Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Inatokea post namba 2179.

Vionjo vya Arsis 4 Kumwokoa Msukule Unguja 6.

Kwa mara ya kwanza nikawepo kwenye kesi ya Majini na Watu.

Akaanza kuongea Kamanda wa kijini, aksema:

Sisi kwa heshima na taadhima kiubwa tunamwachia Simba aendeshe hii mhakama kwa sabau oinahusisha majini na wanadamu na kwa utukufu wa cheo yeye ana cheo kuliko sisi wote hapa. Na ushahidi wa hili ni pete alioivaa. Tunaomba nyoosha mkono juu uuoneshe ushadi wa nilichokisema.

Sauti ya rsis; Nyoosha juu mkono wa pete simba usiogope, tupo salama.

Nikamwabia kwa kichwani, poa, nikanyoosha mkono juu kwa kuelekeza jiwe linapoonekana kwa kuelekea kwao. Ukatoka mwangaza kwenue ile pete kama imepigwa na miale ya jua, ikamulika rangi nyekundu kwa sekunde kadhaa.
Kijan: inatisha simba, shusha tu kono anzisha kikao, mimi siwezi kukuingilia kwa hadhi ulionayo hapa.
Kushusha mkono nikaona majini wote kama wameinamisha vichwa wansikiliz nitasema nini;

Mimi: sikilizeni nawaambia. Makosa yaliotendeka ni makubwa kwa kiwango chpochote kile, namwachia Kija hapa aendeshe hiki kikao kwa niaba yangu, mimi nitakuepo hapa kuhakikisha hadhulumiwi haki yake mtu wala jini.

Nikawa najishangaa nilivyochomoa zigo kubwa lile, kabla sijawaza kitachoendele, Kamanda akaanza...

Kamanda; Kama aliyoamrisha mkuu tunakuomba Kijana usimamie hii kadhia kwa niaba ya Simba.
Kijana; Kadhia imenza! Nimekubali kuendesha hii kashia na nitamuomba mkuu hapa aridhie tuendeshe hii kadhia mimi na Kamanda, kwani kuna binadam namajini wameshirikiana kufanya maovu. Naomba Mkuu Simba uridhie ombi langu.

Mimi: Nimerishia. Kamanda mtaendesha kushirikiana na kijana hapa.

Kamanda Nimerishia mkuu.
Kijana; Kamanda anza wewe kadhjia upade wa majini.

Kamanda: Hii kadhia ni nzito na hukumu yake ni kifo. Haya wale majini wote wasiohusika na hii kesi waondoke. Naomba iwe hivyo kwa binadam vile vile. Kasoro wanaoendesha kikao tu.

Kuna kundi la majini likachomoka pamoja na Jini 2. wakaondoka wakapotea kichakani huko, poakabaki majini wachavhe tu wale wa kichawi na binadam ni wale wachawi tu.

Kamanda: Kosa lenu mnalielwa enyi majini wote miopo hapa? Asielielewa aseme hataraka.

Wakajibu tunaloielewa.

Kamanda: Mnaelewa makosa yenu hukumu yake ni nini? Wakiajibu kw apamoja kifo au atakvyoamua mkuu wa kuendesha kashia hii.
Kamanda; Kwa kua wote mmekiri kposa na wote mnaielewa hukumu. Mimi naamuru kuwaua mara mja itakua hamjalipa adhabu ya kutosha itakua ni kama msamha kwenu hapa duniani. Naamuru mkafungwe na hapo kifungoini kila kosa moja mtafungwa miaka 10 ya kibinadamu na kila anaemaliza kifungo chake atauliwa au itakavyoamuliqa baadae na wafalme. haya wanajeshi mnajuwa cha kufanya njooni muwachukue hawa wakaanzekutumikia adhabu zalo kiuanzia dkika hii.

Mimi nikajionea ajabu, hakuna kuchelewa hakunakuramba remba. Tiuukabaki binadam na wachawi na kamanda tu.

Kamanda, : sasa zamu ya watu kuhukumiwa, haya Kijana, nakuachowa wewe, upande mmpoja tumemaliza.

Kijana; Hili kosa kibinadam vile vile hukumu yake ni kifo. Wale wanaoolewa kosa lao waseme, wote kimya. Nitauliza mara ya pili wale wasioelewa kosa lao waseme. Kuna yule mwanamke alikua kimbele mbele, kujle wakati tunamfungua yule binti, aksema mimi sifahamu kosa langu.
Kijana akasema huyu mchukueni anataka kuichelewesha kshia, akafungwe na majini na aadhibiwe mpaka akiri kosa lake.

