Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Kuhusu Adam liko wazi surat baqara Aya 30 na ulijenga hoja huko mwanzo huko nyumba kuwa wanaadamu watakuwa waovu watatenda maovu ukauliza kuwa je malaika wanajua ghaibu?

Majibu yako yapo hivi malaika waliuliza swala hili sikwaajili ya kupinga amri ya Allah au kwakumuonea wivu mwanaadamu au kwamba walikuwa wakijua ghayb la hasha waliuliza hvo kwaajili yakutaka kujua hikma ya kuumbwa viumbe Hawa na hii ni kwasababu walielewa kutokana na viumbe vilivyotangulia vilivyoishi ardhini kwamba vina sifa ya ufisadi na umwagaji wa damu

Amesema ibn kathir huyu ni mwanawachuoni na maulamaa wakubwa na mfasiri mkubwa wa Quran kwamba kabla ya kuumbwa kwa wanaadamu majini na viumbe wengine wasiokuwa wanaadamu walikuwa wakiishi ardhini na kwamba walikuwa wakifanya ufisadi mkubwa pamoja na umwagaji damu

Ibn Abbas radhiallahu anhu (swahaba wa mtume ambaye wamefasiriwa Quran na mtume) amesema majini waliishi ardhini kabla ya wanaadamu na walikuwa wakifanya ufisadi mkubwa na Allah akawaondoa na kuwaleta binadamu na sisi binadamu ndio makhalifa katika Ardhi zaidi ya majini

Ulikuwa unaleta hoja ooohhh tafsiri imesema khalifa naam sisi binaadam ni makhalifa kwenye Ardhi tukiongozwa na baba yetu Adamu

Haya nimekujibu hoja yako yakwamba Adamu ndio binadamu wakwanza na ww leta ushahidi kwamba Adamu sio binadamu wakwanza

Narudi kuhusu Haswaaaa
Mimi nakufatilia kwa karibu mkuu yaani mpka atutajie kama Adamu sio wa kwanza wa kwanza ni nani? na katajwa wapi mwanzoni sikutaka kumleta huku kwa wafasiri wakubwa na wanazuoni wenye heshima katika dini niliona nitampoteza tu nikataka nitumie logic kumuelewesha ila kwakuwa bado mbishi tutamleta kwa magwiji wa tafsiri sasa mpeleke hivyohivyo.
Alafu anasema iyo aya haisemi Adamu ni binadamu wa kwanza sasa swali kama Adamu sio wa kwanza mbona aliumbwa? maana kama Mungu angemchagua Adamu kutoka kwa watu wengi ambao tayari walikuwepo basi asingeumbwa ingija katika qurani tu tukamchagua adamu basi hapo kidogo hoja yake ingekuwa na mashiko lakini Allah alisema anataka kumfanya khalifa na ndiio Adamu akaumbwa huu ni uthibitisho kuwa yeye ndio wa kwanza kuumbwa katika wanadamu.
Kwakifupi bwana Arsis ni kuwa Adamu sio kiumbe wa kwanza kuumbwa ila ni binadamu wa kwanza kuubwa.
 
Kuna ishu ya kwamba kama Allah alimpa Muhammad ujuzi wa qur'an kwa kwanini hakumpa ujuzi wa kusoma na kùandika?

Kitu ambacho watu wengi hawajui Allah alifanya jambo hilo kwa hekima kubwa sana,kupitisha kauli nzito kwa mtu asiyejua kusoma ili watu wapate kujua muujiza wa maneno yake kuwa kweli yanatoka kwa Allah

Mfano mdogo tu,pamoja watu kujua Muhammad hajui kusoma wala kuandika lkn kuna wapuuzi husema Muhammad kakopi maandiko kutoka katika biblia,hapa ndo unajiuliza je vp kama Muhammad angekuwa msomi ingekuwaje?

Hapa ndio pa kujiuliza Muhammad hakusoma lkn mbona kaleta kauli nzito sana ambazo hata wasomi wengine hawakuyajua hayo walikuja kuyajua baada ya ukuaji mkubwa wa sayansi na tekinolojia.

Mfano tuje katika ukuaji wa kiumbe mwilini kutoka kutungwa kwa mimba mpaka kuwa kiumbe kamili

Vionjo vya Arsis 4 Kumwokoa Msukule Unguja 7.
Inatokea post namba 2331.

Baada ya kurudi tukakaa nje ya nyumba, mimi Kijana na Bakora

Bakora; Wakati wa kutumbua jipu umefika, lakini kama kawaida hatufanyi sisi. aitwe mama yake hapa, na watu wake wa karibu akiwemo mumewe na wagtu wake wa karibu.Tumalizie kazi. Hapa ndio kwenye mbichi na mbivu.

Mimi ; Twendeni tukawaite.
Kijana: Atkwenda Jini1 kishazoeleka mazikoni na hajulikani kabisa kama ni Jini, sijui ana mbinu zipi, hayo mengine mtaulizana wenyewe kwa muda wenu. Isipokua nagfahamu, wakati sisi tupo bububu kulikua na kikao kikubwa huku na wanawake na mamake sasa anajua kila kitu na amesgamuona binti yake.

Sisi twendeni tukale, Mama yake na wengine tutawakuta hapa pamoja na ndugu wengiune na mwenye hii nyumba, tutakuja na wageni kuyamaliza. Simba utajionea watu wanavyoumbuana leo. Na ni lazima iwe hiyo ili kufunga hii kazi.
Sawa; Twendeni.

Tukaondoka kwa miguu, mimi Bakora na Kijana. tukafika mazikoni, mwenyeji watu akatuona,
Mwenyeji; Mmekuja wakati muafaka chakula ndio kinaletwa, njooni tule, njooni mkae na mimi.
Bakora: Poleni sana na msiba?
Mwenyeji; Ndio njia yetu sote, tusikumbushane, ni majonzi makubwa jamani.

Chalkula kikaletwa tukala pale kumaliza ikaja kahawa wakati tumekaa ytunakunywa kahawa. Akaja mtoto kumuita mwenyeji wetu, akatuomba radhi akaingia ndani. Akakaa kama robo saa. kutoka...

