Niliyoyashudia Morogoro sitasahau

Niliyoyashudia Morogoro sitasahau

Cjui ila naomba unambiee ni mbwa wa aina gan au jina lake nifanye uchunguzi au tupia picha ake hapa
dah wapo mkuu,nahisi kuna baadhi ya mbwa ni wanyama wa msutuni tu sema walifosiwa kuishi na watu
 
Mbwa hao huitwa Rottweiler na siyo Rock teller. Asili yao ni ujerumani na huchukia mtu wasiemfahamu au anewazingua. Kuua mtu hawa ni mara moja, hata mwanafamilia kama hawaja mzoea au "wamemsahau" kifo chaweza kutokea. Wataalam wanasema "
Many experts advise Rottweiler owners to seek professional training for their dogs as their strength is an inherent risk, particularly for children. If you choose to have one of these dogs, be sure it is properly socialized and always remain vigilant regarding its temperament" source 25 dangerous dog breeds most likely to turn on their owners - Page 3 of 26 - Dog Notebook
Ukitaka kufuga mbwa huyu, ni vizuri wewe na mbwa wako mpata mafunzo yanayo takiwa ili muwe na mahusiano mazuri. Na pia uwe unamfuatilia kwa ukaribu usome tabia yake.

6748238.jpg
 
Siku ukiwapa chakula cha 2m tegemea ya huyo mzee wa moro
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unazinguaaaa!! Kwa hiyo hawataki kusikia habari za 2m watachukua maamuzi magumu!!!
 
Mbwa hao huitwa Rottweiler na siyo Rock teller. Asili yao ni ujerumani na huchukia mtu wasiemfahamu au anewazingua. Kuua mtu hawa ni mara moja, hata mwanafamilia kama hawaja mzoea au "wamemsahau" kifo chaweza kutokea. Wataalam wanasema "
Many experts advise Rottweiler owners to seek professional training for their dogs as their strength is an inherent risk, particularly for children. If you choose to have one of these dogs, be sure it is properly socialized and always remain vigilant regarding its temperament" source 25 dangerous dog breeds most likely to turn on their owners - Page 3 of 26 - Dog Notebook
Ukitaka kufuga mbwa huyu, ni vizuri wewe na mbwa wako mpata mafunzo yanayo takiwa ili muwe na mahusiano mazuri. Na pia uwe unamfuatilia kwa ukaribu usome tabia yake.

6748238.jpg
dah alafu baada ya mzee wa watu kuliwa mwarabu analalamika,arudishiwe mbwa wake dah kweli kuna watu machizi dunia hii
 
Rhodesian ridge back huyu anaua simba
Screenshot_2018-05-30-16-53-11.jpg
 
TAHADHARI
ROTTWEILER ni miongoni mwa mbwa hatari sana na ni jeuri mno.wakiwa na njaa wanaweza kutafuna mtoto.
Mimi ni mfugaji wa mbwa wa kisasa, ninapendelea GERMAN NA BELGIAN SHEPHARD
Anaitwa belgian malinos sio belgian shephard ila german ndo anamalizia na neno shephard
 
Sasa ungempima kama kwa siku mbili 3 uone ubest friend ungeendeleaje
Mimi nna mbwa koko wangu kunasiku nilimpima siku mpa msosi usiku,Ila nilimwona amechangamka tu na akatekeleza majukumu yake kama kawaida.
Mbwa ni best friend sana,Ila nilikuja kimwomba msamahaa kwa kumpatia vinono kesho yake
 
bora mimi ninayefuga mbwa koko wangu, wote tushazoea ndefu, tena hua ananipa sapot mana mamb yakizd anazunguka tu hapo kwa asha kibajaji ananiletea sufuria namkwangulia ukoko wake na sufuria naenda uza, siku nikimpa tu vichwa vya dagaa atalipa fadhila week nzima, mana atanijazia vyomb kabati nzima, na yeye hatak mpak uwe mwiz, yan ukiwaza tu kuja kuiba yeye ndo anakufuata huko huko kwako mmalizane, sema n mzinzi na kukiwa na sherehe mtaani jiandae kupga usafi wa kutosha asubuh mana atajaza kila kitu hasa zile sahan nyeupe za makaratas
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sikuwezi kamanda
 
weka picha tuone hao umbwa wa rock teller ndio kwanza leo nawasikia

Sidhani kama kuna specie ya rock teller mkuu ! Nadhani alisikia “Rottweiler” yeye akasikia ni rock teller [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh
Inasikitisha.. huyo mwarabu labda atakuwa ameacha kuwabania nyama sasa.
 
bora mimi ninayefuga mbwa koko wangu, wote tushazoea ndefu, tena hua ananipa sapot mana mamb yakizd anazunguka tu hapo kwa asha kibajaji ananiletea sufuria namkwangulia ukoko wake na sufuria naenda uza, siku nikimpa tu vichwa vya dagaa atalipa fadhila week nzima, mana atanijazia vyomb kabati nzima, na yeye hatak mpak uwe mwiz, yan ukiwaza tu kuja kuiba yeye ndo anakufuata huko huko kwako mmalizane, sema n mzinzi na kukiwa na sherehe mtaani jiandae kupga usafi wa kutosha asubuh mana atajaza kila kitu hasa zile sahan nyeupe za makaratas
Haahhahahahaa
 
Back
Top Bottom