Majini ya kijeshi yakaja kama binadam, yakambeba yakaondokja nae.

Kijana; Nyinyi mliokaa kimya nawualiza mara ya mwisho kama hjaajibu tunapitisha asdhabu.
Dereva; Mimi siijui hii kadhia kwanini nimeletwa hapa?.
Kijana; Mchukueni huyu kama yule mwanamke.
Kijana haya; Mliobaki nyinyi wachawi wakubwa hamtaki kiusema?

Wote kimya kabisa.

Kijana; Na hawa wachukueni iwe kama wale wale wa mwanzo.

Wakachukuliwa wachawi wote, hakuna aliesema lolote wala kuguna. Nadhani wote wameelewa kuja mwisho wao wa kua duniani umefika.

Kijan: haya tumemaliza kashia.
Kamanda; Tufanyie dua mkuu, kazi imefanikiwa, sisi turuhusu tuondoke turudi makwetu.
Kijana: Mimi niruhusu pia niondoke lakini naahidi tutawasiliana. Isipokua mimi nitaondoka na nyinyi mpaka alipowachwa binti, kunamaagizo nataka niwape pale nihakaikishe usalama upo lakini nikimaliza nasafiri.

Mimi: Sawa, kadhia imefungwa tuondoke.

Tukaagana na kamanda, akaondoka na majeshi yale yote akjaingia kichakani akapotea. Tukaondoka na gari ile ile iliyotuleta akaendesha yule kijana. Njiani akasema:

Kijana; Hii gari hatuoni mtu, hii gari ya kijini, wewe Mkuu haujaistukia?
Simba: Niliona kitu nikataka kuuliza, lakini n9asikia Arsis ananambia usiulize kitu. Nikaacha kuulizanione mwisho wake.
Kijana; Uliona nini?

Pale juu bububu kuna kile kizuizi cha polisi hatukusimama kabisa na hakuna polisoi alietusimamisha wala kutuuliza na gari ya mbele yetu sijui yuliipita vipi maana sikuona kuikwepa wala kuipita na yenyewe ilikua imesimama. Tumeipita kama haipo.

Kijana; Ulikua mbali na mawazo, toka tulipotoka ndio ilikua hivyo hivyo

Itaendelea
Simba.
Mkuu samahani...

Simulizi imekuwa fupi na kidogo sana kuliko mabishano ya Adam kitu ambacho sio lengo la Uzi huu.

Mafunzo ,simulizi pamoja na vipande vidogo vidogo vya elimu tupewe kuliko kubishana kitu kile kile sijui Adam na Hawa na vitu visivyo na faida.
 
Kuhusu Hawa Allah ameelezea katika surat baqarah Aya ya 35

{ وَقُلۡنَا يَٰٓـَٔادَمُ ٱسۡكُنۡ أَنتَ وَزَوۡجُكَ ٱلۡجَنَّةَ وَكُلَا مِنۡهَا رَغَدًا حَيۡثُ شِئۡتُمَا وَلَا تَقۡرَبَا هَٰذِهِ ٱلشَّجَرَةَ فَتَكُونَا مِنَ ٱلظَّٰلِمِينَ }
[Surah Al-Baqarah: 35]

Ali Muhsin Al-Barwani:
Na tulisema: Ewe Adam! Kaa wewe na mkeo katika Bustani, na kuleni humo maridhawa popote mpendapo, lakini msiukaribie mti huu tu; mkawa katika wale walio dhulumu.

Wewe unaleta uzushi, neno hawa liko wapi hapo kwenye hio aya nilioiwacha?

Barwani neno زَوۡجُكَ kalitafsiri kua ni"mkeo" sifahamu kaitoa wapi lugha hio, lakini naamini Barwani kaingizwa mkenge na watafsiri wa zamani au kaifata biblia kuleta hio tafsiri.

Neno halimaanishi "mkeo, linamaanisha jozi (pair) Kiswahili. Jozi inaweza kua ya yeyote mwengine au ya chohote Kingine.

Hutowezza kujua adam ni nini au nani kwa kusoma aya hio na kukurupuka ukiwa umejaa kichqani na picha ya kua adam ni mtu wa kwanza kuumbwa. Somo la kumfahamu Adam ni nani ni refu na linaka umakini wa hai ya juu na kulirukia kwa maamuzi ya kua brain washed haliataeleweka.