Mwenyeji; mambo ya kina mama, hawajiwezi bila sisi, wameniomba twendeni kule kwa dada yake mke wangu, sio mbali na hapa. Kuna kikao cha kifamilia, wanawake wameshatangulia huko, na kuna masheikh wawili, Sheha wa mtaa na majirani mmoja wao na engine ambao hawapatikani kwenye simu wameenda kuitwa, tuwasubiri kidogo wattakaofika mapema tutaenda nao na nyinyi masheih zangu nimeagizwa twendeni wote tusiwawache pekeenu msibani Huyu bwana, huku anaioneshea mimi, nimeambiwa mamake atakua huko pia, na weewe mgeni wake na sheikh wenu, twendeni na mimi na wengine wakishakamilika. Wanafamilia wengine watakua huko, ndugu, jamaa na marafiki, watakuwpo. Utafikiri kuna kikao cha mirathi huko na alietutoka ni binti mdogo.

Mimi; Nikacheka.
Bakora; Shughuli haina dogo hata uwe ni msiba.
Mwenyeji; Kweli Sheikh, si unaona nyinyi mmetoka bara, tumejuana kwa huu msiba.
Kijana; Labda kuna heri huko?
Mwenyeji: Inshallah hakuna zaidi ya heri, naona Sheha kishafika bado hao majirani wawili, aah, wale anakuja pamoja. Hatuna cha kusubiri wengine watakuja hukohuko sio wageni napo.

Wakafika wote tukaenda gtukakaribushwa kwa vilio tulipofika hakuna asielia. Tukawekwa kwenye ukumbi mkubwa,m wanawake wakarudi ndani, tukaa wote, ni ukumbi mkubwa wa kifahari, ukoo huu unaonesha unajwieza.

Tukaongea ongea.

Sheha; Haya waiteni kinamama tuyamalize nimekuja na makaratasi na kalamu, uzoefu umenikumbusha mambo haya lazima awepo katibu na Mwenyekiti.

Kina mama wakaja, wana familia wazee na vijana, wa familia ya baba na mama wa binti, mara kidogo wakaja wanaume wengine wazee na vijana wakatambulishwa kua ni ndugu wa karibu wa wafiwa. Ikawa tumejaa pale.

Sheha; kuna mwengine tunamsubiri au tuanze? Kina mama sasa mufanye subira ya vilio, na kikao kiende salama. msheikh someni dua tuanze. Ikasomwa dua fupi.Kikao kikaanza.

Sheh;, haya jamani hizi kopi nimeleta, hazina makuu, kila moja ijazwe kwa mkono na kila mmoja aandike jina lake uhusiano na marehemu na asaini, tuzikusanye baada ya hapo tutaanza kikao.

Tulipomaliza kujiandikisha majina, wakateuliwa mwenyekiti ambae ni kaka na baba wa marehemu (mwenyeji wetu) na katibu ni kijana moja anaonesha msomi wa kwenye ukoo upoande wa wanaume na Sheha akasema na kina mama mmoja nae achukue maelezo ya kikao, namuona Bi... ana uzoefu wa ukatibu serikalini tena huyo anaandika kwa shorthand na yeye aandike kivyake.
Mwenyeji: kwani kuna urithi jamani?
Sheha; Subiri mwenyekiti akupe ruhusa ya kuongea ingawa wewe ni mzazi, vikao hivi haviendi hivyo. haya mwenyekiti nzisha kikao.
Mwenyekiti; jamani kwanza tunashukuru kuwepo hapa, kikao kianze, maana hata mimi sujui tuongee nini kwani vikao namna hii mara nyingi hua ni vikao vya kuandika alivyoviacha marehemu ,lakini hapa naoina mareehemu kaacha wadogo zake, mama na baba, ndugu jamaa na marafiki, au alikua na mali zake?
Mwenyeji; Anazo laki ni ni guo na vitu vitu vyake na sisi kwa kua ni wazazi tutaamua zifanywe nini baada ya matanga kuisha, hakuna zaidi, labda viherini na vicheni vyake vya dhahabu ndio vya thamani.
Mwenyekiti: Sheha tupe muongozo.
Sheha; kama alivyosema baba mazazi mimi naona yupo sawa, au wajumbe mnasemaje? Kama kuna mwenye ushauri auseme tuendelee.

Wakatazamana hapo. lkini wote kimya.

Mwenyekiti; naona hakuna, sasa alieitisha kikao atueleze alichotuitia tumalizane.
Katibu; Mimi nimeitisha hiki kikao cha dharura, kwa habari zilizozippata leo afajiri baada ya kusali. Nimehakikisha za kweli na ndio nikaitisha kikao kwa ushauri wa Sheoikh nani hii hapo na Huyu DSheikh mgeni, akamuonesha Bakora na Sheikh mmoja maarufu tu anajulikana Unguja katika tuliokuepo.

Katibu: Mimi naomba wahusika wajielezee wenyewe. Huyu bwana hapa ndio muhusika mkuu wa kikaoo hiki, na anafahamu kwanini tupo hapa ingawa ni jirani tu. Akamyooshea kidole afisa mmoja kanona nona hivi.
Afisa akaanza kutaka kubabaika.
Bakora: Shehe ongea tararatibu na kwa ufasaha, wewe sio mgeni na mimi.

Kwa upande wa wanawake nikaona pale yupo Jini 2 lakini hatishi kabisa, kajitanda kama wanawqke wengine tu, kawaida.

Afisa: Jamani yaliotokea yametokea, mimi naanza kwa kuomba msamaha.
Mwenyekiti; Mbona sielewi mnachokiongea, ni mimi tu sielewi au?
Katibu: Huyo md*anajifanya haelewi, afisa nakusihi usitupotezee muda, umesshatupoteea muda wa kutosha, tuna mambo yetu ya kufanya. Anza kuelezea kama ulivyotueleza baada ya alfajiri.

Nikaona Bakora kama kabadilika hivi;
Afisa: jmani binti anaesemekana marehemu, yu mzima hajafa ni mambo ya kichawi tu.

