ajikite kwenye story ambayo watu wana shauku ya kuisikia kuliko kuingiza mpaka ulipanda bajaj namba fulani ukashuka chalinze ukanyaa soda and so on.
Katika page 10 story yake ilitosha page 4 tu halafu ndio ndio tuendelee na Q&A.
Hayo maneno yako ungeyaandika ungekua umeta aya za Qur'an zinazoonedha kua mtu wa kwanza kuumbwa ni adam, ningekuelewa. Au ungeleta wanazuoni wako wanasema nini?Mkuu asante kwa kumuelewesha kwa kutumia lugha rahisi nkabisa Mimi nilikuwa nadhani labda lugha ninayotumia ni ngumu ndio maana haelewi.
Bwana Simba kubali kuwa katika historia ya uislamu zunguka utakavyozunguka Adamu katajwa kuwa mwandamu wa kwanza, Kama una hoja za kutaka kuichallenge quran na maneno ya wanazuoni ziweke si vibaya kufanya hivyo lakini ubishi usio na msingi hautasaidia badala ya kujaza server za JF kwa mambo yasiyo namsingi mwambie Arsis aendelee na darsa kwenye swali na hoja za kuchallenge maneno yake ataulizwa.
Ummu Zubian kwa lugha ya Kiarabu inamaanisha Kubwa la Masubiani, kama vile tuasema "ummu Al Quraa" tukimaanisha mkubwa wa majiji.Arsis muulize kuhusu Ummu Subiyan nasikia ana jinsia 2 me na ke na huyu ndo vijana humuota waki baleghe anawafanyisha mapenzi embu bwana Arsis atoe elimu kuhusu hilo.
Waislam mmegawanywa kisiasa ili mtawaliwe na mmegawanyika kweli kweli. Kwanini mna usunni, ushia, na mengine kibao. wenye ushia nako kunagawanyika , kwenye usunni nako kunagawanyika, mmeyatoa wapi hayo kwenye Uislam?Daah! Bro ako yuko vizuri kwakweli nimependa jinsi anavyosisitiza kuwa Sunni wao hawataki kufanya kitu wasicho na uhakika nacho iyo inaonyesha ana elimu juu ya msingi wa Sunni .
Asante sister, Jazakallah khair
Sawa bossNimekusoma, hujajibu maswali.
Binafsi nikiulizwa sio ustaraabu wala tabia njema kutokujibu, hicho unachonifundisha nikifanye sio Uislam unavofundisha.
Wewe kama hauna tabia ya kujibu maswali unapoiulizwa . mimi sina tabia hio.
Allah anatufundisha kuulliza na kujibu, soma Surat AlMuta'affifiin. na sehemu nyingi kwenye Qur'an. Ikiwa Allah mwenye akiombwa anajibu, mimi nani nikatae au wewe nani unifundishe kinyume na Uislam? Kwa kujua au kutokujua.
Tusome Qur'an ndio mwongozo wetu wa kuishi kila siku.
Simba.
Ummu Subian kwa lugha ya Kiarabu inamaanisha Kubwa la Masubiani, kama vile tunasema "ummu Al Quraa" tukimaanisha mkubwa wa majiji. Sio mama wa majiji kama ilivyoandikwa "ummu". Huo ni mfano hai wa ulimi "lisan" "lexicon or locution" anaoifundisha Arsis kuhusu Adam hivi sasa.Arsis muulize kuhusu Ummu Subiyan nasikia ana jinsia 2 me na ke na huyu ndo vijana humuota waki baleghe anawafanyisha mapenzi embu bwana Arsis atoe elimu kuhusu hilo.