Naahidi kurudi na kulifundika kwa episodes, neno kwa neno ayaa kwa aya ili hata yule mvivu wa kusoma ajue pa kuanzia ni wapi na aelewe anachokisoma.
Itaendelea.
Arsis.
 
Punguza jazaba, elimu haitaki hivyo.

Mimi nani hata niseme hivyo wakati mwenyewe Muumba wetu hajasema kwenye Qur'an yake?

Wewe unaesema adam ni mtu wa kwanza ndio utupe ushahidi umeyatoa wapi hayo mafundisho yako kama Muislam?
Simba.
Tuambie sasa mtu wa kwanza ni nani
 
Tuambie sasa mtu wa kwanza ni nani
Niwaambie kutokea wapi? Qur'an haijasema hivyo, mimi siwezi wala mwingine hawezi kujua zaidi ya Muumba wetu. Kama yeye kamuua asiliseme hilo kwenye Qur'an, mimi ni nani nilipachike humo kwa kulisoma kutokea vyanzo ambavo sio vya Mwenyezi Mungu?

Labda uulize sasa adam anaetajwa kwenye Qur'an ni nini au nani?

Ukisisitiza kua adam ni mtu wa kwanza kuumbwa na Allah, inabidi ulete wqewe ushahidi wa hilo sio mimi, mimi narudia, hakuna hilo kwenye Qur'an. Nikuletee hewa?

Nimeahidi juu hapo kurudi na kufundisha dam kwenye Qur'an ni nini nani, lakini sio kua ni mtu wa kwanza kuumbwa.
Simba.
 
Kuhusu Hawa Allah ameelezea katika surat baqarah Aya ya 35

{ وَقُلۡنَا يَٰٓـَٔادَمُ ٱسۡكُنۡ أَنتَ وَزَوۡجُكَ ٱلۡجَنَّةَ وَكُلَا مِنۡهَا رَغَدًا حَيۡثُ شِئۡتُمَا وَلَا تَقۡرَبَا هَٰذِهِ ٱلشَّجَرَةَ فَتَكُونَا مِنَ ٱلظَّٰلِمِينَ }
[Surah Al-Baqarah: 35]

Ali Muhsin Al-Barwani:
Na tulisema: Ewe Adam! Kaa wewe na mkeo katika Bustani, na kuleni humo maridhawa popote mpendapo, lakini msiukaribie mti huu tu; mkawa katika wale walio dhulumu.

{ فَأَزَلَّهُمَا ٱلشَّيۡطَٰنُ عَنۡهَا فَأَخۡرَجَهُمَا مِمَّا كَانَا فِيهِۖ وَقُلۡنَا ٱهۡبِطُواْ بَعۡضُكُمۡ لِبَعۡضٍ عَدُوّٞۖ وَلَكُمۡ فِي ٱلۡأَرۡضِ مُسۡتَقَرّٞ وَمَتَٰعٌ إِلَىٰ حِينٖ }
[Surah Al-Baqarah: 36]

Ali Muhsin Al-Barwani:
Lakini Shet'ani aliwatelezesha hao wawili na akawatoa katika waliyo kuwamo, na tukasema: Shukeni, nanyi ni maadui nyinyi kwa nyinyi. Katika ardhi yatakuwa makaazi yenu na starehe kwa muda.

Hivo hizi Aya mbili zinaonesha ushahidi wa kuwepo Hawa kwenye Quran hajatajwa dhahiri kwajina lake lakin mfasiri wa Quran mtume Muhammad amemtaja dhahiri kwamajina yake na pia ameenda mbali na kuelezea wasifu wa Adamu jinsi alivokuwa na kadhalika

Lakini pia unapendaga kuja na hoja zakitoto utataka kuuliza swali kwamba wapi katajwa dhahiri kwajina majibu yake ni hivi kwamba kwenye Quran Kuna baadhi ya watu Tena wengi wameongelewa ndani ya Quran lakin haikuwamention majina Yao mojakwamoja hvo usije kuja na hoja ya kitoto kama hyo kutokana

Zamu yako it's your turn tuonyeshe ushahidi kwamba kulikuwa na wanaadamu wengine waliokuwa wameumbwa kabla ya Adam na ulete hoja zenye mashiko sio janja janja

Usiku mwema.
Kwanini umekazania kujua binaadam wa mwanzo wakati Allah kaamua asiliseme hilo kwenye Qur'an?