Nikaona watu wengine ganzi, kina mama wakaanza kulizana pale. Tukawapa kama dakaika moja.
Mwenyekiti; makubwa haya.
Sheha; Endelea, na kina mama nyamazeni tuna kazi nyingine za kufanya.
Mwenyekiti kua na kauli.
Sheikkh wa Unguja; Jamani naomba kuongea kidogo. Mimi binafsi nilisitika sana leo baada ya kusali alfajiri nilopitwa kushirikishwa haya mambo. Sikua na taha hata kidogo na nataka kuyaona yanafikia mwisho, maisha yaendelee. baada ya alfajiri tumekuja tukashuhudia binti yu hai, mzima wa afya, na mamake anafahamu na mwenye nyumba hii anafahamu na ndugu wengine waliopo hapa wanafahamu, kasoro baba mzazi tu. kwa hio Afisa haya tunayaweka wazi tu ili maisha yaendelee, huna la kuficha afisa au mwengine yeyote, tuongee kiuwazi na ukweli umeshadhihiri. Au mnasemaje jamani?
Watu wakasema. kweli.
Sheha; labda mimi nimuongoze kwa maswali na atoe majibu, tusipoteze muda.
Mwenyekiti; Sawa, anza Sheha.
Sheha: Jieleze unaitwa nani na unafanya nini, tusipoteze muda.
Afisa; Mimi naitwa... nafanya kazi wizara... ni mkurugenzi mkuu pale wizarani.
Sheha; Nini kinaendelea?
Afisa; Hiki kikao nimeitwa hapa ili yatoke kinywani mwangu.
Sheha; Sema haraka hiki sio kikao cha siasa.
Afisa; Mimi ndie nilipanga kumtorosha binti kwa sababu za kishirikina na tamaa na mvuto wa kishirikina. Binti hatukumuua lakini ndio asingeonekana tena naisha. Ningekua mimi nje ya mji kwa mambo ya kishirikina, kama mke wangu.
Sheha endelea; Tumefanya mazingaombwe kishirikina na wachawi wa chama chetu cha wachawi na wanga. Tuliozika jana ni mgoimba tu, binti yupo na nyote kwa sasa mnaujua ukweli na yuko wapi.
Mwenyeji; Mimi ni mzazi wake na sijui mnachokiongea.
Afisa: Haina haja ya kuficha au kusema uongo, tumeshaumbuka, unayajua yote.

Watu wote tukawa kama tumepigwa ganzi, tukabaki kimyaaa, ytunasikiliza.
Mwenyeji; Wewe eleza yanayokuhusu, ya wengine achana nayo.
Afis; Huyu bwana na mimi tupo chama kimoja lakini huyu binti yake ilikua anajua kua hauliwi ndio akakubali kutupa ushirikiano kwa malipo makubwa tu, ilikua tumpe millioni 100 kidogo kidogo. Asingeweza kukataa kwa sababu alikua anahitaji pesa kwa ajili hya madeni ya nyama na damu za watu anaypodaiwa kwenye chama.

Chama chetu kuna ada ya kila mwanachama, nayo sio pesa wala mali, ni nyama na damu za watu. Huyu anadaiwa, imebidi apate pesa watumwe watu walete damu na nyama alipedeni lake lifutike. Akakubali, tukashirikiana, ameshalipwa millioni hamsini na ameshapeleka kulipa nusu ya deni ndio hii kazi ya binyti ikafanyika, bado hajalipwa nusu, ilikua mimi nimkamilishie ndio na yeye akamilishe, lakini ndio yametokea yaliotokea. Natumai nimejieleza vizuri.
Katibu: bado, sema mngemfanyia nini huyo binti?
Afisa: Huyo binti ilikua tunamuwahi hedhi yake ya kwanza, napewa mimi inachanganywa na kote, na mambo yetu mengine. Inakua nakunywa na kukogea mpaka hedhi ikate, Baada ya hapo mimi nambikiri, damu ya bikira nayo inachanganywa na dawa na shahawa zangu nakunwa na kujipaka mwilini ili kuleta nguvu na mg'aro na kujilindia hadhi yangu na kua na kauli kazini.

Sheha: Tulizana kwana unatutia kinyaa. Haya eleza wewe baba mtu.
Baba; Mimi jamani kama alivyoeleza, naona hapa hakuna pakuchomokea, kweli mimi ni mshirikina lakini sijafikia kwenye uchawi, siujui, mimi naufanya tu ushirikina kwa kuwatumia waganga na wachawi, niliingia hicho chama chao miaka mingi tu katika kujitafutia mali. Ilipofikia ndio kama alivyosema Afisa.
Mwenyekiti akanyanyuka akamzaba kofi kubwa mdogo wake.
Mwenyekiti; Kumbe ni mnyama wewe tunaishi na mnyama kwenye ukoo, wewe ni zaidi ya nyoka..

Sheha; Subiri kaka.
Mwenyekiti; Haya na ue-meaza-anzaje, nani kakakuingiza kwenye ushirikina?
Mwenyeji; Mimi nilienda kmwenye kwa mganga kusafisha nyota, tukaanza masharti madogo madogo, kila miaka inavyokwenda ananambia ukileta damu adimu ndio mambo yako yanazidi kunyooka na nyota inazidi kusafishika. Nilianza na jogoo, nikaja mbizi, nikaja kondoo, nikaja ng'ombe, nikaja ngmia, nikaja mpaka binadam wa kununua, sasa imefikia siwezi kulipa zaidi ya damu ya binadamu na nyama za watu, ikabidi niuze kilicho changu, ilipotokea fursa ndio nikaongea na huyu bwana, mengine yaliofata mnayaelewa.
Mwenyekiti; Sio mkeo alokuingiza kwenye ushirikina?

Mke; Koma kama ulivyolikoma ziwa lala mamako, wachawi wakubwa nyinyi, mie ningekuwemo si ndio ningetajwa kwanza. Mimi nilimkanya siku nyingi mambo yake ya waganga huyo mshenzi, lakini sikujua kafikia kwenye uchawi, nilikua najua ya mbuzi na kondoo. Wewe usijifanya huna habari, mpaka mkeo anayajua nimeshamwambia akueleze nyingi ili umkanye mdogo wako, lakini ulikua unapuuza kwa visenti wanavyokupa. Mmelikoroga sasa mlinywe.
Bakora; Samahani, mimi ni mgeni, yule mama hahusiki na chochote ni mcha Mngu sana, ucha Mungu wake ndio uliopelekea hata huyu binti hakudhurika. Tuendelee na kikao.

