Texas Tiger
JF-Expert Member
- Nov 5, 2022
- 650
- 1,547
Huwezi pinga hili.Yaan hata maneno yako yanaonesha haujiamini na kujikubali...kuna watu unaona ni Bora zaidi yako so unakuwa na shobo nao...
Trust yourselves bro...Haya mambo ya kuishi ukiwa unajistukia sio mazuri kwa maendeleo binafsi....na vijana wengi wa Arusha mna ili tatizo...ndo maana mnajiingiza kwenye bang, kuolewa na vibibi...kuiga umarekani ambao hata hao wamarekani wanajithidi kuusolve..nk nk
Utalii na mwingiliano mkubwa na wageni toka nje imesaidia bakubwa wakazi wa A town kujifunza mambo mapya mazuri tofauti na wewe kijana hapo Nyamagana Mwanza.
Arusha ni safari capital hapa Tanzania.
Kwanamna yoyote ile wakazi wa Arusha wanapata advantage yakuwa mbele kwa mambo mengi "exposure" ukilinganisha na wakazi wa maeneo mengine Tanzania.
Ukishindwa kuona ukweli huu utakuwa na shida mahali.