Ngoja nikupe elimu kidogo ikufungue kifungo cha kishetani ulichungwa ubongo wako.

Atabari alekuja miaka takriban 300 baada ya kundoka mtume Muhammad ndie wwa kwanza kuzusha hilo la adam kua wa kwanza kuumbwa, tena anajichanganya kweli kweli, maana anasingizia kauli za maswahaba ili aonekane anajua.

Huyo Attabari ni mmoja katika watafsiri wa mwanza wa Qur'an, landa uanze kwa kumsomayeye ni nani na alifundisha wapi hayo, kama ni kweli maandiko ya AtTabari au ni wapotoshaji tu waliokuja baadae wametumia jina lake kupotosha. Ukimsoma historia utaelewa kua alikua na kazi nyingi sana za kielimu, kuanzisia hisabati, sayansi na memngi mengoneyo na pia tafsiri ya Qur'an, lakini utagundua yote yanaandikwa inasemekna, kwani yaliwekwa kwenye vitabu baada ya yeye kuondoka d)uniani, nanai sasa waliokua wanayaweka kwenye vitabu? Hilo ni somo lingine kabisa. Sio la leo na halitaki haraka.

Huyo poia ndio mwenye wazo la malaika kuumbwa Jumanne Majini Jumatani na Adam JAlhamisi. Kitu ambacho hakiingik akilini. Hayo majina ya siku niliokutajia yanaweza kua ni Jumatatu, Jumanne, Jimatano inategemea na nani aliekiusanya ya SAttabari.

Ni utata mtupu.

Sisi cha kujiulza kwanini tumfate AtTbari na Qur'an ipo na haina shaka ndani yake?

AtTabari sio jina lake ni alipotokea, huko Tabristan ambayuo sasa ipo au ni Iran. yeye anaitwa Abu jafar Muhamad ibn jarir ibn yazid.

Kama nilivyoahidi, nitarudi kuwapa kidogo nilichojaaliwa kutoka ndani ya Qur'an, hilo nimewapa anagalizo tu, ili muelewe utata ulipoanzia. Mimi nitatumia Qur'an, WQutr'an ndio muongozo wtu (hudan lil mutaqin).

Sitaki kuleta elimu mpoya, naleta elimu alioishusha Allah kwetu, ambayo ni Qur'an. Ikiwa Mtume Muhammad kashushiwa Qur'an kwa miaka mingi na Allah msitegemee nitakuja na post moja au mbili kusomesha, itatakiwe mjikite kwa kutaka kujua na mmwage uchfu mliojazawa nao vichwani mwenu kwa kutokuisoma kweny-u Qur'an. Kufata watafasiri balay akuifata Qur'an. Inatisha na kusikitisha sana.
Arsis
 
Narudi kuhusu Hawaaaaaa

Naleta ushahidi wa mwisho haf nalala na ww ulete Shahid zako usipoleta ushahidi nitaleta hypothesisi yangu juu ya ajenda yako.
Umepachika jina Allah kwenye Qur'an? nmekuona ulivyojichanganya unasema "Hawa" utampata hapa, unaweka Aya ya Baqara 36 ambayo haijataja jina lolote.

Chunga sana, utaendelea kuishi kwa kujidanganya. Ni moto huo.
Simba.
 
Kuhusu Hawa Allah ameelezea katika surat baqarah Aya ya 35

{ وَقُلۡنَا يَٰٓـَٔادَمُ ٱسۡكُنۡ أَنتَ وَزَوۡجُكَ ٱلۡجَنَّةَ وَكُلَا مِنۡهَا رَغَدًا حَيۡثُ شِئۡتُمَا وَلَا تَقۡرَبَا هَٰذِهِ ٱلشَّجَرَةَ فَتَكُونَا مِنَ ٱلظَّٰلِمِينَ }
[Surah Al-Baqarah: 35]

Ali Muhsin Al-Barwani:
Na tulisema: Ewe Adam! Kaa wewe na mkeo katika Bustani, na kuleni humo maridhawa popote mpendapo, lakini msiukaribie mti huu tu; mkawa katika wale walio dhulumu.