Itaendelea
Simba.
 
Hadithi kuonyesha Adam ndobinadamu wakwanza kuumbwa na ndio baba wa binadamu wote na ww leta ushahidi wako kuwa Adam sio binadamu wakwanza kuumbwa
Safii mkuu, Shida ya ndugu yetu anataka akute kabisa Quran imwemwandikia kuwa binadamu wa kwanza ni '.......', mke wa huyo binadamu ni ......., Musa aliambiwa apasue bahari kwa fimbo yake ile fimbo ni kutokanana mti wa......, Nuhu aliambiwa atengeneze safina alitumia miti ya ...... daaah sasa kwa style hii quran siingekuwa ina kurasa zaidi ya milioni.
Alafu anasema mtume aya alizo fasiri hazifiki ishirini, innalillah wainailay rajuun hembu aje atuonyeshe ni wapi quran imefundisha jinsi ya kumswalia maiti, kama hakuna aseme wao huwa hawaswaliagi maiti? kama wanaswaliga wametoa wapi ?
Quran ni kitabu chenye mtiririko wa hovyo, cha mwanzo kipo mwisho, cha mwisho ndio cha kwanza kwanza, cha kati kipo juuz yani mbele nyuma nyuma mbele hiyo ndip Quran ilivyo na ndio kinachowapa shida Waislamu.

Halafu imagine Quran ni kitabu kimoja tu kinawapa tabu kiasi hiki wakati Biblia ni vitabu 66 na vimapangwa kwenye mtiririko unaoeleweka kuanzia kitabu cha mwanzo mpaka Ufunuo.

Jibu lako Quran kutosema Adam ndio binadamu wa kwanza haina maana Adam si binadamu wa kwanza.

Unapokosa majibu ndani ya Quran soma Biblia utapata majibu na ndio uislamu unawaongoza hivyo muwaulize watu wa kitabu ambao ni Wayahudi na Wakristo.

Adam ndio binadamu wa kwanza aliumbwa kwa udongo na mke wa Lilith aliumbwa kwa udongo akawa na nguvu kumshinda Adam.

My thinking kuna damu ya Lilith inaisumbuwa dunia mpaka leo kuna wanawake wamewatawala wanaume hawana kauli.
Tatizo ni mpangilio au uhalisia wa mambo, Mpangilio unaweza pangilia hata wewe kwani hauna akili mpaka upangiliwe mtirriko wa matukio ? tunachotaka ni uhalisia wa mambo vitu ambavyo ukimueleza mtu vina logic hiyo biblia unayoisifu ina mpangilio mzuri yesu ndio aliipangilia au wanadamu? jibu baki nalo alafu mbona nayenyewe tukiisoma ina mkanganyiko mkubwa wa kimaandiko au unafikiri hatuisomi biblia uislamu sio dini iliyomfungia mwanadamu katika kujifunza sisi jambo la kwanza kwetu ni elimu.
hiyo biblia tunaisoma imejaa mkaanganyiko mkubwa tu, Tena katika vitabu vya dini biblia ndio kitabu kinachoongozwa kuchezewa na miokono ya wanaadamu kuanzia matini take mpaka tafsiri yake.
 
Vionjo vya Arsis 4 Kumwokoa Msukule Unguja 7.
Inatokea post namba 2331.

Baada ya kurudi tukakaa nje ya nyumba, mimi Kijana na Bakora

Bakora; Wakati wa kutumbua jipu umefika, lakini kama kawaida hatufanyi sisi. aitwe mama yake hapa, na watu wake wa karibu akiwemo mumewe na wagtu wake wa karibu.Tumalizie kazi. Hapa ndio kwenye mbichi na mbivu.

Mimi ; Twendeni tukawaite.
Kijana: Atkwenda Jini1 kishazoeleka mazikoni na hajulikani kabisa kama ni Jini, sijui ana mbinu zipi, hayo mengine mtaulizana wenyewe kwa muda wenu. Isipokua nagfahamu, wakati sisi tupo bububu kulikua na kikao kikubwa huku na wanawake na mamake sasa anajua kila kitu na amesgamuona binti yake.

Sisi twendeni tukale, Mama yake na wengine tutawakuta hapa pamoja na ndugu wengiune na mwenye hii nyumba, tutakuja na wageni kuyamaliza. Simba utajionea watu wanavyoumbuana leo. Na ni lazima iwe hiyo ili kufunga hii kazi.
Sawa; Twendeni.

Tukaondoka kwa miguu, mimi Bakora na Kijana. tukafika mazikoni, mwenyeji watu akatuona,
Mwenyeji; Mmekuja wakati muafaka chakula ndio kinaletwa, njooni tule, njooni mkae na mimi.
Bakora: Poleni sana na msiba?
Mwenyeji; Ndio njia yetu sote, tusikumbushane, ni majonzi makubwa jamani.

Chalkula kikaletwa tukala pale kumaliza ikaja kahawa wakati tumekaa ytunakunywa kahawa. Akaja mtoto kumuita mwenyeji wetu, akatuomba radhi akaingia ndani. Akakaa kama robo saa. kutoka...

Mwenyeji; mambo ya kina mama, hawajiwezi bila sisi, wameniomba twendeni kule kwa dada yake mke wangu, sio mbali na hapa. Kuna kikao cha kifamilia, wanawake wameshatangulia huko, na kuna masheikh wawili, Sheha wa mtaa na majirani mmoja wao na engine ambao hawapatikani kwenye simu wameenda kuitwa, tuwasubiri kidogo wattakaofika mapema tutaenda nao na nyinyi masheih zangu nimeagizwa twendeni wote tusiwawache pekeenu msibani Huyu bwana, huku anaioneshea mimi, nimeambiwa mamake atakua huko pia, na weewe mgeni wake na sheikh wenu, twendeni na mimi na wengine wakishakamilika. Wanafamilia wengine watakua huko, ndugu, jamaa na marafiki, watakuwpo. Utafikiri kuna kikao cha mirathi huko na alietutoka ni binti mdogo.

Mimi; Nikacheka.
Bakora; Shughuli haina dogo hata uwe ni msiba.
Mwenyeji; Kweli Sheikh, si unaona nyinyi mmetoka bara, tumejuana kwa huu msiba.
Kijana; Labda kuna heri huko?
Mwenyeji: Inshallah hakuna zaidi ya heri, naona Sheha kishafika bado hao majirani wawili, aah, wale anakuja pamoja. Hatuna cha kusubiri wengine watakuja hukohuko sio wageni napo.

