Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,810
- 5,042
Rhodesian ridge back huyu anaua simbaView attachment 789931
Chief, nahitaji mbwa , please please. Can you help?
Rhodesian ridge back huyu anaua simbaView attachment 789931
Only german and belgian naweza kusaidia kuwapataChief, nahitaji mbwa , please please. Can you help?
Duh JF raha sanabora mimi ninayefuga mbwa koko wangu, wote tushazoea ndefu, tena hua ananipa sapot mana mamb yakizd anazunguka tu hapo kwa asha kibajaji ananiletea sufuria namkwangulia ukoko wake na sufuria naenda uza, siku nikimpa tu vichwa vya dagaa atalipa fadhila week nzima, mana atanijazia vyomb kabati nzima, na yeye hatak mpak uwe mwiz, yan ukiwaza tu kuja kuiba yeye ndo anakufuata huko huko kwako mmalizane, sema ana shida tatu, kwanza n mzinzi, pili kukiwa na sherehe mtaani jiandae kupga usafi wa kutosha asubuh mana atajaza kila kitu hasa zile sahan nyeupe za makaratas na tatu akishba anadharau ukimwita anakuja huku anatambaa(wafugaji wanaelewa) na akikuona unakula dagaa anakuja kukujazia mifupa ya nyama alizokula hapo nje halaf analala huku katanua miguu juu na mdomo waz
Nimemkatalia kwa facts sio kweliHili mbona kama ni kisa cha kutunga mkuu?
Unawezaje kununua bando ya kuingia JF ilihali kuna watu kibao wanalala njaa kwa kukosa hata mia ya maandazi tu? kila kitu kina nafasi yakeBado unajiona uko sawa? unawezaje kuhudumia mbwa gharama ya mil 4 ilihali wapo binadamu wenzako hawana uhakika hata wa mlo mmoja kwa siku?
Jitathmini, njia ya kwenda mbinguni ni nyembamba mno@
dah lakini kutoa 4m kwa ajili ya mbwa hapana ndugu kwa usawa huu[emoji22][emoji22][emoji22]Unawezaje kununua bando ya kuingia JF ilihali kuna watu kibao wanalala njaa kwa kukosa hata mia ya maandazi tu? kila kitu kina nafasi yake
Hao mbwa wa dar,hawawezi hata kula ugali??
bora mimi ninayefuga mbwa koko wangu, wote tushazoea ndefu, tena hua ananipa sapot mana mamb yakizd anazunguka tu hapo kwa asha kibajaji ananiletea sufuria namkwangulia ukoko wake na sufuria naenda uza, siku nikimpa tu vichwa vya dagaa atalipa fadhila week nzima, mana atanijazia vyomb kabati nzima, na yeye hatak mpak uwe mwiz, yan ukiwaza tu kuja kuiba yeye ndo anakufuata huko huko kwako mmalizane, sema ana shida tatu, kwanza n mzinzi, pili kukiwa na sherehe mtaani jiandae kupga usafi wa kutosha asubuh mana atajaza kila kitu hasa zile sahan nyeupe za makaratas na tatu akishba anadharau ukimwita anakuja huku anatambaa(wafugaji wanaelewa) na akikuona unakula dagaa anakuja kukujazia mifupa ya nyama alizokula hapo nje halaf analala huku katanua miguu juu na mdomo waz
Mnyama akisha mla binadamu anatakiwa kuuliwa mapema sana.Hao Wameshaonja nyama ya Binadamu kuna siku Watakula mtu tena.
Ili iweje sasa gharama zote hizo akati watu somalia wanakufa njaa.
Only german and belgian naweza kusaidia kuwapata
nawewe na wenzako mnaoshangaa na kumpangia matumizi ya pesa zake mnajua upande wa 2 anasaidia hao wenye njaa sh ngapi?
sawa chief,ila kumbuka mkono wa kushoto ukitoa wa kulia usijue,mchana mwemakununua mbwa kwa gharama zote hizo maisha ya Mtaanzania haya ili iweje.?? huo upande wa pili ilibidi ajibu yeye mm nimezungumzia upande wa kwanza tu na tungeishia upande huu huu tu
uongo mbaya jaman ingekuwa kweli ungekuwa hata humu jamiiforum hupajui! keyboard zinaficha mengi ukute unakaa tandaleNinao kumi ninawatunza kwa gharama kubwa kwa mwezi wanakula chakula cha 4m
[emoji28][emoji28][emoji28]Ni mbwa mkuu mzee alitoka nao Ujeruman chakula wanakula kilicho pikwa vizuri ugali hawali
Mbwa anayeongelewa huwa ni aina hiiweka picha tuone hao umbwa wa rock teller ndio kwanza leo nawasikia