HaoNimejifunza kupitia Qur'an na Massheikh wanaoisomesha Qur'an.
Mashekh na wao wamefundishwa na Nan? Au Quran imefundisha namna ya kuswali? Na hao mashekh wamefundishwa na Nan?Nimejifunza kupitia Qur'an na Massheikh wanaoisomesha Qur'an.
HaoNimejifunza kupitia Qur'an na Massheikh wanaoisomesha Qur'an.
Mashekh na wao wamefundishwa na Nan? Au Quran imefundisha namna ya kuswali? Na hao mashekh wamefundishwa na Nan?Nimejifunza kupitia Qur'an na Massheikh wanaoisomesha Qur'an.
Nambie Adam unaemsema wewe ana miaka mingapi duniani ili nikupe ushahidi wa Kisayansi, kua walikuwepo watu kabla. Allah hajataja kwenye Qur'an.Hahahaha toa asa ata ushahidi kwamba walikuwepo binadamu wengine kabla ya Adam hahahaha hii janja janja hahahahaha
Quran imefundisha Na tafsir nenda kasome tafsir ya ibn kathir kaleta mpaka Hadith ya mtume na maswahaba kama ibn abas wamelielezea HiloNambie Adam unaemsema wewe ana miaka mingapi duniani ili nikupe ushahidi wa Kisayansi, kua walikuwepo watu kabla. Allah hajataja kwenye Qur'an.
Labda unambie Adam ni mtu wa kwanza kwa mafunzo ulioyatoa kwenye biblia kama alivyokiri Etugrul Bey kiaina, hapo nitakukubalia.
Simba.
Miaka ww ndoulete Adam na huo ushahidi wakisayansi ulete usilete janja janja ww toa hyo elimu unayosema ni sadaka acha janja janja usiwapotoshe watuNambie Adam unaemsema wewe ana miaka mingapi duniani ili nikupe ushahidi wa Kisayansi, kua walikuwepo watu kabla. Allah hajataja kwenye Qur'an.
Labda unambie Adam ni mtu wa kwanza kwa mafunzo ulioyatoa kwenye biblia kama alivyokiri Etugrul Bey kiaina, hapo nitakukubalia.
Simba.
Qur'an haijafunza hilo la saa nne, imetufunza vingine. Sasa wewe hujui kama saa nne yuako Tanzania kwa wengine ni saa nyingine? Unafikiri Allah anaweza kuleyta mkangayiko (confusion)? Haiendi hivyo. Vimetajwa vipindi kwenye Qur'an sio saa.Kama hadithi Bora zilizomo kwenye Quran kana kwamba unazipuuza hadithi,, ntakuuliza swali je Quran imekufundisha kwamba adhuhuri utaswali rakaa nne? Umejifunzia wap Hilo kwamba adhuhuri utaswali rakaa 4?
Nahapo ingependeza ungetumia maandiko mana sayansi kubwa imo ndani ya vitabu vyadini kama Quran ko itapendeza ukileta ushahidi kupitia kitabu hchoNambie Adam unaemsema wewe ana miaka mingapi duniani ili nikupe ushahidi wa Kisayansi, kua walikuwepo watu kabla. Allah hajataja kwenye Qur'an.
Labda unambie Adam ni mtu wa kwanza kwa mafunzo ulioyatoa kwenye biblia kama alivyokiri Etugrul Bey kiaina, hapo nitakukubalia.
Simba.
Hahahahaha naomba nicheke kwanza hahahahaha ww ndoulete ushahidi kwamba Adam sio binadamu wakwanza Lete huo ushahidi na elimu siunajinadi unaelimu tupe hyo elimu SasaQur'an haijafunza hilo la saa nne, imetufunza vingine.
Adam kua ni mtu wa kwanzq umemsoma wapi kwenye Qur'an?
Hawa umemtoa wapi?
Hilo la salat, liache kwanza. tumalize hili la Adam na Hawa.
Simba.
Hapo ndipo unapokosea, Qur'an ni kitabu cha "sgns" (ayat) sio science (sayansi). Qur'an inakuhimiza ufanye utafiti na uwaulize wajuzi kwa ayat utazozisoma.Nahapo ingependeza ungetumia maandiko mana sayansi kubwa imo ndani ya vitabu vyadini kama Quran ko itapendeza ukileta ushahidi kupitia kitabu hcho
Nimekuuliza nikuletee hewa na Qur'an haijasema kua Adam ni mtu wa kwanza?Hahahahaha naomba nicheke kwanza hahahahaha ww ndoulete ushahidi kwamba Adam sio binadamu wakwanza Lete huo ushahidi na elimu siunajinadi unaelimu tupe hyo elimu Sasa
Nilete wakatu wewe ndie unaesema adam ni mtu wa kwanzza? Mimi naiwambwi kwenye Qur'an hakuna hili la adam kua ni wa mtu wa kwanza kuumbwa.Miaka ww ndoulete Adam na huo ushahidi wakisayansi ulete usilete janja janja ww toa hyo elimu unayosema ni sadaka acha janja janja usiwapotoshe watu
Allah ndie mwenye kufundsisha, isome surat Rahman mwanzo tu utaliona hilo.Hao
Mashekh na wao wamefundishwa na Nan? Au Quran imefundisha namna ya kuswali? Na hao mashekh wamefundishwa na Nan?
Kuhusu Adam liko wazi surat baqara Aya 30 na ulijenga hoja huko mwanzo huko nyumba kuwa wanaadamu watakuwa waovu watatenda maovu ukauliza kuwa je malaika wanajua ghaibu?Qur'an haijafunza hilo la saa nne, imetufunza vingine.
Adam kua ni mtu wa kwanzq umemsoma wapi kwenye Qur'an?
Hawa umemtoa wapi?
Hilo la salat, liache kwanza. tumalize hili la Adam na Hawa.
Simba.
Hahahahaha nadhani hapa watu wenye akili ndowataona kwamba ww hujui Allah katuletea mtume atufundishe na unataka kujidai unazikataa hadithi za mtume na nakusikiaga unasema unaenda kuswali utaswalije bila hadithi za mtume hadithi ndio imetafsiri Quran acha janja janjaAllah ndie mwenye kufundsisha, isome surat Rahman mwanzo tu utaliona hilo.
Simba.
Allah amekufundisha kuswali,,,,, kwamba adhuhuri kuswali rakaa 4 na magharib uswali rakaa 3 ,,,,Quran imefundisha kwamba swala zingine imamu aswalishe kimya kimya na nyingine asome kwasauti embu tuambie umejifunzia wap hayo na ukienda kuswali unayafata mtume kaitafsiri Quran yote uache hyo janja janja yako ya kupuuza vitu na kupotosha watu humuAllah ndie mwenye kufundsisha, isome surat Rahman mwanzo tu utaliona hilo.
Simba.
Hebu uwe unarejea machapisho yako na kuyahariri kabla hujayarusha kwenye kadamnasi.Inatokea post namba 7.
Haukupita muda mrefu, tumekaa karibu na mlango wa pango kwa ndani. Mlango wa pango ulikua ni mkubwa sana, na chini ulikua ni mchanga mweupe wa pwani, Kulikua na kivuli kizuri na upepo mzuri sana.
Mwanafunzi wa babu alikua ananieleza lile pango, ni refu sana na huko ndani lina kama vyumba vyumba, vingine ukiingia unakutana na sehemu za kwenda chini zaidi.
Wakati tunaendedlea kuppiga story tukasikia, hodi, mara akaingia yule kijana mwengine waliokuja kunipokea na baiskeli. Kabeba kapu akasema haya, jamani chai ya asubuhi, na mimi mgeni wenu, bibi huko kanitoa mbio, anasema nimwahishie chai mumewe, katoka nyumbani bila kula.
Tukala pale tukamaliza, ilikua samaki wa kuchemsha na vipande vya mihogo. Chai ya rangi imekolea viungo na chupa mbili tatu za maji ya kunyea. Tulipomaliza, jamaa akakusanya vyombo, kulikua na samaki na mihogo imebaki, akasema hii mtakula mkisikia nja. Akaondoka. Nikamuita, nimueagize vitu vyangu juu, akasema, huku ndio hairuhusiwi kuja na chochote ambachoi hujaja nacho kwanza, labda akuletee babu mwenyewe. Akaondoka.
Sisi tuka kaa kaa pale kama kiusingizi kizito killinipipitia, ile nastuka, namuona babu kaja na yule kijana wana kapu lingine. Hiyo kama saa tisa mchana. Akasema haya, chakula chenu. Mmelala sana. Sisi tumekuja kama nusu saa hivi, tukasema tusiwaamshe. Wewe bwana mkubwa nafahamu ukilala, ni zile dawa ulizopakwa, zina nguvu sana. Lakini huyu mwingine, inaonesha kala mihogo mingi. Mihogo inaleta usingizi sana, hasa hii ya mbegu ya bibi yako, mwenyewe aniita dawa ya usingizi. Na kweli, imewasaidia watu wengi weye matatizo ya usingizi.
Babu akasema haya, njoo kuna dawa zingine hapa, sisi tunataka kuondoka. Babu akanipa chupa ya mfuta yenye dawa, kama inachenga inachenga. Akanambia hii utajipaka mwili mzima kikisha ingia kiza kabla hujalala. Na mizizi mingine akanambia hii utatafuna tafuna kila unaposikia mdomo mchungu. Mizizi yenyewe ilikua kama ina sukari fulani hivi kwa mbali unapoitafuna tafuna. Ina harufu nzuri sana.
Babu akatuaga, akasema mshatafuta sehemu ya kulala, pango kubwa sana hili, unaweza kulitenbea mpaka joni hujafika mwisho, linaungana na lile la Amb0ni, mkiingia nia zingine mnaweza kufika Mombasa na njia nyingine mnaweza kufika handeni. Lakini nyie tenbeeni tu ndani msijali. Huyo mwenzako mwenyeji kiasi, sema muoga. Na wewe "bwana mkubwa" muoga? Nikamwambia babu mimi si unajia "komancho" akasema "wewe ndio mroithi wangu", najua wewe uoga huna kabisa, wala sina wasi wasi na wewe simba. Wakaondoka zao.
Tukaamka pale tukaanza kuzunguka ndani pangoni, tukaenda tunaingia vinjia vya vyumba vingine, tunatoka, tunaingia kwengine, mradi tupoteze muda tu, hatujauacha mbali mlango tunayona mwangaza, mwangaza ulipoanza kufifia tukarudi. Tukakuta kiza kimeshaanza kuingia. Hakuna jipya, tukala tukakaa tunapoiga story, jamaaa ananipa story za kijijini na watu wanavyopitisha magendo kutokea Kenya, na jindi wanavyopata pesa kuwavusha wati na mizigo. Wanaingiza poesa nyingi sana, kuliko wangakua mjini. Akanambia kesho nitakuonesha tunapicha mizigo tukija nayo. Kuna oango lingine, hilo lkina kamlango jadogo na kamejaa kichaka, huwezi kujua kama kunapango. ndani pakubw sana. Mie nikajipaja dawa yangu baada ya kula nikakusanya michanga kama mtoi , nikajitupa kulala. Mwenzangu nimemwacha macho anapiga story hata simsikii kwa usingizi, sijui alilala saa ngapi.
Itaendelea.
Simba.
Swali la msingi. Ikiwa Allah alimjalia Mohammad karama hiyo ya kuuanzisha uislam, iweje hakumjalia na muujiza wa kujua kusoma na kuandika?Naam Swali zuri, hakukuwa na mtu mmoja aliekiandika kitabu hicho, pia wengine walikihifadhi kwa moyo mioyo Yao.
Na pia ipo ahadi yake Mungu juu ya kukilinda kitabu chake baada ya kwisha kubadilishwa vitabu hapo nyuma, hivyo mambo aliyasimamia yeye mwenyewe Mtume. Na wote katika maswahaba wake ni watu waaminifu mno.