{ فَأَزَلَّهُمَا ٱلشَّيۡطَٰنُ عَنۡهَا فَأَخۡرَجَهُمَا مِمَّا كَانَا فِيهِۖ وَقُلۡنَا ٱهۡبِطُواْ بَعۡضُكُمۡ لِبَعۡضٍ عَدُوّٞۖ وَلَكُمۡ فِي ٱلۡأَرۡضِ مُسۡتَقَرّٞ وَمَتَٰعٌ إِلَىٰ حِينٖ }
[Surah Al-Baqarah: 36]

Ali Muhsin Al-Barwani:
Lakini Shet'ani aliwatelezesha hao wawili na akawatoa katika waliyo kuwamo, na tukasema: Shukeni, nanyi ni maadui nyinyi kwa nyinyi. Katika ardhi yatakuwa makaazi yenu na starehe kwa muda.

Hivo hizi Aya mbili zinaonesha ushahidi wa kuwepo Hawa kwenye Quran hajatajwa dhahiri kwajina lake lakin mfasiri wa Quran mtume Muhammad amemtaja dhahiri kwamajina yake na pia ameenda mbali na kuelezea wasifu wa Adamu jinsi alivokuwa na kadhalika

Lakini pia unapendaga kuja na hoja zakitoto utataka kuuliza swali kwamba wapi katajwa dhahiri kwajina majibu yake ni hivi kwamba kwenye Quran Kuna baadhi ya watu Tena wengi wameongelewa ndani ya Quran lakin haikuwamention majina Yao mojakwamoja hvo usije kuja na hoja ya kitoto kama hyo kutokana

Zamu yako it's your turn tuonyeshe ushahidi kwamba kulikuwa na wanaadamu wengine waliokuwa wameumbwa kabla ya Adam na ulete hoja zenye mashiko sio janja janja

Usiku mwema.
Mke wa kwanza wa Adam ni Lilith siyo Hawa.

Mmeshaambiwa mkipata tatizo muwaulize watu wa kitabu lakini nyinyi hamtaki mnawatumia watu wa kitabu kubishana nao wakati Quran haikukamilika bila kuingiza Torati, zaburi na injili.
 
Ww umetuambia Adam sio binadamu wakwanza tuambie binadamu wakwanza alikuwa Nan na utoe uthibisho kwakupitia Quran au hadithi za mtume usirukeruke
Hapo hawezi toa mkuu, Mimi nimemuuliza sana hayo maswali anakwepa, Na sababu ya kukwepa inajulikana hakuna namna anaweza toa aya ya kuthibitisha nani ni binadamu wa kwanza isifungamane na adamu,
Mimi binafsi namsubiri huyo Arsis aje na majibu maana kapotea kidogo, Simba ndio anajibu ila sasa simba kakiri mara nyingi kuwa yeye Elimu yake ndogo ni madrasa tu na form four kama sijakosea na kanuni ya kielimu mtu anavyokuwa na elimu ndogo anaweza pinga tu jambo kwakuwa elimu yake ipo limited.

Mimi namsubiri Arsis mwenye experience kubwa ya maisha na mwenye elimu kubwa kama simba anavyosema aje ajibu maswali.
Inshort, maswali yamekuwa mengi sana majibu kidogo ni muda wa majibu sasa.
 
Umepachika jina Allah kwenye Qur'an? nmekuona ulivyojichanganya unasema "Hawa" utampata hapa, unaweka Aya ya Baqara 36 ambayo haijataja jina lolote.

Chunga sana, utaendelea kuishi kwa kujidanganya. Ni moto huo.
Simba.
Husomi hadithi za mtume ww

Ww elimu yako ni ndogo
 
Niwaambie kutokea wapi? Qur'an haijasema hivyo, mimi siwezi wala mwingine hawezi kujua zaidi ya Muumba wetu. Kama yeye kamuua asiliseme hilo kwenye Qur'an, mimi ni nani nilipachike humo kwa kulisoma kutokea vyanzo ambavo sio vya Mwenyezi Mungu?

Labda uulize sasa adam anaetajwa kwenye Qur'an ni nini au nani?

Ukisisitiza kua adam ni mtu wa kwanza kuumbwa na Allah, inabidi ulete wqewe ushahidi wa hilo sio mimi, mimi narudia, hakuna hilo kwenye Qur'an. Nikuletee hewa?

Nimeahidi juu hapo kurudi na kufundisha dam kwenye Qur'an ni nini nani, lakini sio kua ni mtu wa kwanza kuumbwa.
Simba.
Quran ni kitabu chenye mtiririko wa hovyo, cha mwanzo kipo mwisho, cha mwisho ndio cha kwanza kwanza, cha kati kipo juuz yani mbele nyuma nyuma mbele hiyo ndip Quran ilivyo na ndio kinachowapa shida Waislamu.

