Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
Wewe unatoka familia ya kipumbavu Sana, siyo wewe tu, mpo wengi mashwaini hapa duniani.Ni mbwa mkuu mzee alitoka nao Ujeruman chakula wanakula kilicho pikwa vizuri ugali hawali
yaani Kuna watoto yatima, wagonjwa, wajane, vilema wanaoteseka na wanahitaji msaada, halafu unatumia mil 4 kwa mwezi kutunza hayawani,aisee ni kweli jehanamu ipo, Dunia ina mijitu mijinga mno.