Wakafika wote tukaenda gtukakaribushwa kwa vilio tulipofika hakuna asielia. Tukawekwa kwenye ukumbi mkubwa,m wanawake wakarudi ndani, tukaa wote, ni ukumbi mkubwa wa kifahari, ukoo huu unaonesha unajwieza.

Tukaongea ongea.

Sheha; Haya waiteni kinamama tuyamalize nimekuja na makaratasi na kalamu, uzoefu umenikumbusha mambo haya lazima awepo katibu na Mwenyekiti.

Kina mama wakaja, wana familia wazee na vijana, wa familia ya baba na mama wa binti, mara kidogo wakaja wanaume wengine wazee na vijana wakatambulishwa kua ni ndugu wa karibu wa wafiwa. Ikawa tumejaa pale.

Sheha; kuna mwengine tunamsubiri au tuanze? Kina mama sasa mufanye subira ya vilio, na kikao kiende salama. msheikh someni dua tuanze. Ikasomwa dua fupi.Kikao kikaanza.

Sheh;, haya jamani hizi kopi nimeleta, hazina makuu, kila moja ijazwe kwa mkono na kila mmoja aandike jina lake uhusiano na marehemu na asaini, tuzikusanye baada ya hapo tutaanza kikao.

Tulipomaliza kujiandikisha majina, wakateuliwa mwenyekiti ambae ni kaka na baba wa marehemu (mwenyeji wetu) na katibu ni kijana moja anaonesha msomi wa kwenye ukoo upoande wa wanaume na Sheha akasema na kina mama mmoja nae achukue maelezo ya kikao, namuona Bi... ana uzoefu wa ukatibu serikalini tena huyo anaandika kwa shorthand na yeye aandike kivyake.
Mwenyeji: kwani kuna urithi jamani?
Sheha; Subiri mwenyekiti akupe ruhusa ya kuongea ingawa wewe ni mzazi, vikao hivi haviendi hivyo. haya mwenyekiti nzisha kikao.
Mwenyekiti; jamani kwanza tunashukuru kuwepo hapa, kikao kianze, maana hata mimi sujui tuongee nini kwani vikao namna hii mara nyingi hua ni vikao vya kuandika alivyoviacha marehemu ,lakini hapa naoina mareehemu kaacha wadogo zake, mama na baba, ndugu jamaa na marafiki, au alikua na mali zake?
Mwenyeji; Anazo laki ni ni guo na vitu vitu vyake na sisi kwa kua ni wazazi tutaamua zifanywe nini baada ya matanga kuisha, hakuna zaidi, labda viherini na vicheni vyake vya dhahabu ndio vya thamani.
Mwenyekiti: Sheha tupe muongozo.
Sheha; kama alivyosema baba mazazi mimi naona yupo sawa, au wajumbe mnasemaje? Kama kuna mwenye ushauri auseme tuendelee.

Wakatazamana hapo. lkini wote kimya.

Mwenyekiti; naona hakuna, sasa alieitisha kikao atueleze alichotuitia tumalizane.
Katibu; Mimi nimeitisha hiki kikao cha dharura, kwa habari zilizozippata leo afajiri baada ya kusali. Nimehakikisha za kweli na ndio nikaitisha kikao kwa ushauri wa Sheoikh nani hii hapo na Huyu DSheikh mgeni, akamuonesha Bakora na Sheikh mmoja maarufu tu anajulikana Unguja katika tuliokuepo.

Katibu: Mimi naomba wahusika wajielezee wenyewe. Huyu bwana hapa ndio muhusika mkuu wa kikaoo hiki, na anafahamu kwanini tupo hapa ingawa ni jirani tu. Akamyooshea kidole afisa mmoja kanona nona hivi.
Afisa akaanza kutaka kubabaika.
Bakora: Shehe ongea tararatibu na kwa ufasaha, wewe sio mgeni na mimi.

Kwa upande wa wanawake nikaona pale yupo Jini 2 lakini hatishi kabisa, kajitanda kama wanawqke wengine tu, kawaida.

Afisa: Jamani yaliotokea yametokea, mimi naanza kwa kuomba msamaha.
Mwenyekiti; Mbona sielewi mnachokiongea, ni mimi tu sielewi au?
Katibu: Huyo md*anajifanya haelewi, afisa nakusihi usitupotezee muda, umesshatupoteea muda wa kutosha, tuna mambo yetu ya kufanya. Anza kuelezea kama ulivyotueleza baada ya alfajiri.

Nikaona Bakora kama kabadilika hivi;
Afisa: jmani binti anaesemekana marehemu, yu mzima hajafa ni mambo ya kichawi tu.

Nikaona watu wengine ganzi, kina mama wakaanza kulizana pale. Tukawapa kama dakaika moja.
Mwenyekiti; makubwa haya.
Sheha; Endelea, na kina mama nyamazeni tuna kazi nyingine za kufanya.
Mwenyekiti kua na kauli.
Sheikkh wa Unguja; Jamani naomba kuongea kidogo. Mimi binafsi nilisitika sana leo baada ya kusali alfajiri nilopitwa kushirikishwa haya mambo. Sikua na taha hata kidogo na nataka kuyaona yanafikia mwisho, maisha yaendelee. baada ya alfajiri tumekuja tukashuhudia binti yu hai, mzima wa afya, na mamake anafahamu na mwenye nyumba hii anafahamu na ndugu wengine waliopo hapa wanafahamu, kasoro baba mzazi tu. kwa hio Afisa haya tunayaweka wazi tu ili maisha yaendelee, huna la kuficha afisa au mwengine yeyote, tuongee kiuwazi na ukweli umeshadhihiri. Au mnasemaje jamani?
Watu wakasema. kweli.
Sheha; labda mimi nimuongoze kwa maswali na atoe majibu, tusipoteze muda.
Mwenyekiti; Sawa, anza Sheha.
Sheha: Jieleze unaitwa nani na unafanya nini, tusipoteze muda.
Afisa; Mimi naitwa... nafanya kazi wizara... ni mkurugenzi mkuu pale wizarani.
Sheha; Nini kinaendelea?
Afisa; Hiki kikao nimeitwa hapa ili yatoke kinywani mwangu.
Sheha; Sema haraka hiki sio kikao cha siasa.
Afisa; Mimi ndie nilipanga kumtorosha binti kwa sababu za kishirikina na tamaa na mvuto wa kishirikina. Binti hatukumuua lakini ndio asingeonekana tena naisha. Ningekua mimi nje ya mji kwa mambo ya kishirikina, kama mke wangu.
Sheha endelea; Tumefanya mazingaombwe kishirikina na wachawi wa chama chetu cha wachawi na wanga. Tuliozika jana ni mgoimba tu, binti yupo na nyote kwa sasa mnaujua ukweli na yuko wapi.
Mwenyeji; Mimi ni mzazi wake na sijui mnachokiongea.
Afisa: Haina haja ya kuficha au kusema uongo, tumeshaumbuka, unayajua yote.

Watu wote tukawa kama tumepigwa ganzi, tukabaki kimyaaa, ytunasikiliza.
Mwenyeji; Wewe eleza yanayokuhusu, ya wengine achana nayo.
Afis; Huyu bwana na mimi tupo chama kimoja lakini huyu binti yake ilikua anajua kua hauliwi ndio akakubali kutupa ushirikiano kwa malipo makubwa tu, ilikua tumpe millioni 100 kidogo kidogo. Asingeweza kukataa kwa sababu alikua anahitaji pesa kwa ajili hya madeni ya nyama na damu za watu anaypodaiwa kwenye chama.

Chama chetu kuna ada ya kila mwanachama, nayo sio pesa wala mali, ni nyama na damu za watu. Huyu anadaiwa, imebidi apate pesa watumwe watu walete damu na nyama alipedeni lake lifutike. Akakubali, tukashirikiana, ameshalipwa millioni hamsini na ameshapeleka kulipa nusu ya deni ndio hii kazi ya binyti ikafanyika, bado hajalipwa nusu, ilikua mimi nimkamilishie ndio na yeye akamilishe, lakini ndio yametokea yaliotokea. Natumai nimejieleza vizuri.
Katibu: bado, sema mngemfanyia nini huyo binti?
Afisa: Huyo binti ilikua tunamuwahi hedhi yake ya kwanza, napewa mimi inachanganywa na kote, na mambo yetu mengine. Inakua nakunywa na kukogea mpaka hedhi ikate, Baada ya hapo mimi nambikiri, damu ya bikira nayo inachanganywa na dawa na shahawa zangu nakunwa na kujipaka mwilini ili kuleta nguvu na mg'aro na kujilindia hadhi yangu na kua na kauli kazini.

Sheha: Tulizana kwana unatutia kinyaa. Haya eleza wewe baba mtu.
Baba; Mimi jamani kama alivyoeleza, naona hapa hakuna pakuchomokea, kweli mimi ni mshirikina lakini sijafikia kwenye uchawi, siujui, mimi naufanya tu ushirikina kwa kuwatumia waganga na wachawi, niliingia hicho chama chao miaka mingi tu katika kujitafutia mali. Ilipofikia ndio kama alivyosema Afisa.
Mwenyekiti akanyanyuka akamzaba kofi kubwa mdogo wake.
Mwenyekiti; Kumbe ni mnyama wewe tunaishi na mnyama kwenye ukoo, wewe ni zaidi ya nyoka..

Sheha; Subiri kaka.
Mwenyekiti; Haya na ue-meaza-anzaje, nani kakakuingiza kwenye ushirikina?
Mwenyeji; Mimi nilienda kmwenye kwa mganga kusafisha nyota, tukaanza masharti madogo madogo, kila miaka inavyokwenda ananambia ukileta damu adimu ndio mambo yako yanazidi kunyooka na nyota inazidi kusafishika. Nilianza na jogoo, nikaja mbizi, nikaja kondoo, nikaja ng'ombe, nikaja ngmia, nikaja mpaka binadam wa kununua, sasa imefikia siwezi kulipa zaidi ya damu ya binadamu na nyama za watu, ikabidi niuze kilicho changu, ilipotokea fursa ndio nikaongea na huyu bwana, mengine yaliofata mnayaelewa.
Mwenyekiti; Sio mkeo alokuingiza kwenye ushirikina?

Mke; Koma kama ulivyolikoma ziwa lala mamako, wachawi wakubwa nyinyi, mie ningekuwemo si ndio ningetajwa kwanza. Mimi nilimkanya siku nyingi mambo yake ya waganga huyo mshenzi, lakini sikujua kafikia kwenye uchawi, nilikua najua ya mbuzi na kondoo. Wewe usijifanya huna habari, mpaka mkeo anayajua nimeshamwambia akueleze nyingi ili umkanye mdogo wako, lakini ulikua unapuuza kwa visenti wanavyokupa. Mmelikoroga sasa mlinywe.
Bakora; Samahani, mimi ni mgeni, yule mama hahusiki na chochote ni mcha Mngu sana, ucha Mungu wake ndio uliopelekea hata huyu binti hakudhurika. Tuendelee na kikao.

Itaendelea
Simba.
Mambo ni mazito sana. Sasa kuna moto mmoja kweli siku ya kiama?
 
Hapo hawezi toa mkuu, Mimi nimemuuliza sana hayo maswali anakwepa, Na sababu ya kukwepa inajulikana hakuna namna anaweza toa aya ya kuthibitisha nani ni binadamu wa kwanza isifungamane na adamu,
Mimi binafsi namsubiri huyo Arsis aje na majibu maana kapotea kidogo, Simba ndio anajibu ila sasa simba kakiri mara nyingi kuwa yeye Elimu yake ndogo ni madrasa tu na form four kama sijakosea na kanuni ya kielimu mtu anavyokuwa na elimu ndogo anaweza pinga tu jambo kwakuwa elimu yake ipo limited.

Mimi namsubiri Arsis mwenye experience kubwa ya maisha na mwenye elimu kubwa kama simba anavyosema aje ajibu maswali.
Inshort, maswali yamekuwa mengi sana majibu kidogo ni muda wa majibu sasa.
Hilo siiwezi kabisa. kwa kua halipo kwenye Qur'an. Ikiwa Allah hajasema kwenye Qur'an kuhusu binadam wa kwanza mimi nani hta niseme hilo? Au hamnisomi?

Hilo mseme nyinyi kwa kupotosha tu, au mkiri mmelitoa kwenye biblia. Lakini mpaka sasa hamjaleta aya yoyote ya Qur'an inayosema adam ni mtu wa kwanza kuumbwa.

Au sio wewe uliesema haliko wazi kwenye Qur'an? Unajipinga mwenyewe sasa?

Daah....
Dunia hii
 
Swali la msingi. Ikiwa Allah alimjalia Mohammad karama hiyo ya kuuanzisha uislam, iweje hakumjalia na muujiza wa kujua kusoma na kuandika?
Kama unaamini Daud( mchunga kondoo) alimuua Goliath(worrier wa vita) tena kwa kombeo basi sidhani kama kuna maajabu kwa Mtume kuijua quran bila kwenda shule.

Huo ni mtazamo wangu binafsi.
 
Hilo siiwezi kabisa. kwa kua halipo kwenye Qur'an. Ikiwa Allah hajasema kwenye Qur'an kuhusu binadam wa kwanza mimi nani hta niseme hilo? Au hamnisomi?

Hilo mseme nyinyi kwa kupotosha tu, au mkiri mmelitoa kwenye biblia. Lakini mpaka sasa hamjaleta aya yoyote ya Qur'an inayosema adam ni mtu wa kwanza kuumbwa.

Au sio wewe uliesema haliko wazi kwenye Qur'an? Unajipinga mwenyewe sasa?
Simba.
Ndugu acha kuwa jahili, Ndio quran haijasema kuwa Adam Ni binadamu wa kwanza ila imetoa dondoo zitakazo onyesha nani ni binadamu wa kwanza na dondoo hizo zinaonyesha Adamu ndio binadamu wa kwanza.
Namaaanisha katika quran hakuna aya inayosema hivi" Enyi waumini Adamu ndio binadamu wa kwanza" hio hakuna zipo aya zinazomtaja Adamu zinazo ashiria Adamu ndio binadamu wa kwanza huelewi nini hapo?
Kuna mdau hapa kakuwekea mpaka hadithi inayoonesha Adamu ndio binadamu wa kwanza mbona haujibu? Nanilikuuliza au wewe hutaki hadithi unataka quran tu? Utuambie tujue mwenzetu una uislamu wako mpya ambao hamswalii maiti, mna rakaa zenu za swala za faradhi maana haya yote quran haijaekeleza namna ya kufanya ila mbona yanafanywa.
 
Tahira mwingine na hadithi żako za kijinga.

Mortal na Immortal awaishi dunia moja.

Jini hawezi kuja kwenye dunia yetu kwa mwili wake labda aazime mwili wa mtu mwingine.

Mie sio mbobezi wa haya mambo Iła shetani keshatumwa kwangu kujaribu kunikuchukua (nikiwa nimelala) kabla ajanibeba nikastuka.

Alieniokoa alikuwa mama yangu huku tayari marehemu. Ndio alieingilia kati alipotaka kunishika tu akaingilia kati na kusukumwa huko. Kelele zake za niachie
mwanangu ndio nikastuka.

Sasa kasheshe lake la kumsukuma na mimi nilivyokurupuka kitandani (na huyo shetani mwenye alivyo mkubwa) makelele yangu na jinsi nilivyofika mlangoni na kuanza kuubamiza nikitaka kutoka nje nyumba ya kupanga ghorofa tatu kijijini kwetu wapangaji wote waliamka.

Shida ilianza shangazi yangu (kwa kuolewa na mjomba wangu) upande wa mama kwao ni Rufiji na huyo shangazi katokea jirani Boga (maneremango) ndio hao hao. Alikuja likizo huku kijijini kwetu (ninaposema kijijini namaanisha nchi fulani nje ya Tanzania).

Huyu shangazi familia nzima tunamshuku mchawi. Sasa huku kijijini mimi na cousins zangu tulikuwa majirani (watoto wake) tunamazoea ni close family. Na wazazi wetu enzi za uhai wao walikuwa na tabia ya kuja kutembea japo mara mbili kwa mwaka.

Sakata liliponikuta mama yangu alikuwa keshafariki. Hiyo trip huyu shangazi kaja. Wazazi wakija hasa wamama wanatabia ya kukaa mwezi mmoja mpaka miwili. Sasa huyu shangazi kaja zimebaki siku mbili au moja aondoke nikaenda kwao. Kama kawaida napiga story na cousins zangu.

Ile naaga shangazi anaanza nikusongee ugali mimi hapana nimeshiba. Aipiti dakika mbili tena anarudia nikusongee ugali, mimi hapana. Basi akawa anarudia mpaka nikaitikia. Siku anaondoka kapanda ndege ndio shetani lake likanijia (sio wa kumsimulia ni anatisha).

Story ya kutokewa na walinzi wangu ni nyingine (Iła nilistuka maana alinijia kajiremba halafu ni mzuri balaa uwezi sema ni mzungu, mwafrika, Mwarabu au race gani; maana ni mweupe ambae hana physical body) unamuona kama kasimama karibu na ukuta na ukuta unaona hana mwili.

Alipoona nimeogopa baada ya kumuona nilikuwa nimelala (maana nilitaka kumuona ni nani huyu ananiokoa sana zidi ya hasidi mpaka dah) sasa ile kukaa vizuri nataka kumuangalia kwa kuna vitu akanirushia usoni kama chenga za kun’gaa n’gaa halafu akapotea.

Sio jini anaetuletea Arsis wa JF taa za gari tunaziona kabisa zinammulika jini na mtu kavaa kanzu unataka kutuletea story.

Pathetic, tafuta wapumbavu wenzako wa kuwaambia ujinga. Ujakutana na experience ya haya mambo.
Kwa hili story yako moja unajidhania umeona vyote au unajua vyote?
Acha ujuaji jifunze.
Pia story yako ulikuwa ndotoni, yaani uliota. mwenzako anasimulia alivyoviona, huoni km ni vitu viwili tofauti?
 
Mwaga elimu.

Ukiupitia uzi vizuri utakuta zimetajwa dunia saba. Usikurupuke kabia hujausoma uzi.
Simba.
 