Halafu imagine Quran ni kitabu kimoja tu kinawapa tabu kiasi hiki wakati Biblia ni vitabu 66 na vimapangwa kwenye mtiririko unaoeleweka kuanzia kitabu cha mwanzo mpaka Ufunuo.

Jibu lako Quran kutosema Adam ndio binadamu wa kwanza haina maana Adam si binadamu wa kwanza.

Unapokosa majibu ndani ya Quran soma Biblia utapata majibu na ndio uislamu unawaongoza hivyo muwaulize watu wa kitabu ambao ni Wayahudi na Wakristo.

Adam ndio binadamu wa kwanza aliumbwa kwa udongo na mke wa Lilith aliumbwa kwa udongo akawa na nguvu kumshinda Adam.

My thinking kuna damu ya Lilith inaisumbuwa dunia mpaka leo kuna wanawake wamewatawala wanaume hawana kauli.
 
Hapo hawezi toa mkuu, Mimi nimemuuliza sana hayo maswali anakwepa, Na sababu ya kukwepa inajulikana hakuna namna anaweza toa aya ya kuthibitisha nani ni binadamu wa kwanza isifungamane na adamu,
Mimi binafsi namsubiri huyo Arsis aje na majibu maana kapotea kidogo, Simba ndio anajibu ila sasa simba kakiri mara nyingi kuwa yeye Elimu yake ndogo ni madrasa tu na form four kama sijakosea na kanuni ya kielimu mtu anavyokuwa na elimu ndogo anaweza pinga tu jambo kwakuwa elimu yake ipo limited.

Mimi namsubiri Arsis mwenye experience kubwa ya maisha na mwenye elimu kubwa kama simba anavyosema aje ajibu maswali.
Inshort, maswali yamekuwa mengi sana majibu kidogo ni muda wa majibu sasa.
Kweli kaka huyu jamaa elimu yake ni ndogo sana janja janja Kila swali analoulizwa hajibu chochote anakazi yakusema Hilo jambo la baadae mara Hilo ntafundisha ckunyngn au atakazania Adam umemtoa wap au Hawa umemtoa wap?

Yy Hana ushahidi anaouleta anachokijua nikupotosha watu tu kwakifupi? Hapa hakuna mjadala wakielimu
 
Hamuwezi kuelewana kwa sababu tatizo la waislamu wakikwama hawataki kuchukuwa reference kwenye Biblia wakati Qurani ina Torati, zaburi na injili ndani ya kitabu hicho.

Wakristo wakikwama sehemu wanapaswa kusoma Aphocrypha books.

Watu wengi wanadhani hizi elimu za majini na uchawi Wakristo hawana, zipo ila waliokusanya vitabu pamoja na kupata Biblia moja waliona hatari ya kujumuisha vitabu vyote, wameviondowa lakini vipo kwa matumizi maalum.
 
Hii version ya Lilith imeibukia wapi sasa 🤣
Mapungufu ya Quran hayamtaji Adam kama binadamu wa kwanza, na pungufu lingine halimtaji kwa jina Hawa.

Kuhusu Lilith hili hata Wakristo wengi hawajui kama Adam alikuwa na mke kabla ya Hawa.

Ukisoma Kitabu cha mwanzo kwa utulivu ndio unagunduwa Adam alikuwa na mke kabla ya Hawa, sasa ili usiwe mjinga unaposoma vitabu vya dini tafuta na reference kutoka kwa wanazuoni hasa wa Kiebrania vitu viko wazi tu na hapo utalipata jina la kwanza la mke wa Adam ni Lilith.
 
Akija Arsis atawaelezea kwa kina, hilo mimi aliwahi kunielezea zamani lakini siwezi kuliongea kwa kina.
Simba.
Mkuu kuna uzi wako nimeusoma mahali kuna comment umeziandika, tena hivi karibuni ukizisifia hizo mila zenu za kujamiiana ovyo kama wanyama.

Swali langu kwa bwana arsis, kama yeye ni mcha Mungu aliwezaje kuungamana na mtu mchafu (mwenye matendo ya kishetani). Ama yeye anaziweka kundi lipi zile mila zenu za kujamiiana na wanawake wote wa ukoo.

Tena kwenye ule uzi umefika mbali ukasema kwa binti ambaye hajaolewa na ametimiza miaka 6 na kuendelea “ ni kawaida kwa baba kumpakata binti yake na kumparaza kwa juu juu au kumyonya na ulimi” aiseeee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom