ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,635
KangalsCjui ila naomba unambiee ni mbwa wa aina gan au jina lake nifanye uchunguzi au tupia picha ake hapa
KangalsCjui ila naomba unambiee ni mbwa wa aina gan au jina lake nifanye uchunguzi au tupia picha ake hapa
Belgian dogs wako aina tatuAnaitwa belgian malinos sio belgian shephard ila german ndo anamalizia na neno shephard
Yaani ukifuga hawa usije shangaa watoto wako mwenyewe wakaliwa wazima wazima. Ni vichaa kabisa huyo mzee nafikiri zaidi ya kula mpunga kuna kitu alifanya nao wakamwona ni hatari kwao. Ukisoma wanakuambia mbwa hawa usiwaletee utani wakifikiri vinginevyo basi wanashambulia. Sijui wale wa Mzee Kingunge walikuwa aina gani.dah alafu baada ya mzee wa watu kuliwa mwarabu analalamika,arudishiwe mbwa wake dah kweli kuna watu machizi dunia hii
![]()
![]()
kumbe mbwa okay na mi nakuja na story ya mbwa koko.. Tena ntaandika news alert






Mimi mfugaji ninawafahamu mno mkuuSawa mkuu mm nilikuwa namjua malinos tu
Kufuga majitu hatarishi ni hasara ambayo anytime inaweza kulipuka!! Wanaweza kumgawana hata mtoto wako.Ndiwooo saguda si ndio kawazoesha mambo ya 4m kila siku
Hahaa ila kimsingi dogs ni miongoni mwa viumbe walio loyal sana kwa mwanadamuSasa ungempima kama kwa siku mbili 3 uone ubest friend ungeendeleaje
Sawa mkuuHahaa ila kimsingi dogs ni miongoni mwa viumbe walio loyal sana kwa mwanadamu
Kufuga majitu hatarishi ni hasara ambayo anytime inaweza kulipuka!! Wanaweza kumgawana hata mtoto wako.
tena unaenda kuwanunua milioni 6 na kitu,dah mbwa milioni 6?Kufuga majitu hatarishi ni hasara ambayo anytime inaweza kulipuka!! Wanaweza kumgawana hata mtoto wako.




wakati wenzako ndo wanaulizia et sh ngapiWataalam wameshasema hawa Rott weiller wanarun crazy kadri wanavyokua hivyo ni mbwa hatari huko mbeleni huenda wakaacha kuwafuga



Mlizi/anayewalisha aliliwa na Mbwa ,nilipiga naye story,muda mwingi anakaa zake nje anajinywea kahawa zake.
Braza tayari ulisha kaa na msukule na kuudadisi,



mi siyo mchawi labda utuelezee mwenzetuSiyo “rock teller” mkuu, ni Rottweiler na hao wengine itakuwa German ShepherdsTarehe 26, mwezi wa 4 mwaka huu nilikwenda mkoa wa Morogoro kwaajili ya kumpatia tiba mgonjwa wangu ambae alinitaka niende kwake.
Asubuhi niliianza safari na kufika msamvu stendi mida ya saa 9,nakuja kupokelewa na mgeni wangu.Pale kwa mwenyeji wangu maeneo ya jirani, kulikuwa na sheli(jina kapuni)ambayo mmiliki wake alikuwa anaishi nyumba kama ya 5 kutoka sheli kwake.
Wakati nimefika kwa mwenyeji wangu mida ya jioni, niliwaona mbwa wakubwa mno wa 2 wakiwa ndani ya fensi baada ya kuulizia nikaambiwa wanaitwa german shephard lakini wakati huo kuna mbwa wengine 3 wao walikuwa wamefungwa kwa mujibu wa wenyeji wangu walisema wale mbwa huwa hawafunguliwagi nikawa na shauku kubwa ya kutaka kuwajua na hata kuwaona japo mimi na mbwa ni kama chui na paka.
Basi mida ya usiku huwa kuna mzee anaingia lindo nyumba ile na yeye ndo huwa anawalisha chakula cha usiku.
Muda mwingi huwa anapenda kukaa nje akijinywea zake kahawa basi nilimfata na kuongea nae mengi tu na kuwajua kuwa wale mbwa wanaitwa rock teller na kunambia kuwa thamani ya kila mmoja ni shilingi milioni 7.
Nilishangaa lakini kwa ukubwa wa maumbile yao na jinsi walivyo sikushangaa sana but nilikuja kuchoka baada ya kuambiwa kuwa huwa anawapa chakula ambacho ni nyama mpaka kilo 10 kwa wakati mmoja.
Sasa yule mzee kumbe alikua na tabia ya kuwapa kilo 6 mpka 7 hivyo wakawa hawashibi, sasa kuna siku kawapelekea msosi hawakushiba, ile anataka kuondoka wakamvuta shati na kumla mpaka wakambakisha kichwa tu.
Asubuhi Mwarabu anaamka anawakuta rock teller wako uani akapiga simu fasta polisi ndo wakaja wakawadunga sindano kumtafuta mlinzi kabaki macho tu, lakini kwa nguvu ya pesa ya Mwarabu aliwajengea nyumba familia ya marehemu na kusomesha watoto wake.
Usia wangu;
Tuangalie vya kufuga huwezi fuga simba ambae baadae atakuja kukuwinda wewe mwenyewe
Dogs are a man’s best friend!Mimi nna mbwa koko wangu kunasiku nilimpima siku mpa msosi usiku,Ila nilimwona amechangamka tu na akatekeleza majukumu yake kama kawaida.
Mbwa ni best friend sana,Ila nilikuja kimwomba msamahaa kwa kumpatia vinono kesho yake
Kabisa.Dogs are a man’s best friend!
Trust me some people wanazidiwa common sense na hawa viumbe!😀
Sitaki kwenda mbali😀 niishie tu kusema common sense!Kabisa.
Hahaa nimeipenda hiyo kwamba dogs wanawazidi baadhi yetu uwezo wa kufikiri
Ninao kumi ninawatunza kwa gharama kubwa kwa mwezi wanakula chakula cha 4m