Niliyoyashudia Morogoro sitasahau

Niliyoyashudia Morogoro sitasahau

Basi hao mbwa ni wamzeee wako na kama wanatumia 4m Kwa mwezi hizo so zako kwahy tengua kauli wacha kujipaishaaa mjombaà
Bata mzinga kweli wewe hivi unajua hata bajeti ya mbwa koko au paka shume hadi unalopoka uhalo hapa
 
Maui hao mbwa ni Rock teller at Rottweiler? Kama ni Rott basic ni kati ya breed nzuri sana ya mbwa najichanga nichukue puppy anauzwa 1.5
 
Kichwa cha habari nilivyokiona nikajua umekutana na wadada wa pale Itigi au Samaki Sport
 
Wakali mno yani mmoja tu aliwalaza majambazi wawili sema wamefundishwa hawaui
Mkuu uliwafundisha nwenyewe, au unanunua wakiwa wameshafundishwa?

Nikihitaji kununua nitafanyaje ili wanizoee mimi na familia yangu, maana isije siku wakanilia mwanangu au mtoto wangu.

Napenda sana kufuga hao majibwa.
 
Wanaitwa rot weillers. Wanakatwa mkia wakiwa bado wadogo.
 
Back
Top Bottom