Niliyoyashudia Morogoro sitasahau

Niliyoyashudia Morogoro sitasahau

Halafu kuna mbwa wanaitwa husky dogs. .hawa ukiwoana utafikiri mbweha (wolves) . mipande ya mbwa.
 
Kichwa cha habari nilivyokiona nikajua umekutana na wadada wa pale Itigi au Samaki Sport
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe mbwa okay na mi nakuja na story ya mbwa koko.. Tena ntaandika news alert
 
largest-dogs-mastiff-puny.jpg.838x0_q80.jpg
largest-dog-breeds-new.jpg.653x0_q80_crop-smart.jpg
largest-dogs-great-dane.jpg.838x0_q80.jpg
largest-dogs-dane_0.jpg.838x0_q80.jpg
largest-dogs-english-mastiff.jpg.838x0_q80.jpg
 
Hawaitwi rock teller, jina lao ni rot weiller..mbwa hatari sanaa. Mimi ninaye mmoja naishi naye ndani. Nkienda mishemishe zangu namuacha sebuleni sasa wewe kibaka jaribu kuja kuiba uone cha moto.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaaah mkuu nimekuwa kibaka tena!!!!
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Wakujue hivyohivyo chakula chao kisishuke chini ya 4m
Mimi nna mbwa koko wangu kunasiku nilimpima siku mpa msosi usiku,Ila nilimwona amechangamka tu na akatekeleza majukumu yake kama kawaida.
Mbwa ni best friend sana,Ila nilikuja kimwomba msamahaa kwa kumpatia vinono kesho yake
 
bora mimi ninayefuga mbwa koko wangu, wote tushazoea ndefu, tena hua ananipa sapot mana mamb yakizd anazunguka tu hapo kwa asha kibajaji ananiletea sufuria namkwangulia ukoko wake na sufuria naenda uza, siku nikimpa tu vichwa vya dagaa atalipa fadhila week nzima, mana atanijazia vyomb kabati nzima, na yeye hatak mpak uwe mwiz, yan ukiwaza tu kuja kuiba yeye ndo anakufuata huko huko kwako mmalizane, sema ana shida tatu, kwanza n mzinzi, pili kukiwa na sherehe mtaani jiandae kupga usafi wa kutosha asubuh mana atajaza kila kitu hasa zile sahan nyeupe za makaratas na tatu akishba anadharau ukimwita anakuja huku anatambaa(wafugaji wanaelewa) na akikuona unakula dagaa anakuja kukujazia mifupa ya nyama alizokula hapo nje halaf analala huku katanua miguu juu na mdomo waz
 
Mkuu uliwafundisha nwenyewe, au unanunua wakiwa wameshafundishwa?

Nikihitaji kununua nitafanyaje ili wanizoee mimi na familia yangu, maana isije siku wakanilia mwanangu au mtoto wangu.

Napenda sana kufuga hao majibwa.
yani mi nazumgumzia tahadhar we ndo kwanza unawataka
 
bora mimi ninayefuga mbwa koko wangu, wote tushazoea ndefu, tena hua ananipa sapot mana mamb yakizd anazunguka tu hapo kwa asha kibajaji ananiletea sufuria namkwangulia ukoko wake na sufuria naenda uza, siku nikimpa tu vichwa vya dagaa atalipa fadhila week nzima, mana atanijazia vyomb kabati nzima, na yeye hatak mpak uwe mwiz, yan ukiwaza tu kuja kuiba yeye ndo anakufuata huko huko kwako mmalizane, sema n mzinzi na kukiwa na sherehe mtaani jiandae kupga usafi wa kutosha asubuh mana atajaza kila kitu hasa zile sahan nyeupe za makaratas
huyo muuze mkuu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
TAHADHARI
ROTTWEILER ni miongoni mwa mbwa hatari sana na ni jeuri mno.wakiwa na njaa wanaweza kutafuna mtoto.
Mimi ni mfugaji wa mbwa wa kisasa, ninapendelea GERMAN NA BELGIAN SHEPHARD
 
Back
Top Bottom