Kuhusu Adam liko wazi surat baqara Aya 30 na ulijenga hoja huko mwanzo huko nyumba kuwa wanaadamu watakuwa waovu watatenda maovu ukauliza kuwa je malaika wanajua ghaibu?

Majibu yako yapo hivi malaika waliuliza swala hili sikwaajili ya kupinga amri ya Allah au kwakumuonea wivu mwanaadamu au kwamba walikuwa wakijua ghayb la hasha waliuliza hvo kwaajili yakutaka kujua hikma ya kuumbwa viumbe Hawa na hii ni kwasababu walielewa kutokana na viumbe vilivyotangulia vilivyoishi ardhini kwamba vina sifa ya ufisadi na umwagaji wa damu

Amesema ibn kathir huyu ni mwanawachuoni na maulamaa wakubwa na mfasiri mkubwa wa Quran kwamba kabla ya kuumbwa kwa wanaadamu majini na viumbe wengine wasiokuwa wanaadamu walikuwa wakiishi ardhini na kwamba walikuwa wakifanya ufisadi mkubwa pamoja na umwagaji damu

Ibn Abbas radhiallahu anhu (swahaba wa mtume ambaye wamefasiriwa Quran na mtume) amesema majini waliishi ardhini kabla ya wanaadamu na walikuwa wakifanya ufisadi mkubwa na Allah akawaondoa na kuwaleta binadamu na sisi binadamu ndio makhalifa katika Ardhi zaidi ya majini

Ulikuwa unaleta hoja ooohhh tafsiri imesema khalifa naam sisi binaadam ni makhalifa kwenye Ardhi tukiongozwa na baba yetu Adamu

Haya nimekujibu hoja yako yakwamba Adamu ndio binadamu wakwanza na ww leta ushahidi kwamba Adamu sio binadamu wakwanza

Narudi kuhusu Haswaaaa
OOh kumbe maana ya Khalifa sio mtu wa kwanza duniani eeh? Nashukuru umeliona hilo na umejijibu mwenyewe kuhusu aya 30 ya Suratul Baqara.

Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
Simba.
 
Hahahahaha nadhani hapa watu wenye akili ndowataona kwamba ww hujui Allah katuletea mtume atufundishe na unataka kujidai unazikataa hadithi za mtume na nakusikiaga unasema unaenda kuswali utaswalije bila hadithi za mtume hadithi ndio imetafsiri Quran acha janja janja
Unachoongea hata hueleweki, umejibu nini sasa? Umekataa kua Allah ndie mwenye kutufundisha ? Wakati huohuo unajipinga unasema katuletea Mtume atufundushe, MTume kaondoka nayo Qur;an au katuwachia? Kitabu chake hiki au cha Allah?

Elimu haipingwi kwa ubishi tu, la ukweli unalikubali bila kupinga, sasa unataka kuipinga Qur'an?

Sijakuelewa.
Simba.
 
Allah amekufundisha kuswali,,,,, kwamba adhuhuri kuswali rakaa 4 na magharib uswali rakaa 3 ,,,,Quran imefundisha kwamba swala zingine imamu aswalishe kimya kimya na nyingine asome kwasauti embu tuambie umejifunzia wap hayo na ukienda kuswali unayafata mtume kaitafsiri Quran yote uache hyo janja janja yako ya kupuuza vitu na kupotosha watu humu
Sasa unataka kurukia kwenye sala, maliza kwanza la SAdam na Hawa. Usitafute pakuchomokea.
Simba.
 
Hadithi kuonyesha Adam ndobinadamu wakwanza kuumbwa na ndio baba wa binadamu wote na ww leta ushahidi wako kuwa Adam sio binadamu wakwanza kuumbwa
Hiyo hadith ulyoikopi na kipesti siwezzi kuisoma, sioni hata referemce zake. Nakuruhusu nipe jina la kitabu na hadithi namba. Nitakupa elimu. kama hauna kitabu na hadithi namba na nani aliyeihadithia (isnad) inakua muflis hio hadithi au wewe.
Simba.
 
Kaka yake alikandiwa kuwa hana ilmu ya majini, kwamba si lolote si chochote na ana shida flani ndiyo maana anaongea vile! Akaulizwa unajua kwanini anaongea vile? Mwenye kaka yake akadai, nyama za puanı blah blah blah. Toka hapo Nuru yupo vitani, Simba anampita tu kama daladala lilojaa.
Na alikuwa yupo busy kurusha viclip vya sauti humu,hahahahaaaa
 
Mimi nakufatilia kwa karibu mkuu yaani mpka atutajie kama Adamu sio wa kwanza wa kwanza ni nani? na katajwa wapi mwanzoni sikutaka kumleta huku kwa wafasiri wakubwa na wanazuoni wenye heshima katika dini niliona nitampoteza tu nikataka nitumie logic kumuelewesha ila kwakuwa bado mbishi tutamleta kwa magwiji wa tafsiri sasa mpeleke hivyohivyo.
Alafu anasema iyo aya haisemi Adamu ni binadamu wa kwanza sasa swali kama Adamu sio wa kwanza mbona aliumbwa? maana kama Mungu angemchagua Adamu kutoka kwa watu wengi ambao tayari walikuwepo basi asingeumbwa ingija katika qurani tu tukamchagua adamu basi hapo kidogo hoja yake ingekuwa na mashiko lakini Allah alisema anataka kumfanya khalifa na ndiio Adamu akaumbwa huu ni uthibitisho kuwa yeye ndio wa kwanza kuumbwa katika wanadamu.
Kwakifupi bwana Arsis ni kuwa Adamu sio kiumbe wa kwanza kuumbwa ila ni binadamu wa kwanza kuubwa.
hata wewe umeumbwa, nani ambae hajaumbea?

Hio aya isome tena na tena haisemi Adam mtu wa kwanza, wewe mwenyewe ulikiri hilo, sasa umebaddili kauli?

Endelea kunisoma, sasa hivi napunguza spidi ya kuwafunidisha kwa sababu napona elimu yenu kumbe ni ndogo sana. Nitaenda na nyinyi kwa kiwango chenu, mtaelewa tu.

Mnataka niseme uongo kama nyinyi?
Simba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom